Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wana Jamvi Ugonjwa unaomsumbua Rais Kikwete uitwao "AHADIsm" umeendelea kusambaa kwa kasi na hali yake sasa ni mbaya. Wasaidizi wake wanaofuatana naye katika safari za Kampeini wameniambia...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifatilia mambo ya siasa, hasa katika kipindi hiki cha Uchaguzi. Nimekuwa najiuliza sana nini dhamira ya CCM. Kama CCM ina dhamira ya kweli ya kuleta maendeleo kwa wananchi wake. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wale wanaoweza watuwekee ilani za vyama mbalimbali ili tulio katika forum hii tuweze kufanya uchambuzi makini, tuache ushabiki wa majukwaani. Tukiwa na Ilani ndio tutajua mgombea gani anasema...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Slaa`s Top Six Agenda "The Guardian," Dar es Salaam, Tanzania By Polycarp Machira 29th August 2010 Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) launched its election campaign yesterday, by...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kumekuwa na habari kuwa mgombea wa CHADEMA alikumbushwa kuongelea masuala ya Uchumi. Wapo wanaotumia hii kama silaha ya mashambulizi. Lakini kwa miaka mitano mambo mbalimbali ya kitaifa yameenda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mgombea urais kwa tiketi ya NCCR Mageuzi Mh. Hashim Rungwe akionyesha ilani ya uchaguzi ya chama hicho. NCCR itaanza kampeni zake baada ya mfungo wa ramadhani.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama umaangalia kipindi kilichooneshwa na TBC1 mdahalo wa wagombea wote wa ubungo Mnyika, Julius na wa CCM na wengine Mama wa CCM alipoamka kuhitimisha alianza kuzomewa wa wasikilizaji waliokuwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Sipati picha imekuwaje leo Mtanzania linawafagilia Chadema kiasi hiki ambacho si cha kawaida? Pata udondozi wa Kichwa Kikuu Cha Habari: KAMPENI SI MCHEZO Dk. Slaa Naye "Afunika" - Ataanza...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Bwana Issa Michuzi alitoa maelezo marefu kuwa yeye hafungamani na upande wowote ingawa asilimia kubwa tunamjua ni kibaraka wa CCM ,informer fulani wa usalama . Sasa hivi iko dhahiri kuwa...
0 Reactions
61 Replies
7K Views
Nina tumai kwamba Jamiiforums inatekeleza dhana yake ya – WE DARE TO TALK OPENLY, kwa vitendio, na kwahiyo basi waratibu wake hawatafuta maswali yangu kwa wagombea Urais wa Chadema, CUF, na CCM...
0 Reactions
102 Replies
12K Views
TBC wanaoendeshwa kwa kodi yako wewe na mimi. Hawa ndio waliotumiwa na Rostam Aziz kuihusisha kwa nguvu zote CHADEMA na Kifo cha Wangwe. Mnaweza kukumbuka mtiririko wa mambo waliyoyafanya. Hawa...
0 Reactions
168 Replies
17K Views
Kwa kufuata hali ya hewa ya Tanzania, je ni haki kuwavisha mavazi haya askari wetu wa FFU? Picha kwa Hisani ya SUMO
0 Reactions
44 Replies
14K Views
KATIKA MOJA YA KAMPENI ZAKE KIKWETE ALIDAI KUWA KTK UTAWALA WAKE HAJAWAHI KUTOA RUHUSA YA KUNYONGWA KWA MTU YEYOTE KAMA SEHEMU YA KUJINASIBU KWENYE KAMPENI ZAKE,KIKWETE KWANGU NI MNYONGAJI MKUBWA...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Arusha sasa hapakaliki, Lema anakata Anga na kuwa tishio kwa Buriani, Cha ajabu buriani badala apambane kiwachani anatafuta ushindi wa mezani kwenye tume ya uchaguzi. Analalama nini? si aendeleze...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
WaTarime hata mimi nawaogopa!Hao jamaa wamezoea kuuana hivyo si rahisi kuacha mila na destuli yao!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Inanitatiza hapa. Inakuaje - katika vyama vikuu vya upinzani – CUF inaonekana kulala usingizi? Hivi hili pingamizi Dr Slaa alilomuwekea JK kuhusu "hongo" kwa wafanyakazi CUF wao...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Waungwana ni nini kinaendelea? magazeti yote yaliyo mrengo wa kushoto kwa serikali website zake hazipatikani www.freemedia.co.tz/daima www.raiamwema.co.tz www.mwanahalisi.co.tz zote zina kama...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Wachambuzi wa mambo wanafahamu dalili zote za mataifa yanayoelekea kwenye anguko. Bahati mbaya zimeanza kuonekana hapa kwetu kwa miaka sasa na viongozi wetu hakika hawajaweza kuliuona hili ama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu elimu ya chuo kikuu imeendelea kudhalilishwa huku serikali ikifumbia macho jambo hili. Majoho tuliyozoea kuona wahitimu wa vyuo vikuu wakivaa miaka ya hivi karibuni yamekuwa mavazi...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wapendwa wanaJF, ni yamkini tulifuatilia kwa makini tangu mbio za uraisi zilipoanza rasmi 20/08/2010 pale ambapo wagombea wote wa viti vya urais na wabunge walipotakikana kwa utaratibu, kurudisha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…