JK anaumwa ahadism? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK anaumwa ahadism?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Baija Bolobi, Aug 26, 2010.

 1. B

  Baija Bolobi JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 929
  Likes Received: 696
  Trophy Points: 180
  JK ana magonjwa mengi. Pamoja na hayo yanayomfanya azimike, kuna ugonjwa huu wa "AHADIsm". Ndani ya wiki moja ya Kampeini ametoa ahadi mpya zisizokuwa katika Ilani ya CCM kama ifuatavyo:

  -Kununua boti za kisasa Ziwa Victoria kupambana na majangiri ziwani
  -Kununua Meli mpya ya kufidia MV Bukoba
  -Kujenga Uwanja mpya wa ndege wa Kimataifa Kajunguti-Kyaka (Wa
  Mbeya haujaisha!)
  -Kuleta umeme mwingine wa Uganda kwa dola bilioni 1.6 kwa ajili ya
  wilaya ya Misenyi
  -Kupanua Uwanja wa ndege wa Bukoba ili upokee ndege kubwa
  -Kuwaruhusu wananchi wa Misenyi waendelee kukaa katika Ranchi
  aliyoiuza yeye mwenyewe kwa wawekezaji!

  Huu ni mkoa mmoja. Mpaka tumalize mikoa 5, tutakuwa na kitabu cha ahadi. Zile zilizomo ndani ya Ilani hajazigusa. Ofisa mmoja aliye na JK kwenye msafara amenidokeza kuwa akianza kuhutubia wanashika mapu... kwa hofu ya kusikia ahadi mpya ambazo hazijazungumziwa popote.

  Kumnyima JK ni uzalendo.

  MNYIME KURA JK ULIOKOE TAIFA NA UGONJWA WA AHADIsm.
   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Yeah -- ahadism!!!! Tehe tehe tehe .....................
   
 3. K

  Kabengwe JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2010
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 242
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Inabidi hizi ahadi zote ziandikwe somewhere halafu kuelekea mwisho mwisho wa kampeni aulizwe vitu alivyoahidi na jinsi atakavyotekeleza hizo ahadi
   
 4. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  huyu bwana akifikika mahali anauliza hivi hapa kuna matatizo gani, akiambia basi ndo hotuba yake hiyo.
  hata pale mwanza alipomaliza kuhutubia alikaa akauliza hivi nimeongea yote? basi wale jamaa wakamwambia kuna bara bara ya kamanga hadi sengerema km 30 hujaizungumzia,

  wakati anaondoka jukwaan akaanza tena , jamana wananchi kuna kitu nilisahau kuwaambia,na bara bara ya kamanga -sengerema tutaweka rami. asanteni sana.

  kwa hiyo kwa mtu makini jk hana jipya napuyanga tu
   
 5. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  achana na ugonjwa wa mtu wewe si dr ila hapo kwa ahadi mimi nataka akiahidi aeleze pia atatekelezaje?
   
 6. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2010
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,441
  Likes Received: 779
  Trophy Points: 280
  Ahadi ni deni
   
 7. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2010
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Ni wajibu wa kila mgombea kutoa ahadi
  atawafanyia nini wapigakura wake.wala huo si ugonjwa.mbona kuna dalili ya kuogopa? Ama huyo Slaa hana cha kuwaahidi wa Tz.basi akae kando awaachie wanaoweza.Jk hoyeeeeee
   
 8. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #8
  Aug 26, 2010
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Andikeni tu mtachoka wenyewe .habari ndo hiyoo.
   
 9. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #9
  Aug 26, 2010
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  HA.....ha .....ha Afadhali yake kwani Slaa anaumwa UAHADIMsm(Ukosefu wa ahadi )
   
 10. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #10
  Aug 26, 2010
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hayo ndiyo watu wa maeneo husika wanahitaji sasa unadhani utawaahidi kitu wasichohitaji.
   
