.....Si wakati wa kudanya tena huu...1 Us dolaars kwa 1,500 T Shilings | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

.....Si wakati wa kudanya tena huu...1 Us dolaars kwa 1,500 T Shilings

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by manchester, Sep 3, 2010.

 1. manchester

  manchester Member

  #1
  Sep 3, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Watanzania wapi tunakwenda Tafakari wewe mwenyewe... miaaka mitano iliyopita 1US dollars ilikuwa inakwenda kwa Tshs 1300 ila sasa 1 Us dollars inakwe 1,550 Tshs na bado inapaa bado tuu tunashindwa kufungua macho yetu na kuona hapana ni wakati wa kusema inatosha gharama za maisha zinapanda kila mkidai haki yenu mnajibiwa sihitaji kura zenu iweje nyongeza ifanyike sasa hapa tumedanganyika vya kutosha yatupasa kuwa mamkini sasa ....Angalia Jacob Zumo yuko madarakani wananchi wake wamedai haki yao wamesikilizwa sisi tumetishiwa hata na kufukuzwa ajira na majibu ya kejeli SZIZIHITAJI KURA ZENU iweje sasa wakati huu aongeze au kwa sababu kampeni zimeanza....HAPANA JAMANI INATOSHA KWA SASA TUWE MAKINI SASA na MACHO MBONA WACHILE WAO WALIWEZA KWA NINI SISI TUSHINDWE???
   
 2. M

  Mkulima mimi JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2010
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 233
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Hee! Nilikuwa sijui! Kuwa Uchumi wa tanzia aah! Tanzania unakuwa kwa kasi naamini mpaka january 1usd itakuwa kama buku mbili tsh 2000!! Eee mungu tunaomba utujalie hili litimie! Kwahiyo kima cha chini kilikuwa usd 130 kipindi 1 usd = 1300. Leo mshahara 235000 sawa na 156.67usd. Tehe!teh! Watu bana eti ongezeko la asilimia 105! Hampo serious kabisa! Naona kuna haja ya kuchapisha noti ya elfu ishirini na hamsini. Ili kupunguza msongamano wa noti mfukoni!
   
 3. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  huyo ndio mkwere bana baada ya uchaguzi anategemea kufanya ziara zifuatazo,
  1. november 2010, ABUJA, CAIRO NA SAUDIA
  2.DESEMBA 2010, ZIMBABWE KISHA NEW YORK KUMSALIMIA OBAMA.
  3.JANUARI 2011, LONDON UINGEREZA KUWASHUKURU WT WANAISHI HUKO NA BAADAE ANAENDA LIKZO BIRIMINGHAM CITY.
  4.FEBRUARI,2011 ATAKUWA UJERUMANI KUHUDHURIA KONGAMANO LA MAZINGIRA
  5.MARCH, 2011 , ATAKUWA UHOLANZI KWAAJILI YA KUPIMA AFYA NA MAPUMZIKO KIDOGO YA KIFAMILIA
  6.APRILI, 2011, ATAKUJA TANZANIA KIDOGO KUHUDHURIA SHEREHE ZA MUUNGANO NA BAADA YA HAPO ATAELEKEA UFARANSA KUMSALIMIA SARKOZY HAWAJAKUTANA MUDA MREFU

  nitaendelea kuweka ratiba ya usafiri kwa kadiri muda utavyoendelea , safari hizi zinafanyika huku shilingi ya Tanzania ikiendelea kuporomoka thamani.
   
 4. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2010
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,468
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
  Shilingi ya Tanzania haina mtetezi,ni jambo lakusikitisha sana bei ya dhahabu imepanda sana lakini shilingi imeanguka vibaya sana,wakati wazalishaji wakubwa wa dhahabu Afrika tuko nafasi ya tatu au ya nne.Tusubiri kufunika mashimo matupu kwa gharama kubwa kuliko pato la taifa.
  Inatia uchungu kwamba hatupigi hatua mbele ya maendeleo,tumetolewa katika kundi la nchi zinazoendelea na kuwekwa kundi la nchi zinazoishi kwa kuombaomba.Heshima yetu inazidi kushuka.Ukaidi na vichwa ngumu ya watawala wetu weusi zimetufikisha hapa,tumeshindwa na utawala wa mkoloni.Sasa uhuru tulitafuta wanini?
   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Katika ilani ilo halimo wanaongela masuala mengine kabsaaaaaaaaaaaaaa.
  Yaani mpaka natamani aka kamshahara kangekuwa kanalipwa interms of USD.
  Nasikia kuna makampuni/hotel washaanza dollar transaction
   
 6. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2010
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 2,004
  Likes Received: 1,054
  Trophy Points: 280

  Hizo safari zooteee ataenda kama nani?
  Maana Ikulu hatakuwepo tena, labda kama Raisi Mstaafu maana siku hizi Tz hata ukifukuzwa bado utaitwa mstaafu kama EL!!!!
   
 7. senator

  senator JF-Expert Member

  #7
  Sep 3, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Naomba kujuzwa hapa wachile walifanyaje wao mana nipo kwenye nchi za dunia ya nne huku..
   
 8. manchester

  manchester Member

  #8
  Sep 3, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ... Mkuu samahani mbona kwenye ratiba yako umesahu kuweka safari ya Kwenda kubembea nchini Cuba mwezi Disemba na pi akiwa London ataongea na watanzania waishio pale kwa dk 2 na dk nyingine 90 atawahi uwanjani kwenda kuangalia game ya Manchester united an Newcastle united...
   
