Kukumbushwa na kupotoshwa kipi bora? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kukumbushwa na kupotoshwa kipi bora?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by mozze, Aug 30, 2010.

 1. m

  mozze Senior Member

  #1
  Aug 30, 2010
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 185
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumekuwa na habari kuwa mgombea wa CHADEMA alikumbushwa kuongelea masuala ya Uchumi. Wapo wanaotumia hii kama silaha ya mashambulizi.
  Lakini kwa miaka mitano mambo mbalimbali ya kitaifa yameenda kombo. Mfano mdogo ni mtu kuambia sio rahia na chama cha siasa ambao sio wenye majukumu ya kutoa urahia. Wale waliokuwa wanashabikia, nikikumbuka kwa mfano Katibu wa CCM, nimeona kwenye magazeti anasema mkubwa amepotoshwa na wasaidizi wake.
  Kati ya hawa wawili yupi ni BORA!
   
Loading...