Elections 2010 Hujuma Kwa Chadema: Vodacom wamejirekebisha..?!

emalau

JF-Expert Member
Apr 25, 2009
2,775
3,100
Ndugu wana JF leo nimepokea ujumbe toka Vodacom ukisomeka hivi:

"Samahani kwa usumbufu, mchango wako kwenda chama cha CHADEMA haukufanyika awali kwa sababu ya matatizo kiufundi. Tunaomba utume mchango wakotena. Ahsante"

Najiuliza ni kweli kwamba lilikuwa ni tatizo lakiufundi au ni la "kiufundi" ?

Au wameosoma comment za wana JF wakaogopa kuwa biashara yao iko under threat?
 
itakuwa wamesoma lazima; ujumbe umefika; JF kiboko kwa sasa; inarekebisha tabia sema kuna vinyamkela vilivyoingia August kwa ajili ya kampeni ndio wanatuharibia ukumbi wetu; tuwavumilie tu anyway na kuwarekebisha; najua kampeni zikiisha wanondoka
 
Ndugu wana JF leo nimepokea ujumbe toka Vodacom ukisomeka hivi:

"Samahani kwa usumbufu, mchango wako kwenda chama cha CHADEMA haukufanyika awali kwa sababu ya matatizo kiufundi. Tunaomba utume mchango wakotena. Ahsante"

Najiuliza ni kweli kwamba lilikuwa ni tatizo lakiufundi au ni la "kiufundi" ?

Au wameosoma comment za wana JF wakaogopa kuwa biashara yao iko under threat?

mkuu HAKUNA KITU ukituma ndo inakuja hii msg ukiendelea kutuma inakuja the same msg HELA HAZIPUNGUI
VODACOM WANAUJUMU NCHI BARAKA ZAO ZINAKUJA
 
Hata mi natuma naona hakuna lolote. Ina maana hawakuingia mkataba na CHADEMA? kama ndiyo, then hawawezi kushtakiwa?
 
Wamesoma jf wameona michango ya wana jf wameamua kujirekebisha ili wasiharibu biashara yao..........
Vodacom fanyeni biashara acheni mambo ya kuingilia siasa....nyie mliopewa majukumu ya kutoa huduma kwa niaba ya wenye kampuni acheni uhuni wa kuharibu kampuni za wenzenu waliowekeza mtaji mkubwa kwa ajili yenu na vizazi vingine..hivi ni kweli wale makaburu wakisikia kuwa ujumbe wa kwa wale wana chadema tu ndiyo ulizuiliwa kwa makusudi mtasalimika kweli? Tusije kulaumiana baadaye watu wana mtandao......msikubali kutumika kiasi hicho
 
Yaani wahuni wachache walioaminiwa kuhudumia wateja kwa usawa wanataka kuharibu kampuni kwa maslahi binafsi.......kuna haja ya kuwaambia wakubwa wao watueleze ama wachunguze ili wapuuzu kama hao wafukuzwe kazi faster...uvumilivu unamwisho wake hatuwezi kuendelea kuchezewa kiasi hiki.....naamini waliowekeza hawawezi hata kidogo kujihusisha na mambo ya siasa sijui uccm wala uchadema wanataka faida..sasa iweje kanyamlela kamoja pale kwenye operation kazuie ujumbe wa watu mskini..............
Tunasema acha kwani watu mtakuja kukosa kazi kwa ujinag kama huu
 
Hao Vodacom wanachezea shilingi ******,ni kususia kutumia huduma zao na kuzipeleka katika mitandao mingine.Samahani tu haitoshi,maadamu wamekili walipe CHADEMA gharama za usumbufu.
 
Hao Vodacom wanachezea shilingi ******,ni kususia kutumia huduma zao na kuzipeleka katika mitandao mingine.Samahani tu haitoshi,maadamu wamekili walipe CHADEMA gharama za usumbufu.

Mkuu huduma haijafunguliwa hii imekaa hivi

Ukituma msg ya kuchangia unapata jibu "Samahani kwa usumbufu, mchango wako kwenda chama cha CHADEMA haukufanyika awali kwa sababu ya matatizo kiufundi. Tunaomba utume mchango wako tena. Ahsante"

Ukutuma tena unapata hivi "Samahani kwa usumbufu, mchango wako kwenda chama cha CHADEMA haukufanyika awali kwa sababu ya matatizo kiufundi. Tunaomba utume mchango wakotena. Ahsante"

ukituma tena unapata hivi "Samahani kwa usumbufu, mchango wako kwenda chama cha CHADEMA haukufanyika awali kwa sababu ya matatizo kiufundi. Tunaomba utume mchango wakotena. Ahsante"

Ndo hujuma inayofanywa na VODACOM
 
vodacom=ROSTAM AZIZ-MWANAHISA
MWAMVITA MAKAMBA-MFANYAKAZI/MTOTO WA MAKAMBA ANAYETUHUMIWA NA DR SLAA.

