CCM rafu mpaka kwenye mabango | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM rafu mpaka kwenye mabango

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Fidel80, Sep 3, 2010.

 1. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  [​IMG]


  Wameona haitoshi wameanza kufunika mabango ya wapinzani, wao wakifanyiwa mchezo huu si watasema wapinzani wameanza matusi na uhuni. Hapo bango la mgombea wa CUF likiwa limefunikwa na la CCM, sijui wao ni zaidi na wana haki kuliko wengine?
   
 2. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Utajuaje kuwa ni chama cha washari????????
   
 3. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2010
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,951
  Trophy Points: 280
  Ccm=uruguay v/s paraguay...kiatu kiatu mwanzo mwisho...rafu mwaka huu tutaziona hata ambazo hazitarajiwi kama forward wa timu ya mpira wa miguu kubaki na kipa wa timu pinzani anapoamua kumkata ngwala/mtama/buti kipa huyo na anapewa red card badala ya foward kufunga bao....gemu ndo linaanza hilooo
   
 4. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  yaani huu uchaguzi wa mwaka huu una vijimambo haswa.
   
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Alafu viongozi wao utawasikia wapinzani ndo wenye fujo na vurugu kuna haki hapa kweli?
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  HAhahahaahndo ya CUF ana CCM mpwa hapo wana"du" kibango bango
   
 7. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #7
  Sep 3, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Hehehehe si unajua mpwa hili ndo chama langu lazima nipeperushe bendera
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  Sep 3, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Uchelewi kusikia yule katibu mkuu wao anaita press conference kuzungumzia hilo swala:mad2:
   
 9. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #9
  Sep 3, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Aaaa aaaaa, hawa hawaijui CUF. Nawashauri watoe tangazo kama hawa wavulana wa CUF hawajafanya mambo yao
   
Loading...