Kwa nini Michuzi aling'aka ailipoambiwa anapigia kampeni CCM? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini Michuzi aling'aka ailipoambiwa anapigia kampeni CCM?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mutu, Jul 31, 2010.

 1. M

  Mutu JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Bwana Issa Michuzi alitoa maelezo marefu kuwa yeye hafungamani na upande wowote ingawa asilimia kubwa tunamjua ni kibaraka wa CCM ,informer fulani wa usalama .

  Sasa hivi iko dhahiri kuwa anapigia debe CCM Kupitia blog yake ,Kuna CD ya JK 2010 anatangaza kwenye blog yake anauza na pia kama unataka kuwekewa milio ya simu ya JK ati usasiliane naye.
  Kama mtu yeyote yule ana uhuru wa kuwa na chama chochote ni haki yake ila kwa nii aligoma at the first place na kuandika waraka mrefu kukanusha na kung'aka.

  Ambao mlikuwa mnashangaa kwa nini taarifa za Chadema na mikutano yao inachelewa kuwekwa au haiwekwi kabisa hope jibu ndio hilo,huyo bwana ni kada wa CCM A.K.A mafisadi .Kwa hiyo ana sababu zote za kuwa baised ,habari za CCM hata ki halfa kidogo ,kura za maoni faster anaweka,ukiuliza chadema au vyama vingine unambiwa hii blog yeyote anaruhusiwa ku post alaaa ndio iko hivyo!!
   
 2. M

  Mkandara Verified User

  #2
  Jul 31, 2010
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mkuu Michuzi ni mfanya biashara pandeni dau tu! - hafanyi kazi ya kanisa!
   
 3. M

  Mutu JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  Kila mtu anajua kuwa wengi wako karibu na CCM ki maslahi yao,so is him.
   
 4. Tarishi

  Tarishi Member

  #4
  Jul 31, 2010
  Joined: May 9, 2008
  Messages: 84
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 25
  Sitaki kumtetea Michuzi wala CCM. Kama sikosei yeye alisema hao vyama vingine mfano CHADEMA na wengineo hawana njia ya kufanya publicity ya vyama vyao na shughuli zao. Wao wanahisi kila mtu atawafuata. Asilimia karibu 98 za habari za CCM kwa Michuzi zinatumwa kwake, na hao wa CHADEMA mpaka aende mwenyewe (mfano siku Mbowe kamtangaza Dr Slaa kuwania Urais) yaani hata video aliweka.

  Halafu wewe Mutu inaonesha umetumwa ama una chuki binafsi na Michuzi ambaye wala halipwi na wewe wala nini. Wewe umemkazania kuwa ni kada wa CCM kwani tatizo liko wapi? Hivi kuwa mjanja ama mtu sawa lazima mtu uwe CHADEMA.

  Mnamfagilia Dr Slaam mnamkumbuka Mrema na NCCR yake alivyokuwa anasomba watu na siku ya siku ikawaje? Mnamkumbuka Nyerere aliwaambia watu Jangwani pale kama mtu anapenda kubebwa kama maiti mwacheni sio kosa, Dr Slaa kwa lipi hasa?? Hayo madesa ya EPA na RICHMOD ambayo tumeshachoka kusikia (hamna mengine) mbona yeye hatuzungumzii alivyotemwa na kanisa? Mnataka tumwage mtama hapa??

  Nyie CHADEMA wachache wenye njaa msio ne kuwa CCM ni dhambi. Dhambi iko katika kuongozwa na NGO ya ukoo inayoitwa chama cha siasa. Upumavu tu umewajaa. Mumkome Michuzi wa watu.
   
 5. bona

  bona JF-Expert Member

  #5
  Jul 31, 2010
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  ukitaka mambo yako yakunyokee jiunge na ccm - mzee rukhsa
   
 6. M

  Malyamungu JF-Expert Member

  #6
  Jul 31, 2010
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 363
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata Sumaye alishawahi kuyasema hayo maneno walimletea noma sana kule Arusha wananchi wakamwueleza wote tukijiunga huko hatutalipa kodi waache hao wachache wawemo na mambo yao yawanyookee na wasaidiwe na hiyo CCM.
   
 7. edwinito

  edwinito JF-Expert Member

  #7
  Jul 31, 2010
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 211
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  MODS, hii ikoje??
   
 8. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #8
  Jul 31, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Uhuru wa kuongeaaaa!

  Lakini mkuu, Upumavu ni nini? Hapo ndo sijui kama ni tusi ama neno jipya, otherwise ni utetezi wake kwa Michuzi, ana haki kumtetea ingawa si kwa kutukana ama kuvunja sheria za JF
   
 9. edwinito

  edwinito JF-Expert Member

  #9
  Jul 31, 2010
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 211
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ni kweli huenda Upumavu ni neno jipya mkuu, lakini hata kama anamtetea Michuzi, atumie lugha nzuri! Je, hajavunja sheria hapo??
   
 10. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #10
  Jul 31, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Naona CCM imeamua kupandikiza watu humu ili wajibu hoja za wanachadema. Kwenye forum hii wanaCCM wanahesabika kabisa, na hawazidi wanne: mkipenda nitawataja, lakini CHADEMA ni zaidi ya 80% ya wanaforum, sasa huo uchache unaousema ni upi? Na ni nani mwenye njaa kati ya anayeshabikia ufisadi na umasikini mkubwa ulioletwa na CCM na yule anayeshabikia mapinduzi ya kiuchumi yenye lengo la haki sawa kwa wote? Ndugu yangu hakuna chochote ambacho wanachadema wanapata au wapinzani kwa ujumla wanafaidi kwa kuwa upinzani, zaidi ya nia ya dhati ya kutaka mabadiliko ya kweli nchini.

