CCM imefilisika kimkakati | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM imefilisika kimkakati

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by PJ, Sep 3, 2010.

 1. PJ

  PJ JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 297
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mimi napata shida sana kuwaelewa CCM ni kwa jinsi gani wasivyo na UTU, HEKIMA WALA BUSARA.

  Wanatumia zaidi ya shilingi bilion 20 kuandaa mabango, kanga, tisheti, kofia na vipeperushi na kusambaza nchi nzima.

  Hii inaonyesha ni jinsi gani hakuna mtu mwenye busara wala hekima ndani ya ccm. Wangeweza kutumia hela hizo kujenga zahanati 400 ukizingatia kuwa wastani zahanati moja inagharimu shillingi milion 50.

  Kama wangejenga hizo zahanati 400 vijijini na kufunza wahudumu wa afya wa kuhudumu huko, badala ya mwenyekiti wao kuwaahidi bajaji ili kuwapeleka kwenye zahanati iliyopo Km 10 - 20 wanachi wangeacha kuwapa kura?

  ccm ya mafisadi imefilisika haina mpango wa kuwajali wala kuwaendeleza watu wake bali matumbo yao wenyewe.

  Njaa wala maradhi haiondolewi na mabango ya "chagua CCM, cahgua Kikwete". ni matumizi mabaya ya rasilimali zetu.

  Amkeni watanzania kwa maana saa inayokubalika kwa ukombozi wetu ni sasa.

  Inyimeni kura ccm ili muanze kufaidi zasilimali zetu
   
 2. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 5,495
  Likes Received: 1,220
  Trophy Points: 280
  CCM ni mafukara wa sera kuliko chama chochote hapa tanzania
   
 3. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  I have noticed today kuna baadhi ya mabango yamebandikwa zikiwa na picha za Kikwete akiwa na watoto, nyingine Hospitali, wameandika kuwa "Watoto pia wanahitaji kusikilizwa blah blah blah" halafu chini zimeandikwa kuwa "Imeletwa kwenu na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii"

  Naomba kujua kwamba serikali inampigia Kikwete Kampaign?/ Na kama ni ndio, kwa fedha za nani??..:confused2::confused2:
   
 4. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  PJ na Kwa Heshima ya picha ya JK N nakoleza hoja yako hivi!!!

  1. Mtu mwenye Utu ajitokeze adhibitishe kuwa CCM sio... DODOKI Lillilobeba kila Takataka.
  2. CCM haina UTU kabisa...!! Na kinyume cha Utu si unyama bali ni Ushetani....kwani unyama ni hali ilioyokamilika kwa wanyama.
  3. CCM wala haina Heshima na Hekima ya kuitwa wanyama zaidi ya hiyo Identity nyingine!
  4. Wanayama wanaheshima ya kuitwa wanyama kwani, hawajapoteza asili yao ya unyama na wanautumian kikamilifu na hawajausaliti.
  5. CCM wamepoteza asili yao Ya UTU Na UBINADAMU ... So? hawawezi kuheshimika hata ukilazimishia...Mtu aliyepoteza Asili yake ya UTU na Ubinadamu ..huwezi kumpa sifa kubwa kama ya kumuita mnyama...bali is EVIL... yaani hayuko hai hapendi uhai wake wala wa jamiii kwani EVIL kinyume chake ni LIVE yaani neno live ukiliaandika kwa kinyume unapata evil.... CCM IMEKUFA toka LIVE NA KUWA EVIL...
   
 5. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Watu wanabembelezea uwaziri uendelee. Tukisema kuna chama hakina maadili na kimepewa uongozi unaambiwa we mpinzani, haya ona sasa
   
 6. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2010
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,462
  Likes Received: 789
  Trophy Points: 280
  CCM Waliyataka wenywe walitoka kwenye mstali wa imani za chama chao,wakakumbatia mabepari uchwara wakawatosa wanyonge,wakaua azimio la Arusha.Wamekuwa walafi,wanakula bila kunawa,unategemea nini?Mwanzilishi wa chama chake Hayati Mwl Nyerere hayupo kutoa somo kwa makada wa chama.Bila Nyerere hakuna CCM.
   
Loading...