Aliposaini Sheria ya Matumizi ya Uchaguzi ya mwaka 2010, Mwenyekiti wa CCM Taifa, Jakaya Mrisho Kikwete, hakutambua kwamba sheria hiyo ingerudi na kumhukumu kwa kuwa kinara wa kuivunja.
Akiwa...
Huyu mzee yuko wapi? Hajasikika toka alipotoswa na NEC ya ccm. Maskini alishajitabiria kuwa wanataka kumfanya grader; atumiwe kutengeneza barabara halafu ikikamilika azuiwe kupita juu yake! na...
Mzee John Malecela - pole sana kwa ajali ya kisiasa iliyokukuta, in fact hii ni ya pili. Ya kwanza kali zaidi ni ile ambayo ukaenguliwa jina lako na maswahiba wako wa karibu chamani - sababu kuu...
WANAHARAKATI wa kada mbalimbali nchini, wameanzisha umoja unaojulikana kwa jina la Friends Of Dk. Slaa (FOD) kwa ajili ya kumsaidia kwa hali na mali kuhakikisha mgombea huyo wa kiti cha urais...
Nimekuwa nikijiuliza ni kwa kiasi gani mawaziri, manaibu waziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wanavyoweza kufanya kazi zao kwa ufanisi na hatimaye kutoa tija kwa taifa. Kwa maoni yangu...
JK: No going back on anti-graft fight
President Jakaya Kikwete said yesterday, that the war against corruption must be intensified, promising that if elected he would further empower the...
Hivi karibuni kwenye hutuba ya kuvunja Bunge Rais Kikwete aliwatahadharisha wananchi juu ya kuwatumia dini wakati wa kampeni. Lakini cha kustaabisha makundi ya dini yamekuwa yakiripotiwa kushiriki...
Mwaka wa uchaguzi umefika, wakati tuliousubiri kwa miaka 5 kuwatia adabu wale wasiotusikiliza, wale wasiojali maisha yetu na wale wasiojali Tanganyika ya kesho ndio huu. Hiki ni kizazi...
Anaanza na mishahara haitoshi! Kazi nzuri itv!Ebo! Kaingia makala kumbe kipindi! Ila kaongoea vema naona kapiga mahesabu ya mshahara wa mfanyakazi unatosha nauli tu! Ametoa na hesabu kabisa ila...
Wengi tunajua historia ya Zimbabwe kwa takriban chaguzi mbili hivi Mugabe anashindwa na mpinzani wake wa karibu Tsvangirai. Kwenye uchaguzi uliopita pamoja na chama cha MDC kuwa na wabunge wengi...
MKUTANO wa Kampeni wa CCM wa Jakaya Kikwete, leo majira ya saa 10 umeshindwa kufanyika wilayani Ngara mkoani Kagera kutokana na Helkopita yake kushindwa kutua kutokana na Hali ya hewa.
Kutokana...
Je na kwa hili Wa TZ tutaambiwa Kikwete bado ni Rais kwa hiyo mali ya serikali lazima itumike na CCM kweni kampeni......Basi ni kwa namna gani chama tawala kitakatazwa kutumia resources za...
Ndugu zanguni tangu kikwete alipoanza kung'ang'ania kuingia ikulu na kuomba sana awe anaitwa JK (Jakaya Mrisho Kikwete) badala ya JM yaani alidhamilia kuwasahaulisha watu ile imani ya JK (Julius...
Wakazi wa Dar wametakiwa kutokuwa na hofu pale ndege za kivita zitapokuwa zikipasua anga la Dar kuanzia leo 25.08.2010 hadi 01.09.2010 kwa ajili ya mazoezi ya kujiandaa kuadhimisha siku ya JWTZ...
JK leadership has proved failure because of his poor mind. There is a saying that if the body is healthy, the mind will also be healthy. JK's body is not healthy thus his mind is not as well. We...
Na Kizitto Noya, Mwananchi
WAANDISHI wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) wamefukuzwa kwenye kampeni za kumnadi mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Jakaya Kikwete.
Ray...
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Ibrahim Lipumba, jana aliuacha hoi umati wa wanachama wake waliokuwa wamefurika katika mkutano wa kampeni wa chama hicho baada ya Mgombea Udiwani wa...
Habari wana JF!
Sorry, kuna kitu kinanisumbua kidogo. Nimejaribu kufuatilia safari za jk kwa ajili ya kampeni sijaona tofauti yeyote kimuundo na kigharama kati ya safari za kawaida anapokuwa rais...
HAYA WALE WANAOPENDA MABADILIKO UTARATIBU WA KUCHANGIA CHADEMA NI KAMA IFUATAVYO TUMA UJUMBE "CHADEMA" KWENDA 15710 KILA UJUMBE NI SHS 350/= TU KWA WATEJA WA ZAIN NA VODACOM TU. TUMA KADRI...