Elections 2010 ZOMEA, ZOMEA yamkumba mgombea wa CCM ubungo

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Kama umaangalia kipindi kilichooneshwa na TBC1 mdahalo wa wagombea wote wa ubungo
Mnyika, Julius na wa CCM na wengine

Mama wa CCM alipoamka kuhitimisha alianza kuzomewa wa wasikilizaji waliokuwa studio

sijui kwanini alizomewa mana alipopewa nafasi ya kuhitimisha alitika kujibu swali la dada aliyemuuliza mwanzoni(bahati mbaya sikuweza kupata hilo swali)
 
Isije kuwa Chadema aliweka mapandikizi yake kuhakikisha Yule wa CCM anazomewa?

Siasa ni mchezo mchafu
 
Wakati akiwa Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Kinondoni na kuuzwa kwa nyumba ya UWT na kupelekea kuunwa kwa Tume kutoka UWT Makao Makuu CHADEMA walikuwepo? Huo ni ufisadi wake uamlize mwenyewe?
 
Back
Top Bottom