Ubuntu ni ya sasa bado? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubuntu ni ya sasa bado?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bibi Amy, Aug 5, 2010.

 1. B

  Bibi Amy Member

  #1
  Aug 5, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hamjambo Watu Wazuri,

  Nilisoma juu ya "ubuntu." Bado ni tumilia mazungumzo ya kila siku au ni oni ya historia tu?
  Nafahamu ubuntu kama "mimi ni mtu kwa wengine watu tu, mimi si mtu bila wengine."

  Mmarekani W.E.B. Dubois aliandika katika kitabu, "The Souls of Black Folk", labda, maoni vilevile, "katika matendo ya ujamii, sisi wanaweza kuwa mbalimbali kama vidole, lakini kama mkono katika matendo ya maendeleo kwa ujamii (W.E.B. Dubois, 1903).

  Unadhani ubuntu (1) bado una mahali katika mazungumo ya sasa (2) ni sawa Dubois maoni ya vidole na mkono?

  Asante rafiki,

  Bibi Amy
   
Loading...