  Lakini wengi wa mashabiki wa CCM humu ndani ni wale wanaokula makombo yanayodondoka kutoka mezani mwa mafisadi wa nchi hii. Na hicho ndo kimewapumbaza kiasi cha kwamba hamjali kabisa hali ngumu za maisha ya watanzania walio wengi ambao wanataabika kwa ujambazi uliokithiri, elimu duni, huduma duni za afya, na mengine mengi.

  Nitaendelea kusema na sitaacha kusema kwamba wanaoshabikia CCM ni wenye njaa kali, wabinafsi na walafi wasijali maslahi ya taifa bali maslahi yao binafsi.
   
 11. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #11
  Jul 31, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Ndo zao!
   
 12. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #12
  Jul 31, 2010
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 4,718
  Likes Received: 1,211
  Trophy Points: 280
  Weye ni kati ya wanafunzi walioachwa solemba kule Ukraine?
   
 13. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #13
  Jul 31, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  :shock:
   
 14. M

  Mbalinga JF-Expert Member

  #14
  Jul 31, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 1,381
  Likes Received: 407
  Trophy Points: 180
  Je wewe ndiwe Michuzi? Kilichinishangaza na kukudharau ni matusi. Mtu mstaarabu huwa anajenga hoja na sio kutukana
   
 15. J

  JokaKuu Platinum Member

  #15
  Jul 31, 2010
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,730
  Likes Received: 4,949
  Trophy Points: 280
  ..Michuzi na Raisi Kikwete ni marafiki.

  ..sasa Michuzi akianza ku-promote habari za Slaa hamuoni kwamba atakuwa amemuudhi rafiki yake?

  ..kama ni mitandao iko mingi, Chadema wanaweza kuwaomba waweke habari zao huko.

  ..PIA IJULIKANE KWAMBA UKIENDA KWA MICHUZI UNAKWENDA KUSOMA HABARI ZA CCM.
   
 16. Tarishi

  Tarishi Member

  #16
  Jul 31, 2010
  Joined: May 9, 2008
  Messages: 84
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 25
  Mod unatia wasiwasi kwamba wewe unaanzisha bifu ili kumnanga Michuzi baada ya kuwapiga bao wanamitandao wote kwa kutengeza fweza ya nguvu kuliko nyie woooote ka njia ya matangazo kibao. nia yenu ni kumchafua na yeye masiki yuko kimyaaaaa. JF kubali tu jamaa kawapiga bao acheni kumuandama na cheap politics za watu wa kuja. Eti CCM wamepandikizwa humu. Mnaiona CHADEMA ya maaana na mnasahau yaliyomkuta Mrema. Nyie ngoja huyo askofu wenu wa kanisa katoliki apigwe chini come october ndio mtashika adabu
   
 17. Nyadhiwa

  Nyadhiwa JF-Expert Member

  #17
  Jul 31, 2010
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 266
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Huenda una zaidi ya hii thread.....
   
 18. bwegebwege

  bwegebwege JF-Expert Member

  #18
  Jul 31, 2010
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 1,031
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Wananchi

  Mimi nimekuwa siridhishwi kabisa na baadhi ya Globu za kibongo hasa Blogu inayokwenda kwa jina la “BLOG YA JAMII” inaendeshwa na IM maslahi ya kundi Fulani….Wakati wa Mkutano wa CCM kila tukio limekuwa likirushwa na Globu yake….inakuwaje anashindwa kufanya hivyo kwa mrindimo wa kisiasa na uteuzi wa WAPINZANI?? Na si kwenye siasa tu; huyu jamaa hata zinapotumwa mada kadhaa kwenye Blog yake…ZINAZOKOSOA KWA UWAZI UTENDAJI WA SERIKALI YA CCM huwa anaziweka pembeni!! KULIKONI HUYU JAMAA?
  Wadau kama kuna mwenye nyeti zake na limk aliyonayo na mguzo anazotegema hebu tumwagieni?

  BLOG YA JAMII INAWAKILISHA JAMII YA CCM PEKE YAKE??
   
 19. bwegebwege

  bwegebwege JF-Expert Member

  #19
  Jul 31, 2010
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 1,031
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Huyo jamaa anametetea CCM na MICHUZI kwa nguvu hadi kuita Cahdema "WAPUMBAVU" naona amepitiliza mipaka yake ya uhuru wa kulonga! Hawa ndiyo wale CCM wanatumwa kutafuta nini kinasemwa na wanaripoti kwa sirikali na kwa CCM yao!! Ukweli unabaki, MICHUZI yupo bias na amekuwa akiitumia sana Globu yake kuficha madhambi ambayo watu wanayaweka wazi kuhusu CCM. Sisi tunamjua Michu in and out...tunajua yeye na wanahabari gani (wakiwemo watangazaji) wanaotumiwa na CCM...Kwa taarifa tu, bado hajaanza, wanapanga mikakati hiyo ya kuuza CD ya Kikwete ni moja tu..........
   
 20. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #20
  Jul 31, 2010
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Isa Michuzi ana e-mail yake katika blog yake. Ni vema ukapeleka malalamiko yako kwake badala ya kujaleta hapa. Aidha ipo thread katika ukumbi wa uchaguzi 2010, inayozungumizia kadhia hii. Unaweza kwenda huko na kuona/kuchangia maoni yako juu ya Michuzi. Zaidi utapata ufahamu mkubwa juu ya malalamiko yako.

  Tembelea hapa kupunguza maumivu yako ya kichwa.
   
Loading...