Burian accuses CHADEMA rival of mudslinging in poll campaigns | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Burian accuses CHADEMA rival of mudslinging in poll campaigns

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Msharika, Aug 27, 2010.

 1. M

  Msharika JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Arusha sasa hapakaliki, Lema anakata Anga na kuwa tishio kwa Buriani, Cha ajabu buriani badala apambane kiwachani anatafuta ushindi wa mezani kwenye tume ya uchaguzi. Analalama nini? si aendeleze libeneke.

  Source: Home
   
 2. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,073
  Likes Received: 4,001
  Trophy Points: 280
  amezoea kubebwa
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kazoea kubebwa kwa kutegemea kilichofichwa ndani ya sketi ..analo sasaa
   
 4. u

  urasa JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Chadema tumaini jipya la watanzania
   
 5. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #5
  Aug 27, 2010
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,866
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Kipi??? Una uhakika?????!!!!!!
   
 6. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #6
  Aug 27, 2010
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kama kweli ungekuwa hujui ni kipi, usingeuliza tena "Una uhakika?" Sina nia ya kuunga mkono kauli ya Kigogo, ila nataka nikukumbushe tu kwamba wakati mwingine sentensi zetu huwa zinapingana!
   
 7. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #7
  Aug 27, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  :mad2:
   
 8. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #8
  Aug 27, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  ccm inabebwa na makada wao waliotapakaa nchi nzima katika nyanja zoote, kuwang'oa inahitaji juhudi ya ziada, massive win, ama katiba ibadilike, msajili ni kada, wakuu wa tume ya uchaguzi ni makada, Mwema ni kada, Mkuu wa UWT ni kada.
   
 9. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #9
  Aug 27, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  nadhani ni kipochi manyoya...! :becky::becky:
   
 10. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #10
  Aug 27, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280


  Huu nao ni upuuzi, unawezaje kushindana na mtu kwenye uchaguzi bila kuwaambia wapiga kura udhaifu wa mpinzani wako?

  Nadhani hili limewekwa kusudi kuwalinda wagombea wa CCM wasiandamwe kutokana na skendo zao kiungozi.
   
 11. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #11
  Aug 27, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Haya ni matusi na wala hayastahili. Hawa watu wachache watatufanya soote tuonekane wahuni.
   
 12. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #12
  Aug 27, 2010
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Katika hao wote anayenisikitisha ni huyo aitwaye Tendwa. Huyu mtu ukimuangalia anavyoongea, gestures mbele ya TV, kweli zinamtosha?

  Angekuwa ndo amevunja ungo ningemuelewa kwamba labda rika linasumbua, lakini umri huo? Hivi kweli huyu ndo the best we could get? Au ana sifa gani tusiyoiona?
   
 13. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #13
  Aug 27, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  yaelekea wewe unafikiria ndani ya sketi tu muda wote. Aibu, jitu kubwa kumbe K J
   
 14. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #14
  Aug 28, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Nime pata habari to A town kuhusu Burian- kuwa wanao jifanya kuwa ni ma bouncer wake au kwa msemomwingine bodyguards ni wana mafile machafu. na wanajulikana hapo A town sasa sijui mwatuingizia watu gani ndani ya serikali, itabidi tuanze kuchunguza wapambe wa wagombea ni watu wa aina gani katika jamii
   
 15. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #15
  Aug 29, 2010
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  Ni LINI Chama Cha Mapinduzi ilifanya kampeni ambayo haikuwa na rafu kwa upinzani?

  Wamewafanyia rafu wagombea wa upinzani ili wabaki na majimbo bila upinzani. Sasa anacholalama Burian ni kitu gani?

  Hajawahi kuingia kwenye kampeni ya kuchaguliwa. Asimame kidete, akafanye kampeni. Kulalama hakumsaidii.

  Binafsi simwonei huruma, na simwonei huruma mgombea yeyote wa CCM, isipokuwa MWAKYEMBE peke yake! BASI! Angekuwa upande wa CHADEMA angetufaa sana!
   
 16. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #16
  Aug 29, 2010
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,855
  Likes Received: 2,431
  Trophy Points: 280
  buriani ,shakula ya lowassa...na ana ule ugonjwa wa surua[yaani kupenda vijana]...waulizeni majirani zake wa pale bimas qouters kabla hajahama...hadi yule mume wake mzazibar yakamshinda....
   
 17. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #17
  Aug 29, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  CHADEMA Kaza Buti maana tumechoka na CCM
   
 18. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #18
  Aug 29, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna kitu ambacho baadhi ya watu wanapenda kujidanganya kuwa hakina athari katika siasa za nchi na harakati za ukombozi wa wanawake. The motive behind some of pertinent political decisions is at the center! The center of humanbeing! Tukishakubali hilo ndo safari ya mabadiliko inaanza. Hii ya kukaa kufikiri kusema wanawake wanatumika ni udhalilishaji ni kujidanganya, wanatumika tena sana tu
   
Loading...