Elections 2010 Msafara wa Kikwete wapata ajali...

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
Kuna taarifa kuwa msafara wa mgombea kwa ticket ya CCM umepata ajali baada ya gari la ulinzi kupinduka.

Taarifa zaidi zinasema hakuna majeruhi makubwa ingawa imesababisha usumbufu mkubwa katika msafara wa mgombea huyo.
 
Du poleni,
Nilidhani wote tunafuatilia ya Jangwani tuu kumbe taarifa za chama 'chetu' pia zinaendelea kutufikia!.
Asante.
 
Mwaka huu naogopa sana...ajali ziwe za kweli tafadhali,isiwe hujuma..
 
Du poleni,
Nilidhani wote tunafuatilia ya Jangwani tuu kumbe taarifa za chama 'chetu' pia zinaendelea kutufikia!.
Asante.
Mkuu,

Kutotoa taarifa SI UUNGWANA! Uungwana ni vitendo; waandishi wanapotufahamisha lolote hatuna budi kuwafahamisha.
 
ajali ya ngapi hiyo......??????
hivi huwa wanamkumbuka mungu kweli na harakati zao hizo??????
au ndo kina profesa maji marefu tu wapo kazini??????????
 
Kwa kweli ni mkosi wa aina yake. Maana kila wakati ni matatizo tu: mara kukanyaga mtu, mara kupinduka. Duh!

unategemea nini kama
wagombea wao wa ubunge ni
wanunuzi wa viungo vya albino,na waganga wa kienyeji...????????
 
Does it look like for every 100 kms, one accident happens??! Madereva wanachoka au ndio zile mbwembwe za kuendesha misafara utadhani wanatoka au kwenda airport Dar?? Safety ya kiongozi mkuu wa nchi na wale wanaomsaidia ni ya muhimu sana. Nafikiri wanatakiwa kuliangalia hilo pia.
 
Natamani kuwa impartial lakini nashindwa.Kwahiyo samahani kwa nikaowakwaza lakini binafsi I just wish natural forces,or rather fate,imwondoe JK kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi.Gharama za kampeni yake na za CCM yake ni mzigo mwingine kwa Watanzania (refer mabilioni ya matangazo yaliyotengenezwa Kanada kwa oda kutoka Ikulu).Fedha hizo zingeweza kuelekezwa kwenye maeneo mengine muhimu kwa taifa (if not to feed mafisadi huko jela baada ya Dkt Slaa kuingia madarakani).
 
Shehe Yahaya anataka damu ya watu kwani alimtabiria ushindi JK
 
He! ni jana au juzi pia msafara wa bilal alipata ajali lindi! Mmh! Sina imani na uchaguzi huu moyo unaenda mbio nahisi huu uchaguzi unaweza ondoka na mgombea! Mawazo tu jamani msijenge chuki!
 
Back
Top Bottom