Hapo ndipo wanapozidi kuondoa matumaini ya Upinzani kulibeba jimbo hilo, wataishia kugawanya kura tu.
Leo nimeona kwenye Magazeti Julius Mtatiro atagombea Ubunge katika Jimbo la Ubunge kwa tiketi ya CUF.
Huyu Jamaa nilikuwa sifahamu kwamba yuko CUF, anyway kila la kheri lakini Mnyika lazima awanyooshe mwaka huu Ubungo
Hao Ndio CUF ambao jana Rais wao alikuwa anaweweseka na Uamuzi wa Dr. Slaa Kugombea Urais anaogopa this time Kushika nafasi ya Tatu yaani Nyuma ya JK
Yupo CUFJulius Mtatiro hawezi kuwa CUF nadhani umenielewa hapo kwenye bold!
Ata 2005, watu walimsign-out Lipumba na kudhania race ilikuwa ni kati ya Mbowe na Kikwete, matokeo wote tunajua yalikuwaje.
Kwenye nafasi ya pili kutakuwa na ushindani mkali kuliko unavyodhani, Lipumba ana uhakika wa kufikisha atleast 900,000 ambazo ni kazi kubwa kwa Slaa kuzifikia.
wewe unaota, mtu kapata wadhamini zaidi ya 1.3million, iwe taabu kupata kura 900,000 kwenye uchaguzi, kazi mnayo mwaka huu
Majina ya CUF unayajua mkuu....huyu nadhani amepotea njia!
Majina ya CUF unayajua mkuu....huyu nadhani amepotea njia!
Alikuwepo Richard Tambwe Hiza, Fred Lwakatare, kwa nini sio Julius? Yupo na ni Mkurugenzi wa nini sijui!