Neno samahani am soory kwa wanasiasa wengi na hata sisi tusiokuwa wanasiasa huwa ni gumu sana kulitanka kama kunywa sumu.
Naomba nipendekeze 1ja ya swali muhimu kuwauliza wagombea watarajiwa...
Security agencies around the Middle East and Asia wants to have access to Blackberry phones when a national security issue warrants it. From Saudi Arabia, to India governments have been pushing...
Naizungumzia NCCR ile iliyokuja kuibuka baada ya sakata la Mrema na Chavda! Naizungumzia NCCR iliyokuwa imemtunuku Mrema uenyekiti wa chama hicho mara baada ya kuihama CCM kwa mbwembwe(haijapata...
Kama nilivyosema Tatizo la Tanzania hasa Dar ni barabara ndogo. Hapa Houston, TX tuna magari milioni mbili (2 million) na hatuna jam kama ya Dar
From IPP website
The President explained that...
KUNA BAADHI YA VYOMBO VYA HABARI SASA VIMEGEUKA KUWA VYOMBO VYA HATARI,HABARI KUBWA WANAZOJUA KANDIKA WAO NI ZA UDINI TU,NASHINDWA KUELEWA WANATOA WAPI UJASIRI,WANAFANYA KAZI KWA NIABA YA NANI YA...
Chadema leaders in Tarime move to CUF
By DAILY NEWS Reporter,
13th August 2010
Political wind has hit hard Chadema in Tarime District, Mara Region where hundreds of its members returned their...
Tumeshuhudia vituko, vioja, mbwembwe, rafu, rushwa, kamata kamata na mengineyo katika siku za kampeni kuelekea kura za maoni ya chama twawala!
Sasa nimeamua kuanzisha thread mahususi kwa ajili...
Wakuu tarehe 14 kuna kikao muhimu cha Chama. Dalili zinaonesha kuwa kuna-fouls zinapangwa kuchezwa ili kuwanufaisha baadhi ya watu walioshindwa kwenye kura za maoni, na kuwakwamisha wale...
Wajumbe wote wa kamati kuu ya CCM wamehudhuria kikao cha CC kinachoendelea Dodoma isipokuwa mwanasiasa mkongwe, John Samuel Malecela pamoja na waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa.
Haikuweza...
UKIONA kwa mwenzio kunaungua ujue kwako kunateketea. Hiyo ni kauli iliyodhihiri jana baada ya uchaguzi wa wabunge wa viti maalumu wa Chadema, kufutwa baada ya kutokea vurugu zilizohusisha utoaji...
..napenda kujua mchango wa mapato ya SMZ kati ya Unguja na Pemba ukoje.
..pia napenda kujua wanagawana vipi misaada wanayopata.
..najua kuna wanaolalamika kwamba Tgk inawaminyia misaada, lakini...
Gazeti la Annuur la Ijumaa Agosti 6-12, ISSN 0856-3861 Na 902 limeandika katika ukurasa wa mbele kabisa kuwa Bunge lijalo kuwa la Usharika na Mchungaji atakuwa Spika Samuel Sitta.
Wanajenga...
Mimi si mpenzi sana wa siasa wala si mwanachama wa chama chochote na nilipiga kura nilipokuwa na miaka 18 miaka 20 iliyopita na nilipiga kwa vile nilitaka kujaribisha ila sijaona cha mabadiliko...
Napendekeza Watanzania wote wenye nia ya kuufahamisha umma wa Wa Tanzania kwa nini CCM hawastaili kupewa miaka mingine ya kuongoza nchi hii kuanda cd zikionesha picha kutoka sehemu mbalimbali za...
CHADEMAs leadership is contemplating whether or not to field a candidate to contest a Parliamentary Seat in Mlele constituency , which Prime Minister Mizengo Pinda passed unopposed on CCM ticket...
Umaana wa kuwa na wagombea huru/binafsi ndio unaonekana sasa. Wengine tulipopiga kelele watu wakatuona kama "hamnazo". Sasa waliokaa kimya wanatamani kubebwa wakati kama kungekuwa na wagombea...
Habari zilizonifikia punde zimesema kuwa rafiki mkubwa wa MH. waziri mkuu mstahafu EL, Mheshimiwa Pelo amepatikana na kashfa ya kuleta mganga wa kienyeji toka mkoa wa Manyara na amekamatwa usiku...