Wizi wa kura CCM; Naibu meya ajiuzulu Tanga aomba muda kutaja chama cha kuhamia

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Kweli huu ni uchaguzi wa mwaka ama wa historiah

Huko Tanga habari zinasema naibu meya wa ccm ameamua kujiuzuru baada ya kuona rafu za ajabu zikitendeka na wazi wazi uongozi wa juu ukibariki uchafu huo

akiongea kwa huzuni uku akisema nawaombeni mnipe muda mnipe muda si mrefu ntawaambia naelekea chama gani siwezi kuishi kwenye chama cha wahuni

huu ni uhuni wizi nje nje tena viongozi wa juu wanabariki wizi huo kwa manufaa ya watu binafsi

Wakati huo huo meya huyo amesema watu 268 wamerudisha kadi za CCM LEO rasmi ..akiongea huku mwili ukimsisimka aliekuwa naibu meya huyo amesema awezi watu hao ndio waliomfanya aamue na yeye kukiama cha cha mapnduzi,unajua bwana hawa watu niko nao hapa sasa kama wanakusapoti kila sehemu na leo wanakiama chama namii sina budi kuwaachia chama chao na kumba ridhaa ya familia kuhami chama chenye mwwelekeo wa kusaidia wananchi.

..watu hao wlaiokuwa wengine wakizichana wamesema aiwezekani kabisa kukaa na wahuni...hiki chama ni chama majambazi hata hivyo watu wengi wamewapa pole na kusema wamechelewa sana kutoka na kutambua wako kwenye lindi la majambazi
 
Watahama wengi. Bado mechi haijaanza

.
Afanye haraka kuhama, tarehe 20 ipo karibu. Halafu kuhusu upinzani vipo vyama viwili tu kwa sasa CUF yenye nguvu visiwani na CHADEMA yenye nguvu zaidi bara.
 
Kwa upande wa wanachama wa chadema tunawakariibisheni sana kujiunga na chama bado amjachelewa tunawatakia kila la kheri

Yaani kweli Chadema mtawapokea wanaohama kwa kukosa ulaji na sio kwa sababu za itikadi? Kama sera zenu ni tofauti na zile za CCM itakuwaje mtawakubalije opportunists wa aina hiili?

Amandla......
 
Fundi,
Politics is an arena of opportunism.
 
Kweli huu ni uchaguzi wa mwaka ama wa historiah

Huko Tanga habari zinasema naibu meya wa ccm ameamua kujiuzuru baada ya kuona rafu za ajabu zikitendeka na wazi wazi uongozi wa juu ukibariki uchafu huo

akiongea kwa huzuni uku akisema nawaombeni mnipe muda mnipe muda si mrefu ntawaambia naelekea chama gani siwezi kuishi kwenye chama cha wahuni

huu ni uhuni wizi nje nje tena viongozi wa juu wanabariki wizi huo kwa manufaa ya watu binafsi

Wakati huo huo meya huyo amesema watu 268 wamerudisha kadi za CCM LEO rasmi ..akiongea huku mwili ukimsisimka aliekuwa naibu meya huyo amesema awezi watu hao ndio waliomfanya aamue na yeye kukiama cha cha mapnduzi,unajua bwana hawa watu niko nao hapa sasa kama wanakusapoti kila sehemu na leo wanakiama chama namii sina budi kuwaachia chama chao na kumba ridhaa ya familia kuhami chama chenye mwwelekeo wa kusaidia wananchi.

..watu hao wlaiokuwa wengine wakizichana wamesema aiwezekani kabisa kukaa na wahuni...hiki chama ni chama majambazi hata hivyo watu wengi wamewapa pole na kusema wamechelewa sana kutoka na kutambua wako kwenye lindi la majambazi

Nenda Naibu Meya, nenda, nenda CHADEMA watakupokea. Nenda uongokane na Chama cha wahuni nenda CHADEMA nasi tunakufuata. nenda CHADEMA ukaongeze msisimko wa uchaguzi, nenda CHADEMA kwenye chama cha ushindi, nenda tukaijenge nchi kwa pamoja
 
Yaani kweli Chadema mtawapokea wanaohama kwa kukosa ulaji na sio kwa sababu za itikadi? Kama sera zenu ni tofauti na zile za CCM itakuwaje mtawakubalije opportunists wa aina hiili?

Amandla......

Watapokelewa CHADEMA vizuri tu, kwani watakuwa wamekimbia sera za uongo CCM, wamekimbilia za ukweli CHADEMA. Karibuni sana enyi mnaoonewa na kuelemewa na mafisadi, nanyi mtapumzishwa...
 
Hii imetulia mkuu, mnao elemewa njooni mpate pumziko teh teh....
 
hakuna lolote ni njaa tu inamsumbua anajua kwamba viongozi wenzake ccm wamemchoka na halmashauri yake ilokumbwa na kashfa ya kupuuza agizo la mkuu wa mkoa la kutoendelea kubomoa barabara ya raskazone na mkurugenzi wake aliwajibishwa na mhandisi kusimamishwa.
 
This is the fact mkuu. The rest is umbea
 
CUF chama cha waislam

CCM chama cha mAFISADI

CHADEMA CHAMA CHA DEMOKARASIA NA MAENDELEO KWA WATANZANIA WOTE, HAYA WAHINI
 
Baada ya Maamuzi ya Kikao chao cha juu ndo utaona Nyomi la watu watakao hamia CHADEMA.....Koz yule jamaa alieshinda jimbo la Mtera nina shaka atakua mwana CHADEMA coming next election. Wapo wengi tu wanakuja......
 
Fundi,
Politics is an arena of opportunism.

Lakini sio blatantly kama wanavyofanya hawa jamaa bila aibu. Opprtunist has never been a compliment.

Watapokelewa CHADEMA vizuri tu, kwani watakuwa wamekimbia sera za uongo CCM, wamekimbilia za ukweli CHADEMA. Karibuni sana enyi mnaoonewa na kuelemewa na mafisadi, nanyi mtapumzishwa...

Hawa hawakukimbia sera za uongo kama unavyosema. Kama wangechaguliwa wangeeleza libeneke na hizo hizo sera. Huo uongo kwani umeanza kwenye uchaguzi huu tuu? Hawa jamaa wakipokelewa wataharibu Chadema kwa kuwa frustrate wale ambao kweli wamekuwa na mapenzi na chama chao tokea zamani. Sitoshangaa kama hawa opportunists watapewa nafasi za kugombea uongozi na kuwatelekeza waliotoka mbali na Chadema yao. God forbid kama Chadema itachukua nchi kwa kutegemea hawa walafi! Chadema yenye hawa jamaa itatufanya nostalgic kwa CCM. Tumeona yaliyotokea Kenya.

Amandla......
 
Uko sahihi Fundi Mchundo waje kama wanachama wapya waongeze nguvu za mapambano na sio kugombea!
 
Back
Top Bottom