UNATEGEMEA NINI KIFANYIKE KUISAIDIA CHADEMA??????????????

Mkuu huduma haijafunguliwa hii imekaa hivi

Ukituma msg ya kuchangia unapata jibu "Samahani kwa usumbufu, mchango wako kwenda chama cha CHADEMA haukufanyika awali kwa sababu ya matatizo kiufundi. Tunaomba utume mchango wako tena. Ahsante"

Ukutuma tena unapata hivi "Samahani kwa usumbufu, mchango wako kwenda chama cha CHADEMA haukufanyika awali kwa sababu ya matatizo kiufundi. Tunaomba utume mchango wakotena. Ahsante"

ukituma tena unapata hivi "Samahani kwa usumbufu, mchango wako kwenda chama cha CHADEMA haukufanyika awali kwa sababu ya matatizo kiufundi. Tunaomba utume mchango wakotena. Ahsante"

Ndo hujuma inayofanywa na VODACOM

Siyo tu wanaihujumu CHADEMA bali wanatumia opportunity hii kutengeneza fedha manake wamegundua kuwa watu walio tayari kuichangia CHADEMA ni wengi. Hivyo kama kila mtu atajaribu mara tu bila mafanikio wao pesa itakuwa imeingia tayari.

Wakati huo huo wanajaribu kuwakatisha tamaa Wachangiaji? SUla ni muhimu ni Kuisusia VODACOM isyo tu katika utumaji wa michango hata kwenye mawasiliano ya kawaida.
 
ROSTAM.jpg

005%5B1%5D.jp.JPG
 
Mugo"The Great";1063085 said:
Siyo wanaihujumu CHADEMA bali wanatumia opportunity hii kutengeneza fedha manake wamegundua kuwa watu walio tayari kuichangia CHADEMA ni wengi. Hivyo kama kila mtu atajaribu mara tu bila mafanikio wao pesa itakuwa imeingia tayari.

Wakti huo huo wanjaribu kuwakatisha tamaa Wachangiaji? SUla ni muhimu ni Kuisusia VODACOM isyo tu katika utumaji wa michango hata kwenye mawasiliano ya kawaida.

Mkuu ingekuwa ukituma hela inakata hapo afadhali lakini ukituma hela HAIPUNGUI
 
Ndugu wana JF leo nimepokea ujumbe toka Vodacom ukisomeka hivi:

"Samahani kwa usumbufu, mchango wako kwenda chama cha CHADEMA haukufanyika awali kwa sababu ya matatizo kiufundi. Tunaomba utume mchango wakotena. Ahsante"

Najiuliza ni kweli kwamba lilikuwa ni tatizo lakiufundi au ni la "kiufundi" ?

Au wameosoma comment za wana JF wakaogopa kuwa biashara yao iko under threat?

Nilituma msg kuchangia mwishoni mwa wiki iliyopita na leo ndio wameniletea msg kuwa haikuwa effected lakini wamerekebisha na hivyo naweza kuchangia.

Shit, mimi natumia zain. Nione nao kama watakuwa kwenye mtandao wa kuhujumu. Akianani naamua nitatupa laini zao.
 
itakuwa wamesoma lazima; ujumbe umefika; JF kiboko kwa sasa; inarekebisha tabia sema kuna vinyamkela vilivyoingia August kwa ajili ya kampeni ndio wanatuharibia ukumbi wetu; tuwavumilie tu anyway na kuwarekebisha; najua kampeni zikiisha wanondoka matumbo yakijaa wanavuna sasa
 
Nawahurumia ninyi mlio na line ya voda

Nimeachana nayo Juzi na sina Mpango wa kiweka salio tena, sasa hivi naitumia kupokelea simu ila nikitaka kupiga Najikoki na tiGO teh teh teh
 
mKUU VODACOM NI RA unategemea nini
Mkuu kama unatumia line ya voda watch out...............

Je! Mnakumbuka Mwanakijiji alikwishawahi kuwashauri watu hapa ndani akisema" kama wewe ni mwanaharakati usitumie mtandao wa VOACOM" ? Think twice
 
Back
Top Bottom