Kikwete ni mnyongaji mkuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete ni mnyongaji mkuu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by masasi, Aug 27, 2010.

 1. m

  masasi Member

  #1
  Aug 27, 2010
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KATIKA MOJA YA KAMPENI ZAKE KIKWETE ALIDAI KUWA KTK UTAWALA WAKE HAJAWAHI KUTOA RUHUSA YA KUNYONGWA KWA MTU YEYOTE KAMA SEHEMU YA KUJINASIBU KWENYE KAMPENI ZAKE,KIKWETE KWANGU NI MNYONGAJI MKUBWA SANA,MIKATABA YA HOVYO INAYOWATESA WATANZANIA CHINI YA UTAWALA WAKE SIO UNYONGAJI?KUWAKUMBATIA WATUHUMIWA WA EPA WALIOKULA MABILIONI YA WATANZANIA AMBAO WANAKUFA KWA KUKOSA MADAWA SIO UNYONGAJI TOKA KWAKE?MISHAHARA DUNI,VIUWA MGONGO DUNI,MFUMUKO WA BEI KILA KUKICHA UNAOWATESA WANANCHI SIO UNYONGAJI WAKE?ANATAKA AINA GANI NYINGINE YA UNYONGAJI TOKA KWAKE HUYO KIKWETE ALIYEKOSA HURAMA KWA WATANZANIA?:A S-danger::A S-danger:
   
 2. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  :confused2:
   
 3. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mambo ya uchaguzi bwana. Watu mnakurupuka tu na title zisizona mantiki. Nilidhani unataka kumuuliza Rais km yeye ndiye amepewa mamlaka ya kuidhinisha wauwaji wanyongwe, haoni kwamba hatimizi wajibu wake ipasavyo kwa mujibu wa katiba?
   
 4. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mikataba ipi unayomaanisha? Au unamaanisha mikataba ya mtangulizi wake? Wewe upo wapi? mbona mikataba mingine ilimshinda kuvunja, sasa angefanyeje na yeye anataka utawala wa sheria? Mijitu mingine bwana, aghhh,
   
 5. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mikataba yote ya dizaini ya chifu Mangungu, kila mtz mwenye akili timamu anaijua. Kama huna akili timamu bahati mbaya.

  It doesn't matter kama ni ya mtangulizi wake au la, yeye yupo incharge sasa na chochote kinachotokea sasa anawajibika moja kwa moja and it is his fault.

  Alipo mdau kunakuhusuni?

  Kama alishindwa kuvunja mikataba huo ni udhaifu wake, na ni sifa ya kiongozi asiyefaa.

  Bootylickers wengine bana..aargghh..
   
 6. M

  Martinez JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2010
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 518
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  Kweli kikwete ni zaidi ya mnyongaji, na mbaya zaidi ananyonga watu wasio na hatia. Kumbuka hata suala la Barrick kuachia maji yenye sumu yakauwa watu na mifugo yao. na ujue kuwa Kikwete ni mmoja wa wamiliki wa Barrick Gold Mine, anamiliki hisa katika kampuni hiyo ya kikoloni.
   
 7. NAHUJA

  NAHUJA JF-Expert Member

  #7
  Aug 29, 2010
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 15,084
  Likes Received: 15,718
  Trophy Points: 280
  huna sera wewe au umekosa title ya kupost humu? si ukae tu utulie maana unavyofanya mahusiano ya hoja kunyonga na matukio ambayo akili yako inakutuma hata haviendani. Jamani demokrasia hii mnakurupuka tuu hamjui mseme nini
   
Loading...