 11. b

  bobishimkali Member

  #11
  Aug 26, 2010
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 12. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #12
  Aug 26, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Wewe unajuaje kwamba si Dr? Jamaa kasema ana ugonjwa wa ahadism wewe unalialia nini? mind mambo yako maana huyo kikwete hawezi hata kueleza vipi atatekeleza aliyoyaahidi.
   
 13. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #13
  Aug 26, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  mwandishi umenifurahisha kwani nilidhani ahadism ni uginjwa fulani mpya na ndio ulitaka kuuelezea na ikiwezekana watz tujitahidi kuepukana nao kwani una tiba......km ndivyo nakubari kwa asilimia zaidi ya 100......
   
 14. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #14
  Aug 26, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  anavyoitwa JK nachukia sana...mwiteni JM tafadhari
   
 15. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #15
  Aug 26, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  Hivi jamani....hakuna uwezekano wa kutenda kwanza halafu baadayte unarudoi kuwaelezea watu kile ulichofanya?.....kwa nini wanakimbilia tu kuahidi wakati wanajua baadaye hawatatekeleza kwa sababu ya ufinyu wa bajeti?....kwa nini tuwapa kura hawa ambao wanatufanye tuonekane masikini kwa kila mwaka kutegemea misaada ya wahisani tuliowapa mikataba minono ?kwa nini tuwape kura watu wanaotoa ahadi kwa kutegeme a misaada badala ya kujenga uwezo wa ndani? Why? Kwa nini jamani lakini?..naamini watz wengi watakkapokuwa na uelewa wa kutosha na kujua jinsi wanavcyodanganywa kwa kanga,sukari,kofia naamini watakuja kuchukia sana mpaka kuanzisha vurugu................
   
 16. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #16
  Aug 26, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  TATIZO TUMEENDELEA KUITWA ''NDIYO MZEE'' KWA MIAKA ZAIDI YA 50 BAADA YA UHURU...TUMEACHGA KUFIKIRI KWA AJILI YA WATOTO WETU,WAJUKUU WETU,WAJOMBA ZETU NA MARAFIKI ZETU...TUNAJIJALI SISI TU KWA KUKUBALI KUDANGANYIKA KWA KULISHWA PILAU NA POMBE ZA KIENYEZI KWA SIKU MOJA.......................ANGALIA SIKU MOJA ILIVYO NA GHARAMA KUBWA KWA MIAKA MITANO........................YAAAN WE ACHA TU MUNGU aingilie kati atunusulu na hili balaa
   
 17. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #17
  Aug 26, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  Anaitwa jm tafadhari sio jk..................
   
 18. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #18
  Aug 26, 2010
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Hizo ahadi alizotoa JK katika Mkoa ambao tayari wenyeji wameishamchoka, sidhani km ataambulia kitu. Nasikia hilo ziwa lenyewe Victoria wenyeji hawaruhusiwi kuvua - ziwa limebinafsishwa. Hiyo Ranchi anayotaka kuwapa wananchi inalindwa kuliko yanavyolindwa machimbo ya Buzwagi.

  International Airport ni brainstorm ya Ugandan president - kaguta Mseveni. Nasikia kaiota miaka mingi kwani na UG government ita - invest along TZ

  Asituzughe...
   
 19. f

  fyosa Member

  #19
  Aug 26, 2010
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo sio mgombea kutoa ahadi, kuzitoa ni wajibu wake lakini anauwezo wa kuzitekeleza? au ndio mambo ya PROF J katika "Ndio mzee"
   
 20. Naloli

  Naloli JF-Expert Member

  #20
  Aug 26, 2010
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 416
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hao ndio chama twawala nyinyi subirini ahadi tu ata YESU aliahidi atarudi hadi leo bado tunamsubiri hivyo maisha bora kwa kila mbongo ni ndoto, na mwaka huu mtakaa sana na notebook kuandika kila ahadi. JK akipeta tutapelekwa mpelampela hadi tujute kuwa wabongo
   
Loading...