Elections 2010 Ulinzi kwa wagombea urais ukoje?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,347
6,471
JK analindwa na Usalama wa Taifa je, hawa wengine inakuaje wakati tayari ni asset ya Taifa letu? Kwani kuna uwezekano wa kuwa rais! Mkapa alilindwa alipoteuliwa tu kuwa mgombea urais; sasa kwa nini isiwe kwa wote?
 
kwa sheria zilivorekebishwa,na kwa mujibu wa taratibu zilizopo ktk Jeshi la Polisi,kila mgombea urais ni lazima apewe mlinzi ambaye ni askari polisi mwenye cheo cha kuanzia Inspector (nyota mbili) na kila mahala anapo lala lazizma panalindwa na askari polisi tena kwa silaha tangu anapowasili sehemu husika hadi siku anayoondoka eneo hilo!
 
Tatizo ni kwamba wengine hawamwamini allah isipokuwa mungu wa kweli sasa uliyemuomba allah umewaombea wagombea gani?...............
nguvu ya umma ipo nyuma yao na allah..........tunayemwomba dua kula uchao
 
kwa sheria zilivorekebishwa,na kwa mujibu wa taratibu zilizopo ktk Jeshi la Polisi,kila mgombea urais ni lazima apewe mlinzi ambaye ni askari polisi mwenye cheo cha kuanzia Inspector (nyota mbili) na kila mahala anapo lala lazizma panalindwa na askari polisi tena kwa silaha tangu anapowasili sehemu husika hadi siku anayoondoka eneo hilo!
Kuna haja ya kuchuja wagombea urais ili wabaki waLe serious tu.. eg: watakiwe kukusanya signature za wadhamini wasiopungua million moja kabla ya kutangazwa kuwa wagombea urais kwani ni hasara kubwa serikali kugharamia ulinzi kwa mgombea kama wa TLP.
 
wanamlinda coz wanajua lazima atakuwa raisi hata msipopiga kura kwani nyie hamjui hilo?na anatembea na ambulance jamani sheria ya uchaguzi ngumu bora asingesaini kwa mbwembwe wanasingizia eti ni rais c akae ikulu wengine wapige kampeni?hivi kwani analipwa na posho za safari ye na wasaisizi wake au hebu nisaidieni jamani sielewi
 
kwa upande wa kikwete ulinzi ni full ila kwa wengine ulinzi ni kidogo
 
Attachments

  • IMG0148A.jpg
    IMG0148A.jpg
    35.6 KB · Views: 35
  • MOV0015A.avi
    1.2 MB · Views: 30
Back
Top Bottom