Ole kwa jk na mkuchika

Ole kwa jk na mkuchika

urasa

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2010
Posts
434
Reaction score
2
KUNA BAADHI YA VYOMBO VYA HABARI SASA VIMEGEUKA KUWA VYOMBO VYA HATARI,HABARI KUBWA WANAZOJUA KANDIKA WAO NI ZA UDINI TU,NASHINDWA KUELEWA WANATOA WAPI UJASIRI,WANAFANYA KAZI KWA NIABA YA NANI YA KUSAMBAZA PROPAGANDA ZA UDINI?RAIS NA WASAIDIZI WAKE WAPO WAPI?WIZARA HUSIKA INAFANYA NINI?WANATAKA KULIPELEKA WAPI TAIFA?OLE WAO:smash:
 
ole wako nawe pia mwenye kueneza udini
hata Rwanda vyombo vya habari vilichangia sana mauaji lakini waliohusika leo wanajuta baada ya miaka takribani 20 hata hapa tunawajua wasifikiri wamejificha kwa ID za uongo tutawafuata hadi uvunguni.
 
JF Ni mahali pa uwazi na ukweli. Vitaje hivyo vyombo si kuleta hoja za uficho uficho hapa.
Kuwa wazi mkuu Urasa. Hapa haogopwi mtu. Naona kwa kuwa bado mgeni unakuja kwa uoga. Usiogope taja tu!
 
Magazeti ya habari cooperation,tazama tanzania,sauti huru,najua waungwana watayaongeza mengine yasiyoitakia mema tanzania na sera zao za udini
 
JF Ni mahali pa uwazi na ukweli. Vitaje hivyo vyombo si kuleta hoja za uficho uficho hapa.
Kuwa wazi mkuu Urasa. Hapa haogopwi mtu. Naona kwa kuwa bado mgeni unakuja kwa uoga. Usiogope taja tu!
Mbona yako wazi tu magazeti ya Habari coporations ya RA
 
Sasa kama hujui ulikuwa unatoa majibu kwa swali lipi?kavae kwanza nguo na utupe hilo kopo la ****** uliloshika mkononi,i once warned u,involve ur brain au ndio malaria bado ipo kichwani?
 
Back
Top Bottom