Ndugu wana JF, nimeona hii picha kwenye mwananchi online, jana pale Tanga mambo yalikuwa yamenoga kweli. Hizi nguo nyekundu na zile sare za chadema naona zinafaa sana kuikomboa nchi yetu toka kwenye ukoloni mambo leo.
kitakachokomboa mtanzania ni fikra zake kupitia kura atakayopita wala sio magwanda ya chadema, ccm au jwtz.
hata fisadi anaweza kuvaa magwanda ya chadema na bado atabaki fisadi.
ni watu wa aina yenu mlio wahanga wa ibada za sanamu; ukiambiwa maji ya upako toka nigeria yatakufanya uwe na upako unakubali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.