 9. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #9
  Sep 3, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Kwa sababu mimi na wewe tunapenda kununua bidhaa za nje kuliko zinazozalishwa humu nchini. Angalis shati ulilovaa, kwanini huvai la batiki?; Ndani kwako pale dinning china tupu, sebuleni imported furniture; Shuka unazotumia toka China; Hivi baada ya kula vile vijiti unavyotumia kuondoa mabaki ya chakula vimetoka wapi vile?; Miguuni na kiunoni umevaa artificial leather wakati nchi yako ni ya tatu kwa mifugo (ngozi); Kuondoa hang over ya jana nilikuona unapata glass ya juice toka Bondeni; Nasikia ili kupunguza uzito unatumia Green Tea sijui toka wapi vile; chakula chako ni special lazima kipikwe na mafuta yaliyothibitishwa kuwa hayana Cholestral.

  Tukiacha kununua nilivyotaja hapo juu na kununua vinavyozalishwa humu nchini hatutaona umuhimu wa Dollar hivyo haitapanda bei
   
 10. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #10
  Sep 3, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Hali itaendelea kuwa mbaya as long as hiki chama kiko madarakani!
   
 11. manchester

  manchester Member

  #11
  Sep 3, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ...wananchi wa Chile walifanikiwa kuondoa utawala dhalimu ulioduimu kwa miaka themanini (80) waksema sasa inatosha na sisi pia tufike mahala tukaseme sasa inatosha kwani nini maana ya Risk na kwa nini Risk itajwe kuwapo??? and how can we know the advantages of Risk without implying or to take risk Risk... so its time now to take the risk for Negative au Postive results... Wameongoza miaka 49 wacha tutake risk tuwape na wengine japo kwa miaka mitano tuu tuuone na upande wa shilingi now utakuaje??

  Read the story for more information:
  n 1987 General Augusto Pinochet, the de-facto President of Chile, legalized political parties and called a plebiscite to determine whether or not he would remain in power. Several parties, including the Christian Democracy, the Socialist Party and the Radical Party, gathered in the Alianza Democrática (Democratic Alliance). In 1988, several more parties, including the Humanist Party, the Ecologist Party, the Social Democrats, and several Socialist Party splinter groups added their support, despite fears of election fraud by Pinochet, and the "Concertación de Partidos por el NO" ("Coalition of Parties for NO") was formed in an attempt to overthrow the General. During the election campaign, the Coalition organized a colorful and cheerful campaign under the slogan "La alegría ya viene" ("Joy is coming"). Some Socialist factions were the last to join, because they were reluctant to work in the plebiscite, fearing election fraud by Pinochet. On October 5, 1988, the "NO" vote won with a 54% majority, and a general election was called for 1989.
  In that year, the coalition changed their name to Concertación de Partidos por la Democracia ("Concert of Parties for Democracy") and put forward Patricio Aylwin, the Christian Democrat leader, as a presidential candidate, as well as launching a common list for the parliamentary elections. In elections the following year, Aylwin won and the coalition gained the majority of votes in the Chamber of Deputies. However, due to the binomial system, they had no majority in the Senate, a situation they found themselves in constantly for over 15 years. This forced them to negotiate all law projects with the right-wing parties, the Unión Demócrata Independiente (UDI) and Renovación Nacional (RN) (later coalesced into the Alliance for Chile).
  In 1993, the coalition put forward the Christian Democrat senator Eduardo Frei Ruiz-Tagle as a presidential candidate. Frei was the son of Eduardo Frei Montalva, the founder of the Christian Democrat Party and himself a former President of Chile (1964-1970). Gaining 57% of the votes, he defeated to the right-wing candidate, Arturo Alessandri Besa, becoming the third Christian Democrat president, and the second Coalition president.
  In the same year, the Humanist Party, the Christian Left, and the Greens left the Coalition, accusing it of betraying the purpose for which it was born. The Social Democrat Party and the Radical Party joined together to form the Social Democrat Radical Party, while the various former Socialist factions became part of the Socialist Party.
  Frei's government faced two main problems: an economic crisis was raising the unemployment rate, and General Pinochet had been arrested in London. Both situations led the Coalition to fear defeat in the 1999 presidential elections.
  In that year, the coalition had two possible candidates: the Christian Democrats' Andrés Zaldívar and the Socialists' Ricardo Lagos. Primary elections were held to decide between the two. Lagos won the vote, and went on to defeat the UDI's Joaquín Lavín in the presidential election. However, since he got a plurality as opposed to a majority of the votes, a runoff vote was held, the first in Chilean history, in which Lagos won with 51% of the votes.
  In 2005, two candidates were again proposed: the Christian Democrats' Soledad Alvear, a former Minister of Foreign Affairs, and the Socialists' Michelle Bachelet, a former Minister of Defense. As before, the situation was to be resolved through a primary election. However, in May 2005, after months of internal disputes regarding her party's directives, Alvear withdrew from the presidential race, deciding instead to run for senator in Santiago. Bachelet therefore became the Coalition's candidate, and the second woman to run for Chilean President (the first being Communist leader Gladys Marín), competing with the UDI's Joaquín Lavín and RN's Sebastián Piñera.
  On December 11, 2005, Bachelet won with 45% of the votes, but was forced to compete with Piñera in a runoff election. In the same month, the coalition won 51.25% of the votes in the parliamentary elections, gaining 20 seats in the Senate and 65 seats in the Chamber of Deputies. This gave them, for the first time, a majority in both Houses, even with the binomial system working.
  On January 15, 2006, the runoff was held. Bachelet won with nearly the 54% of the votes, becoming the first female president of Chile. She was also the fourth Coalition candidate and third Socialist to win.
   
 12. manchester

  manchester Member

  #12
  Sep 3, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
Loading...