Kura za udiwani, Ubunge mnaficha misituni; za urais wa Slaa mtazificha wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kura za udiwani, Ubunge mnaficha misituni; za urais wa Slaa mtazificha wapi?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Pdidy, Aug 9, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,442
  Likes Received: 5,694
  Trophy Points: 280
  Mmhh wapnezi wa chadema na wote wa upinzani naona neema inazidi kurtufungua kupitia uchaguzi wa ccm hivi majuzi kuna kura nyingi za kawe zimekutwa msituni za kugombea ubunge na udiwani ambapo zikataka kumtawaza mmoja wa mafisadi kabla ya vijukuu vya mtume kutumia upeo wao kama sio roho mtakatifu kuzifukua zilipo na kura kuonyesha bi fulan kashinda b...\hii ni za ubunge na udiwani je nyie wapendwa wetu ccm october za silaa wetu mtaweka wapi jamani??embu wanachadema tufungue macho twendeni tukaweke wawakilishi wetu misituni na kila sehemu zinazojulikana tena tukiwa na silaa kali maana hawa oct watarusha bastola kabisa....tuamke wapendwa tuachane na wizi wa kipuuzi wa kuchana jalada la majina
   
Loading...