Vyombo vya Habari na kampeni za Uchaguzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vyombo vya Habari na kampeni za Uchaguzi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by BornTown, Sep 3, 2010.

 1. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2010
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Naomba nijuzwe tangu Kampani za Mwaka huu zizunduliwe Agosti 21 mbona sijasikia kampeni za vyama vifuatavyo:

  1. NCCR-MAGEUZI
  2. UDP
  3. TLP
  4. SAU

  Je! Hivi vyama ni kwamba havijazindua rasmi kampeni zao ama inakuwaje? Maana ni vyama vitatu tu ndio vinavyozungumziwa kwenye tasnia ya habari (CHADEMA,CCM na CUF)


  Naomba kuwakilisha
   
 2. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2010
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  Hivyo vyama vingine ni mamluki wa ccm wanasubiri kikwete awape hela wafanye kampeni hawana hata mia
   
Loading...