Tz daima, mwanahalisi, raimwema hayapo tena hewani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tz daima, mwanahalisi, raimwema hayapo tena hewani!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mkulima mimi, Aug 28, 2010.

 1. M

  Mkulima mimi JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2010
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 233
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Waungwana ni nini kinaendelea? magazeti yote yaliyo mrengo wa kushoto kwa serikali website zake hazipatikani
  www.freemedia.co.tz/daima
  www.raiamwema.co.tz
  www.mwanahalisi.co.tz
  zote zina kama matatizo yanayofanana tatizo ni nini hasa?
  Mwananchi linapeta lenyewe bado lipo hewani! Hii inaweza kuhusianishwa na uchaguzi? Gazeti la tz daima baadhi ya maeneo limekuwa adimu sana. kama ilivyowahi kudaiwa humu kwamba linauzwa kama njugu! kuna ukweli kwenye hizi habari kweli??
   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Aug 28, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Bado Jamiiforums!!!!!
   
 3. M

  Mkulima mimi JF-Expert Member

  #3
  Aug 28, 2010
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 233
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  acha utani! Unataka kusema ni mkakati au sijakupata viruzi!
   
 4. u

  urasa JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nini kauli za wamiliki wao?watuambie basi kuliko kuwa na maswali ambayo wao wana majibu yake
   
 5. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kama siyo matatizo ya magazeti yenyewe ktk website zao, basi huenda ni mkakati. CCM wana hofu kubwa kwelikweli ya kushindwa, take it from me! They are ready to travel great lengths to remain in power!!!!
   
 6. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2010
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,467
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
  Something is wrong somewhere,labda tunarudi enzi zile za IRON CURTAIN,kuna watu wanalipwa mishahara toka kodi za wananchi kazi yao ni kuaribu tu,kujenga hawawezi.Wamezoa vya kunyonga vya kuchinja ni matawi juu.
   
 7. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #7
  Aug 28, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Unajua kadri siku zinavyokwenda naanza kuona hiyo hofu ya CCM, haiwezekani chama chenye all of the resources maybe X 1,000,000 OF ALL OTHER PARTIES kinaonekana kutapatapa. Inaonekana behind the scene kuna mengi yanaendelea kuhakikisha upinzani nakuwa weak. alkini wanashindwa eneo moja muhimu, TRUE AFFECTION CAN'T BE BOUGHT.
   
 8. M

  Mugerezi JF-Expert Member

  #8
  Aug 28, 2010
  Joined: Mar 28, 2007
  Messages: 454
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nikweli ukifungua Tz Daima na Mwanahalisi message Web not found wakati Raia mwema you have reached Bandwidth limit.

  Nivizuri wamiliki wakatupa sababu kwanini website zao hazipatikani.
   
 9. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #9
  Aug 28, 2010
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  Ok, naomba niwape ufafanuzi.

  Domain name ZOTE zinazoishia na .TZ zili-expire ilipofika Julai 27, 2010. TZ-NIC, taasisi ya kiserikali inayosimamia usajili na usimamizi wa domain name hizo, ilitoa tangazo kuwataka wamiliki wa domain hizo wazirejeleshe (renewal) ndani ya siku 30 baada ya Julai 27, 2010. Tarehe ya kusimamisha domain ambazo zili-expire ilikuwa Julai 26, 2010, saa 1 usiku. Kwa hiyo, kuanzia siku hiyo, domain name hizo zimekuwa hazipatikani, huduma za Web na Email zikiwa zimesitishwa.

  Kwa sasa, TZ-NIC imetoa muda wa mwisho wa siku 15 kwa domain name hizo kulipiwa ada ya kurejelesha, ili zisiondolewe kabisa mtandaoni.

  Hakuna hujuma iliyofanyika, ni kwamba, ama wamiliki wa tovuti hizo WALIJISAHAU au hawakuwa na taarifa kamili. Mimi mwenyewe sikuwa na taarifa kamili, nina domain name zangu TATU ambazo zimesimamishwa kwa muda huu, ila nitazilipia wiki ijayo, zitarejea hewani.

  Iwapo unamfahamu mtu mwenye tatizo hili, mwambie awasiliane na mtoa huduma (web hosting provider) wake ili afanye mpango wa kwenda ku-renew. Ada ya renewal kwa kila mwaka ni TZS 20,000. Kwa mawasiliano zaidi, tembelea wavuti ya tzNIC Home Page.

