Hivi Campaign Zimeshaanza? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Campaign Zimeshaanza?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by silver25, Aug 9, 2010.

 1. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimekuwa nikifuatilia Vyombo vya Habali,, na kusikia Mgombea Mmmoja anapiga Campaign katika mikoa mbalimbali na Juma mosi alikuwa Jangwani DSM,, na nikajaribu kuulizia nikasikia ETI ANATAFUTA WADHAMINI WA KUMSUPORT KUGOMBEA URAISI,,

  KITU KINACHONIPA hofu ni kwamba mbona sijasikia Vyama vingine vikifanya hivi? Maana kuna NCCR mageuzi, Kuna CUF, kuna vyama vingine vitakavyo shiriki katika kinyang'anyiro cha Uraisi, Ubunge na udiwani, lakini sijasikia na wao wanatafuta Wadhamini...

  Halaf katika kutafuta Udhamini huko Mgombea Huyo anatangaza Sera kabisaaa,, huku akijitapa akiwa Raisi atarekebisha Kashfa zote zilizoko Sasa,, Ufisadi, Rushwa na kuwawekea Watanzania Mazingira Mazuri ya kufanya vitu kwa Uhuru kama Nchi huru..

  Swali langu ni hili.. Kuna tofauti gani kati ya Kapmeni na Kuomda udhamini,,
  na Unapofanya kampaign unatangaza nini ili upate kura, wakati unapo omba udhamini unatakiwa ufanye nini,, Please nisaidieni hapa pananipa utaata...
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  simple answer to you: kila chama kina utaratibu wake
   
 3. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 704
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 80
  That is a an excellent answer!!!, Nikiboresha zaidi, bora tu huo utaratibu hauvunji sheria na taratibu zilizowekwa!!!. Na ukiona hicho chama hakijachukuliwa hatua zozote, basi hakijavunja kanuni wala taratibu!!!
   
 4. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 704
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 80
  Ukienda Dodoma, Utakuta mabango kama takataka yamewekwa picha ya mgombea fulani wa chama fulani huku maandishi yakisema chaguo letu ni fulani wakitaja jina la huyo bwana!! Hizo picha zimewekwa tangia kulipofanyika mkutano mkuu wa hicho chama, lakini ajabu ni kwamba hayo mabango hayakutolewa baada ya hapo!!!
   
 5. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #5
  Aug 9, 2010
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
   
 6. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #6
  Aug 9, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ishu si mbona chama fulani. Suala la msingi sheria inasemaje? Tatizo nchini kwetu tunatabia mbaya sn ya kupindisha sheria. Leo hii CHADEMA wanapiga kampeni kabla ya muda kwa kisingizio CCM walifanya, ah huu ni upuuzi. Hebu tuwe tunasema ukweli bila ya kujali ni nani anahusika katika ukweli ule.
   
 7. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #7
  Aug 9, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  kumbuka ikiwa ni sheria hata jk anapigiwa debe kuwa ndiye raisi after okt 31 while inawezekana baada ya oct 31 presidaa akawa mtikila. Hilo huoni ila ni chadema tu? hayo mabango yaliyooteshwa kumpigia kampeni jk kuanzia dar mpaka dodoma hamyaoni ila mnamwona Slaa tu?

  shame on you all!!!!!!!
   
 8. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #8
  Aug 9, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani naomba muwe Educated sijamtaja mtu na nime uliza swali nijibiwe na si kupata Swali lingine lililo base katika uchama..
   
 9. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #9
  Aug 9, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahahahaha Jaman Speed uisha jamani, walianza NCCR 1995, wakaja CUF 2000, na sasa Chadema 2010, kitakuja kingine na kingine tena
   
 10. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #10
  Aug 9, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 704
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 80
  You are not of our own kind!!
  Unakila dalili ya kuwa ni jiwe la baharini lisilofikiria kiu ya mtende jangwani!!!
   
