Mgombea CCM afariki ghafla Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgombea CCM afariki ghafla Arusha

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Msharika, Sep 2, 2010.

 1. M

  Msharika JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Habari toka redio maria saa nne usiku huu, nimesikia mgombea udiwani kata ya nduruma amefariki ghafla baada ya maumivu makali ya kichwa tangu alipopitishwa na chama chake. Maumivu hayo yalisababisha alazwe hospitali ya Rufaa KCMC. Hadi mauti yalipomfika leo. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi na kuipa fatraja familia yake katika kipindi hiki kigumu.
  Je rais ataudhuria mazishi jumamosi ili apate huruma ya jamii?????????
   
 2. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ooh my God, kazi yake haina makosa
   
 3. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #3
  Sep 2, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  mmh.. hiyo ina sound like a classic case of brain aneurysm..
   
 4. M

  Msharika JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Alikuwa na maumivu makali sana kwa muda wote Tangu alipopitishwa na ndipo akafariki licha ya huduma nzuri za KCMC
   
 5. G

  Gloria Member

  #5
  Sep 2, 2010
  Joined: Apr 5, 2007
  Messages: 60
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  apumzike kwa amani
   
 6. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,855
  Likes Received: 11,977
  Trophy Points: 280
  Mumgu alaze roho yake pema peponi amina R.I.P
   
 7. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #7
  Sep 2, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,920
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  2005
   
 8. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #8
  Sep 2, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 540
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Bwana ametoa na bwana ametwaa..Amen
   
 9. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #9
  Sep 3, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Dahhh atakuwa alikuwa anawaza san a atatoka vipi akiukwaaa udiwani...pumzika kwa Amani mgombea
   
 10. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #10
  Sep 3, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Duh ina maana Mungu ameanza nao?
  Mungu warehemu wafiwa
   
 11. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #11
  Sep 3, 2010
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  R.i.p
   
 12. Muacici

  Muacici JF-Expert Member

  #12
  Sep 3, 2010
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 208
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ole wao wanaomshutumu Mungu kuwa ni Muuaji
   
 13. T

  Tristan Member

  #13
  Sep 3, 2010
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rip
   
 14. Y

  Yetu Macho JF-Expert Member

  #14
  Sep 3, 2010
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 223
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  RIP- Bwana ametoa na bwana ametwaa. Ila naomba kujuzwa ni nini implication yake kwa uchaguzi wa kata ile? Ndo itakua kama enzi zileeeeeee.. za mgombea mweza CHADEMA?
   
 15. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #15
  Sep 3, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Poleni wafiwa jamani!
   
 16. Mongoiwe

  Mongoiwe JF-Expert Member

  #16
  Sep 3, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 521
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Mwaka wa sheteni ama mwaka wa mauaji katika uchaguzi? Mwanza nako Katibu CCM alishwa sumu, watauana sana mwaka huu
   
 17. Nachingwea

  Nachingwea Senior Member

  #17
  Sep 3, 2010
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 173
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35

  Hapa naoana Wanasiasa wanafanya diagnosis... wagonjwa lazima wafe tuuuu
   
 18. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #18
  Sep 3, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 5,489
  Likes Received: 1,218
  Trophy Points: 280
  mungu amrehemu amin
   
 19. e

  emalau JF-Expert Member

  #19
  Sep 3, 2010
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,178
  Likes Received: 273
  Trophy Points: 180
  Kwa hili vp kuna aliyepita bila kupingwa?
   
 20. W

  WAMURUBHERE JF-Expert Member

  #20
  Sep 3, 2010
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  rest in eternal peace
   
Loading...