Dr Slaa aranda randa kwenye anga la Dodoma: saa 9 alasiri kuwasha moto!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Slaa aranda randa kwenye anga la Dodoma: saa 9 alasiri kuwasha moto!!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by minda, Sep 1, 2010.

 1. minda

  minda JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  sasa ninapotuma hii post, helkopta ya dr WS inarandaranda juu ya jiji la Idodomya na majira ya saa 9 mchana dr WS atahutubia umati wa watanzania kupitia viwanja vya barafu vinavyopakana na uwanja wa jamhuri; uwanja uliojengwa na mlipa kodi wa tanzania na kuhodhiwa na ccm.  kwa mkuu yeyote atakayekuwepo pande za hapo Barafu atutaarifu zaidi.


  28 oktoba, 2010-ufafanuzi: dk slaa amenisafisha!!!

  post hii nilipoituma tarehe 1 septemba, 2010, wakuu wengi mlinilaumu kwa kutoleta ya uhakika kama michango mingine inayosomeka hapa chini. hatimaye jana dk ws amenisafisha kwa kuomba radhi kwa wakazi wa dodoma kwa kuja kujionesha tu siku hiyo angani, lakini akaishia kutofika kutokana na tatizo la kiufundi la helkopta yake. hivyo taarifa yangu ilikuwa sahihi!!!!!!!!!
   
 2. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Minda hiyo ni habari njema sana.

  Tutafurahi kama kutakuwa na uwezekano wa kupata live update!
   
 3. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2010
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Wadodoma tunaomba update yatakayo jiri mkutanoni maana vyombo vyetu vya habari hawakawii kuchakachua habari
   
 4. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mitambo ya TBC huwa inakuwa na matatizo ya kiufundi kutoa habari za Dr Slaa hivyo ni muhimu tupate mwanaJF aliye fasta kutoa updates kama alivyofanya Superman siku ya ufunguzi wa kampeni Jangwani.
   
 5. m

  mjukuu2009 Member

  #5
  Sep 1, 2010
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  TBC Maana yake ni Tangaza Bora CCM ni shirikala upande mmoja tumeishaona kama unataka kuamini angalia kipindi chao cha magazeti wao wanatangaza habari za CCm huwa kuna habari za CHADEMA lakini wanaziruka kwa makusudi na ukiona wametangaza mkutano wa CHADEMA wanachukua picha jukwaani na hata hawaonyeshi upande wa wasikilizaji. Ni shirika linalofaa kuitwa TANGAZA BORA CCM na si vinginevyo
   
 6. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #6
  Sep 1, 2010
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Asante Mkuu kwa ufafanuzi wa TANGAZA BORA CCM aka TBC......:becky::becky::becky:
   
 7. Kiwi

  Kiwi JF-Expert Member

  #7
  Sep 1, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Jamani kulikoni Dodoma? Tuko matumbo moto mlio nyumbani tujuzeni yanayojiri. Tunaomba updates jamani.
   
 8. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #8
  Sep 1, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Kamanda tupo pamoja.

  Kama kuna mwana JF yeyote yuko tayari kuambatana na JK, WS na IL ili awe anaposti live update, niko tyari kuchangia gharama.
   
 9. minda

  minda JF-Expert Member

  #9
  Sep 1, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  mkutano umeahirishwa kwani mpaka saa 11.30 jioni WS hajatokea kama ilivyotangazwa jana usiku na leo asubuhi. chadema hawajatangaza rasmi kinachoendelea lakini habari zilizopo ni kwamba kwa sasa WS yupo jimboni mtera kummaliza kabisa malecela, akitokea jimbo la kibakwe. hapa uwanja wa barafu sasa kuna mdahalo kati ya waislam na wakristo ambayo imeanza kuleta sintofahamu ya mizengwe. kwa kuwa chadema hawajasema kitu, hebu tusubiri tuone.
   
 10. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #10
  Sep 1, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,846
  Likes Received: 11,965
  Trophy Points: 280
  Wewe ndiyo mwenye thread hii ulituambia umeona helkopita iki randa randa sasa unataka kutuambia nini, wao wako sahihi wanafuata ratiba wewe unataka kuwachanganya watu. Check ratiba yao....

  28-Aug J. Mosi DAR Ilala Jangwani
  MOROGORO
  30-Aug J. Tatu Mvomero Mikumi
  DODOMA
  31-Aug J. Nne Mtera
  Kibakwe
  01-Sep J. Tano Chilonwa
  Kiteto
  02-Sep Alhamisi Kondoa Kaskazini
  MANYARA Babati Mjini
  03-Sep Ijumaa Mbulu
  Hanang
  04-Sep J. Mosi SINGIDA Singida Mashariki

  Manyoni Magharibi
   
 11. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #11
  Sep 1, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280

  Axactly mkuu Quinine,

  mi nilituma vijana wangu kwenda kurekodi kabisa matukio muhimu baada ya kuona sredi hapa, na walipofika pale wamekuta kuna mkutano wa injili, sasa tusiwe tunatoa habari tu ambazo hazina uhakika....
   
 12. minda

  minda JF-Expert Member

  #12
  Sep 3, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  well, nilikuwa na base kwenye matangazo ya asubuhi ya loudspeakser ikiambatana na helkopta ya chadema iliyokuwa ikirandaranda juu ya mji huu.
   
Loading...