  Asanteni.

  -> Mwana wa Haki

  P.S. Domain ya JamiiForums haisimamiwi na TZ-NIC.
   
 10. M

  Mkulima mimi JF-Expert Member

  #10
  Aug 28, 2010
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 233
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  kaka akhsante lakini mbona jana august 27 tz daima lilikuwa hewani? Na pia mwanahalisi na raia mwema yaliendelea kuwepo hewani hata baada ya july 27. Ni mwishoni mwa wiki hizi mbili ndiyo hayapatikani! Unaweza kutueleza zaidi ya hapo! Ila asante umetoa ukungu uliotanda!
   
 11. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #11
  Aug 28, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  hata daily news na habari lao hawapo hewani nilikuwa nataka kupata stary yao moja nimeshindwa kuingia katika web zao
   
 12. J

  JUANITA Member

  #12
  Aug 28, 2010
  Joined: Mar 27, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nimepata Daily News, The Citizen, IPP Media, Mwananchi ila nimeshindwa Mwanahalisi, Tanzania Daima, Raia Mwema. Yale mengine yasiyo mrengo 'unaokubalika' sina kawaida ya kuyatafuta, hivyo sijui kama yanapatikana. Lakini nadhani MwanaHaki ametufungua macho kiusahihi! Asante kwake!
   
 13. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #13
  Aug 28, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  asante mkuu kwa kuwaumbua watu humu jf na kuwatia aibu. Nimefurahi sana kwa sababu mengi yanayoandikwa humu ni majungu tu. Hayana ukweli wala mashiko. Mtu kama ZAK MALANG alishaliazisha humu, sasa baada ya taarifa yako hii sijamuona atoe komenti tena. Ni aibu kwa kweli. Naamini fitina zao hazina muda mrefu, zitakuwa ziko open kwa public.
   
 14. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #14
  Aug 28, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Watashindwa tu kama kuna mkono wa mtu
   
 15. M

  Malyamungu JF-Expert Member

  #15
  Aug 28, 2010
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 363
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni ukweli JF inapeta jama online news papers are not available anymore including TZ Daima, Habari leo. Any one knows some circumstances could please drop us some lines?
   
 16. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #16
  Aug 28, 2010
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  Kimsingi ni kwamba domain ambazo zimekuwa SUSPENDED zimeondolewa kwenye ACTIVE ZONE ya TZ-NIC, lakini HAZIJAFUTWA.

  Wahusika wakienda ku-renew, zinarejeshwa pale pale. Ni kiasi kidogo tu cha TZS 20,000/=.

  TZ-NIC wako pale Ground Floor, LAPF Millennium Towers, ukiingia kwenye mlango mkuu ni upande wa kushoto, utaona kibao kinachoelekeza mahali ilipo ofisi yao.

  Nashukuru nimepata fursa ya kutoa ufafanuzi.

  -> Mwana wa Haki

  P.S. Kama Tanzania Daima iliendelea kuwa hewani baada ya July 27, 2010, hilo lilikuwa kwa watu wote ambao domain zao zili-expire. Na pia, kama waliendelea kuwa hewani baada ya Agosti 26, 2010, hilo lilitokea kutokana na kitu kinaitwa DNS Cache. Ni suala la kitaalam zaidi, itabidi nichukue muda mrefu kuelezea, na ni mambo ambayo ni magumu kuyaelewa. Hata mimi domain zangu zimesitishwa... nina siku 15 tu kwenda kulipia, naenda wiki ijayo!
   
 17. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #17
  Aug 28, 2010
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  Soma post yangu ya nyuma.... kwenye thread hii...
   
 18. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #18
  Aug 28, 2010
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  Kaka, kuna hujuma na kuna hujuma.... CCM wanacheza rafu... lakini kwa hili za TZ-NIC hawahusiki... Usiwe mwepesi kuwatetea.

  Asante kwa maoni yako.
   
 19. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #19
  Aug 28, 2010
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  MwanaHalisi hawatarudi hewani kwa sababu ambazo mimi ninazijua, labda watafute domain name nyingine, au wafanye utaratibu mwingine. Ukitaka kujua undani, Juanita, nitafute kwa PM.
   
 20. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #20
  Aug 28, 2010
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Whaaaaattttttt???????
   
Loading...