Ndugu zangu kabla ya kampeni kuanza nilipata bahati ya kutembelea hospital mbalimbali Huku kwetu kanda ya kaskazini. Ukienda utakuta wakina mama wanaosubiri kujifungua wamelala wawili kitanda...
JK ana magonjwa mengi. Pamoja na hayo yanayomfanya azimike, kuna ugonjwa huu wa "AHADIsm". Ndani ya wiki moja ya Kampeini ametoa ahadi mpya zisizokuwa katika Ilani ya CCM kama ifuatavyo...
Watanzania wapi tunakwenda Tafakari wewe mwenyewe... miaaka mitano iliyopita 1US dollars ilikuwa inakwenda kwa Tshs 1300 ila sasa 1 Us dollars inakwe 1,550 Tshs na bado inapaa bado tuu tunashindwa...
Hivi huku sio kuvunja maadili ya kazi yake? Kwa nini asitabiri hivyo 100 kuwa ni vya CCM? Huku sio kupigia kampeni CCM? Yaani na yeye anaungana na kazi ya Sheikh Yahya!!? Basis ya utabiri wake ni...
Baadhi ya Mitaa katika jiji la Dar-ES-Salaam, barabara zinapigwa greda (Mfano maeneo ya Magomeni). Kwa nini sasa na si mwaka jana? Nadhani hapa ni mahali pa kuanzia kampeni kwamba mchakato wa...
Mimi napata shida sana kuwaelewa CCM ni kwa jinsi gani wasivyo na UTU, HEKIMA WALA BUSARA.
Wanatumia zaidi ya shilingi bilion 20 kuandaa mabango, kanga, tisheti, kofia na vipeperushi na...
Ndugu wana JF leo nimepokea ujumbe toka Vodacom ukisomeka hivi:
"Samahani kwa usumbufu, mchango wako kwenda chama cha CHADEMA haukufanyika awali kwa sababu ya matatizo kiufundi. Tunaomba utume...
Unajua kila siku naendelea kuishangaa ccm na hila zake. Ahadi anazoaidi JK kutatua matatizo ya wananchi ambayo yamekuwa-created na mfumo wa ccm yenyewe!!!!!. Nianze na mfano huu; Katika ulimwengu...
sasa ninapotuma hii post, helkopta ya dr WS inarandaranda juu ya jiji la Idodomya na majira ya saa 9 mchana dr WS atahutubia umati wa watanzania kupitia viwanja vya barafu vinavyopakana na uwanja...
Wameona haitoshi wameanza kufunika mabango ya wapinzani, wao wakifanyiwa mchezo huu si watasema wapinzani wameanza matusi na uhuni. Hapo bango la mgombea wa CUF likiwa limefunikwa na la CCM, sijui...
Kuna taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kuwa vifaa vya kupigia kura vikiwemo shahada na masanduku tayari vimewasili chini siku chache baada ya kuanza kwa kampeni za uchaguzi mkuu. Linalosikitisha...
Wana-JF:
Kesho (Ijumaa), kituo cha televisheni cha ITV katika kipindi chake cha Kipima Joto saa 3 usiku, mada kuu itakuwa ni Sheria ya Matumizi ya Fedha katika kampeni iliyotiwa saini na JK...
Leo asubuhi katika kipindi cha jambo TBC ulikuwa unamhoji Mama mmoja Katibu wa Chama cha Waandishi wa habari Tanzania alikujibu wazi kuwa kitendo cha Mwandishi wa habari kuegemea wazi upande mmoja...
JK analindwa na Usalama wa Taifa je, hawa wengine inakuaje wakati tayari ni asset ya Taifa letu? Kwani kuna uwezekano wa kuwa rais! Mkapa alilindwa alipoteuliwa tu kuwa mgombea urais; sasa kwa...
Katika kipindi cha Jahazi cha tar 31/8/2010 mtangazaji Kibonde amejifanya kuwa mtetezi wa JK na CCM kwa kuliponda pingamizi ya Dr Slaa na CHADEMA kuhusu JK kukiuka Sheria ya Gharama za Uchaguzi...
Habari toka redio maria saa nne usiku huu, nimesikia mgombea udiwani kata ya nduruma amefariki ghafla baada ya maumivu makali ya kichwa tangu alipopitishwa na chama chake. Maumivu hayo...
Kuna taarifa za kuwa Katibu wa CCM kata ya Isamilo ambako katibu wake aliuawa kwa kuchoma kisu na Meya wa Jiji Bihondo akakamatwa kwa mauaji, amelishwa sumu na sasa yupo mahututi Bugando kwa...
Binafsi nimeipenda,
Haya nawe endelea!!!!!
MTANZANIA YEYOTE MZALENDO WA KWELI, MWENYE AKILI TIMAMU, ASIYE NA MTINDIO WA UBONGO, WALA MTUMWA WA HILA CHAFU, WALA UDUMAVU WA KIAKILI, TENA ASIYE NA...
Naomba nijuzwe tangu Kampani za Mwaka huu zizunduliwe Agosti 21 mbona sijasikia kampeni za vyama vifuatavyo:
1. NCCR-MAGEUZI
2. UDP
3. TLP
4. SAU
Je! Hivi vyama ni kwamba havijazindua rasmi...