Mjumbe wa wana Reading kwenye mkutano wa CCM Dodoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mjumbe wa wana Reading kwenye mkutano wa CCM Dodoma

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by mmakonde, Jul 14, 2010.

 1. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 2. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Bwana Hassan Hamis Hafidhi wa CCM Northampton ameamua kugombea jimbo la Amani Zanzibar!

  Tupeni data ya huyu Kilaza wa kizenji!
   
 3. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nimeangali testimony ya hawa vilaza kwenye blogu ya michuzi na kuiweka kwenye UTUBE.
  It is beggars belief kujidai kuwa wanataka kuleta maendeleo ya wananchi kwa kugombea ubunge.

  Kibogoyo anagombea jimbo la Muleba Kaskazini
  George Mwakalinga jimbo moja huko Iringa

  Ndio maana nchi yetu inakwenda nyuma,kama hawa vilaza wakichaguliwa kwenye bunge !
   
 4. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2010
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Waje tu ili washindwe na hela zao ziliwe pia wasisahau wanaweza kuwa na kesi ya kujibu takukuru
   
 5. MAWINO

  MAWINO Member

  #5
  Aug 5, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mhhh!!!! Mmakonde, kama unovyojiita, umeshaanza na watu wako wa reading, nimechoka sasa na post zako za watu wa reading, hatupumziki, wewe utaenda lini ukatangaze nia ili tukupatie kula?
   
Loading...