Na hii nayo imekaaje ...rushwa au ni kutimiza ahadi/ilani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Na hii nayo imekaaje ...rushwa au ni kutimiza ahadi/ilani

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by SIPENDI, Sep 2, 2010.

 1. S

  SIPENDI Member

  #1
  Sep 2, 2010
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Baadhi ya Mitaa katika jiji la Dar-ES-Salaam, barabara zinapigwa greda (Mfano maeneo ya Magomeni). Kwa nini sasa na si mwaka jana? Nadhani hapa ni mahali pa kuanzia kampeni kwamba mchakato wa barabara nimeuanza naomba ridhaa yenu kwa kipindi cha miaka mitano nimalizie... Je hii nayo ni imekaaje wana JF?
   
 2. D

  Dopas JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2010
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Imekaa poa sana. Any way, barabara ijengwe hata katika kipindi hiki ila wenye akili hawahitaji kuambia waone. Hiyo danganyatoto ndiyo iliyotumaliza watz. Tunajisahau haraka sana, na kuendelea na maumivu ya miaka mitano
   
 3. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 5,500
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  mwenye macho haambiwi tazama wajenge barabara ili tuwapige chini
   
 4. e

  emalau JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2010
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,179
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Sio Dar tu, hata huku Arusha mtindo ni huo huo, tatizo la hawa watu wanadhani kwamba capability of reasoning ya watanzania ni ndogo sana. They are disilutioned. Tuna akili za kutosha na tutawapiga chini muda si mrefu. Hivi mwaka wa uchaguzi pesa ya kusumbua na vifusi huwa inapatikana wapi?
   
 5. H

  Hekima Ufunuo JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 220
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hakuna jipya, Barabara za magomeni zinazojengwe sasa zilikuwa na lami na lami ikafia mikononi mwao. Saa ya ukombozi ni sasa.
   
Loading...