 11. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #11
  Aug 9, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Kwa kifupi hazijaanza, ila ndo safari taratibu.

  Huku ni kutafuta wadhaminmi kama unaona watu wanajinadi.

  Otherwise campeni za kugombea nafasi mbalimbal;i zimeanza
   
 12. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #12
  Aug 9, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Vichwa vya Panzi bana utaona tu maandishi yao na reasoning yao

  Sasa watu watakudhamini bila ya kuwaambia kwa nini unataka kugombea, Ulitaka aende Jangwani aweke kiti akae watu waje wamdhamini au

  Come on Think out of the Box bana acha kuandika vitu kama mtoto wa Chekechea
   
 13. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #13
  Aug 9, 2010
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Mtu anapokuwekea dhamani kubwa kama hii ni lazima ajue ni nini utafanya kulingana na dhamana anayokupa,so kwa Dr Slaa si kuwa ameanza kampeni mapema bali anawaambia wananchi ni kwanini wamdhamini.
  Kwa watu wengine suala hili wanaliona ni kama kampeni lakini ukweli ni kuwa kiutaratibu kampeni hazijaanza na chombo pekee cha kutangaza mwanzo wa kampeni ni tume ya uchaguzi na si vinginevyo.
  Katika hili tuwe wavumilivu kwa kuzingatia kuwa Dr Slaa ilibidi azunguke kama alivyofanya kwa kuwa ni mara yake ya kwanza kugombea hivyo kabla ya kapeni kuanza wananchi wengi wawe wamejua ni mtu wa namna gani tofauti na wagombea wengine ambao wapo miaka nenda rudi na hakuna jipya toka kwao,pia si mara ya kwanza kwa Chedema kufanya mikutano mikubwa kama inavyoonekana sasa bali ni jambo la kawaida tu(kwa wale waliokuwa wanafuatilia operation Sangara watakuwa wanajua)
   
 14. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #14
  Aug 9, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280

  Nani atakudhamini kama hujamwambia malengo yako ya kutaka udhamini wake?
   
 15. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #15
  Aug 9, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,839
  Likes Received: 11,959
  Trophy Points: 280
  walitaka aende jangwani peke yake au na watu wangapi wawili?...kumi?....mia?...what is the maximum, au walitaka ajifungie chumbani na kujaza majina feki kama alivyofanya ridwani.
   
 16. M

  Mkulima mimi JF-Expert Member

  #16
  Aug 9, 2010
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 233
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Shall we review the intention of those who joined from april to date! But more close those who joined from june
   
 17. M

  Mutu JF-Expert Member

  #17
  Aug 9, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Inatakiwa watu waku ignore kwa kuwa unawaona wajinga .Hujataja mtu ila ulisikia nani anapiga kampeni ,mtu au chama kitajipigia kampeni bila kujitaja ?

  Ok kujibu swali lako mimi naona wote hawajafanya makosa kwa kuwa mimi nikitaka kumdhamini mtu lazima anishawishi na ushawishi huo ndio unakuwa kama kampeni.Sasa kwa kuwa wameshapatawadhamini wanatulia mpaka kampeni zitakavyoanza rasmi.This is my take.

  Otherwise kama ni makosa kulingana na sheria ya tume ya uchaguzi ,basi Kikwete na Slaa wainguliwe? ila mind you Slaa hajachukua fomu ya kukombea urais so sijuhi atahukumiwa vp?labda huyo mkwere anayetaja mafanikio ya serikali yake nadhami ndio anaendelea na kampeni.

  Nadhani utakuwa umelithika new member kwa kazi maalum humu JF ,karibu ila sijuhi kwa nini hamtishi kwa hoja ni pumba tu.
   
 18. m

  masasi Member

  #18
  Aug 9, 2010
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wafuasi wa malaria sugu hao,hawtaki kushirikisha hata theruthi ya ubongo wao,mbona mwaka huu watajibeba na huyo mkwere wao
   
Loading...