Je, Ni Haki Kuwavisha FFU Mavazi Haya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, Ni Haki Kuwavisha FFU Mavazi Haya?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by bagamoyo, Aug 24, 2010.

 1. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2010
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,534
  Likes Received: 2,115
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Kwa kufuata hali ya hewa ya Tanzania, je ni haki kuwavisha mavazi haya askari wetu wa FFU?
  Picha kwa Hisani ya SUMO
   
 2. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #2
  Aug 24, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Kwani hao wako Tanzania? Utadhani wanakabiliana na mambomu ya kemikali?
   
 3. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Hata wavae chuma Alshababu wakija hakuna kitu:mad2::mad2:
   
 4. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  hawana lolote mavazi hayo wakwavalie majambazi kule,
  hapo unaweza ukute wanawavali wapiga kula wasiyo hata na jiwe si umaamuma huo?
   
 5. Mentee

  Mentee Senior Member

  #5
  Aug 24, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 142
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mh! hiyo kali. Ina maana tayari tuko vitani ila wenyewe hatujui tu!! Kavazi hako kamoja ni dola ngapi mjomba? Ufisadi utaisha kweli?
   
 6. m

  mjukuu2009 Member

  #6
  Aug 24, 2010
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Tisha ya CCM,wanajua wadanganyika mtaanza kuogopa.
   
 7. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #7
  Aug 24, 2010
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  wangevaa hivyo wakati wanaenda kumkamata mzee wa vijisenti ingekuwa poa kweli.
   
 8. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #8
  Aug 24, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Jasho la Dar na hivi hawatumii DEO, watakuwa wananuka hao, mfffffhhhhhh!!!!!
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Aug 24, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  ni sawa tu, hata saudia na joto lote lile wanavaa hivyo hivyo... tukiwavalisha pensi utakuja juu pia?

  hizo ndio standards mkuu
   
 10. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #10
  Aug 24, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Eeeh!!!
   
 11. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #11
  Aug 24, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  kama serikali wako serious na swala la ulinzi ndugu zetu wasingekuwa wanakatwa mapanga kila siku na majambazi.
   
 12. Bramo

  Bramo JF Bronze Member

  #12
  Aug 24, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 9,457
  Likes Received: 2,504
  Trophy Points: 280
  Unajua mkuu me skuelewgi elwagi kabisa,uko vuguvugu sana
   
 13. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #13
  Aug 24, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  haya magwanda nadhani yana Air condition kwa ndani...!
   
 14. K

  KISUKALI Member

  #14
  Aug 24, 2010
  Joined: Feb 28, 2010
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sidhani kama ufisadi utapungua, licha ya kwisha! Saa zote jamaa wanawaza ni vipi watawahujumu Wananchi na Taifa. kabla ya mavazi hayo kulikuwa na taarifa ya kuwa hao FFU wanashindwa kufanya kazi kwa ukosefu wa Mavazi? Magongo wanayopiga watu si yaleyale na Risasi watakazorusha si zilezile, huu wizi wa mchana utakoma lini?
   
 15. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #15
  Aug 24, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Magwanda hayo nayo ni kwa msaada wa Watu wa Marekani? Naamini wameshafanya nayo rehearsal jinsi ya kukimbizana na sisi kuanzia Octoba 31 wakati wa kutumia avatar yangu kulinda kura
   
 16. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #16
  Aug 24, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mkuu ukiona hivyo ujue sijapata kapombe kidogo... nivumilie na unisamehe bure
   
 17. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #17
  Aug 24, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dawa yako unaijua aiseeeeeeeeeeeeeee huitaji nyingine
   
 18. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #18
  Aug 24, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Mchimba shimo. Wakiona Slaa anashinda, mtashangaa wanawageuka.

  Ninasubiri Ki Mzee Makamba kinapata kibano. Na mwanae akija kumtetea, wanamvunjia tu miwani anakuwa kipofu.
   
 19. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #19
  Aug 24, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  kazi ipo.
   
 20. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #20
  Aug 25, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  kama MAKIRIKIRI wale wa bostswana
   
Loading...