Uzinduzi - chadema be aware | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uzinduzi - chadema be aware

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Nyambala, Aug 25, 2010.

 1. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  CCM ni chama cha fitna na kimekuwa reduced such that everyting in CCM kina bei yake, hata uraisi. Ni chama kilichofilisika kisera na ndiyo maana kiko bize kununua affection. CCM na wapambe wake will stop at nothing wanapoutafuta ushindi.

  Kuanguka kwa mgombea uraisi kwa tiketi ya CCM jukwaani tena hadharani for sure did steal the show ya uzinduzi wa kampeni ya CCM. Wapambe na makada waliumizwa na wanaendelea kuumia na lile tukio. To them walifanya kila namna kutaka kushawishi umma wa watanzania namna JK anavyokubalika na kama kawaida yao walihakikisha watu wengi wanahudhuria uzinduzi ule. But the show was stolen and still is.

  Sasa basi CHADEMA wasibweteke wakifikiri CCM na wapambe wake watafurahia kuona uzinduzi wa kampeni yao unakwenda bila kuwa distracted. I am reliably informed (Na mmoja wa wle wavaa Kaunda suti) kuwa kuna some machine secretly inafanyia kazi namna ya kuiba show ya uzinduzi wa CHADEMA, and they are ready hata kwenda for some ugly tactics just to have this show stolen.

  Hivyo basi kuna haja CHADEMA kujiandaa kimkakati na kiintelijensia kukabiliana na uhuni huo. Moja ya mbinu tarajiwa ni kuwatumia baadhi ya vijana kufanya vurugu na kisha polisi na FFU kuingilia and the kuibrand CHADEMA kama chama chenye fujo. It is therefore important kujiandaa kurekodi matukio ya namna hii. Hii haitakuwa mara ya kwanza kwa CCM na machinery yake kufanya hivyo we saw it with NCCR MAGEUZI (1995), CUF (miaka yote kule Zenji), pia kule Tarime, Busanda na Biharamulo.

  Kuna mbinu nyingine ya kuformulate matukio makubwa yenye kupata National attention a day before au ndani ya siku yenyewe. Serikali ndiyo injinia mkuu wa mbinu hii.

  So CHADEMA get ready you have been warned.
   
 2. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Tena nime tonywa kuwa wameandaa bamia kuziweka jukwaani ili Dr. Slaa naye ateleze ili ku- neutralize issue ya kuanguka kwa kikwete!
   
 3. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Haha hahaha haha! Kwa jinsi hawa jmaa walivyo desperate wanaweza kwenda this far!
   
 4. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Naona yametimia, TBC made the distraction
   
Loading...