Triumph and heartbreak: Ed and David Miliband
Ed Miliband has been steadily emerging from his older brother's shadow since entering the Commons in 2005, four years after David, writes Glen...
Mwanakijiji's column in This Day of today is an interesting one. May I request the learned Mwanakijiji to translate this into our beloved Kiswahili and get this same article published by the...
Kuna aina nyingi za viongozi, wapo wale ambao wao wenyewe wamejijenga (self-made) na wapo wale ambao mfumo uliopo umewajenga (epigone). JK ni matokeo ya udhaifu wa mfumo wetu wa kupata viongozi...
Mgombea aliyenunua Kadi za kupigia kura Uchaguzi mkuu.
Siku ya Jumamosi nilisikuliza Radio Wapo FM. katika kipindi kilichorushwa saa za jioni kati ya saa 12 na saa moja, ilitolewa habari ya...
Ndugu zangu, mimi ni mgeni katika forum hii lakini kuna jambo moja nimelikumbuka ambalo huu ndio wakati wake muafaka. kuna walaka wa maaskofu waliouzindua mwaka huu ambapo baadaye waislamu nao...
MGOMBEA wa nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Monduli kupitia tiketi ya CCM, Edward Lowassa, jana alizindua rasmi kampeni zake akiwa na kauli mbiu ya aina yake kwa wananchi wa Monduli.
Kaulimbiu ya...
Hivi inakuwaje Lowasa ambaye alilazimika kuachia ngazi ya uwaziri mkuu kwa makosa aliyoyafanya anendelea kugombea?
Je ni uhaba wa watu safi wenye uwezo wa kugombea, au ni ufinyu wa mawazo ya...
Wanajf mimi nimesafiri kidogo niko mkoani kwa week tatu sasa, nimekuwa kifatilia HABARI ZA MAGAZETI lakini gazeti la MWANANCHI Imekuwa inanichukua siku mbili kupata hardcopy ya gazeti la jana...
Wanajanvi, nawasilisha
Wadau inaonyesha kweli mnataka mabadiliko ya dhati. Ujumbe huu uwasaidie kufikia maamuzi ya dhati 31 Oktoba 2010. Mimi siwaambii nani mumchague lakini ninyi mnajua nani...
Mpambanaji Mabere Nyaucho Marando leo ameteuliwa kuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA. Taarifa za uteuzi huo zilitolewa leo kwenye Kikao cha Kamati Kuu.
Kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA...
[quote="Field Marshall ES, post: 1104301"]
CCM Meeting KILOSA-MOROGORO: !
Na kutoka Michuzi blog !
Umati mkubwa uliojitokeza kumsikiliza JK leo
alipokuwa akiwahutubia wana CCM wa Musoma...
Wadau wa JF nimeikuta hii katika gazeti la mwananchi leo.
Makamu mwenyekiti wa Nec, Jaji Omar Makungu alisema kauli kwamba Dk Slaa hataingia Ikulu, inaumiza lakini ni juu ya Chadema na Dk Slaa...
NI KWANINI WATANGANYIKA WENGI WANAOISHI ZANZIBAR WANAKIUNGA MKONO CHAMA CHA MAPINDUZI?
Mwanzoni wa kuingia vyama vingi Tanzania, kulikuwa na upotoshaji mkubwa unaliofanywa na Vyama vingine zidi...
Bado nasisitiza kuwa wakazi na wenyeji wa Jiji hili wamekuwa wakituangusha au kutopenda mabadiliko pamoja na mkwara wa kujifanya wanajua siasa au wanapenda mabadiliko kwani ukitazama rekodi za...
Niko makuburi nasikiliza mkutano wa chadema. Muda huu mnyika anaongea. Muda mfupi kidogo alizungumza mabere marando. Alisema kuwa helkopta moja ni ya fisadi mmoja kijana wa kihindi ana miaka 36...
Mbatia amefichua marando alimvyodanya marehemu MAMA yake, alivyoiba mali za chama NCCR Mageuzi, alivyokitelekeza Chama , na sasa ni mtetezi na wakili wa mafisadi. Kama wewe ni msomaji mzuri wa...
• Ni ule wa serikali kuimaliza CHADEMA
na Janet Josiah na Charles Ndagula, Moshi
MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, ametangaza kunasa...
Hivi mimi nashindwa kuelewa hawa ccm wanakoelekea au niseme wanaona aibu kujiunga navyama vya upinzani??au ni ile nisije nikawa wa kwanza??tangu kampeni zimeanza nashangaa za safari hii!!!Hivi...
Katika kitabu cha George Orwell cha Animal Farm, kuna mambo mengi sana nimeyapenda kwa kulinganisha na jinsi tunavyopelekeshwa na mafisadi
The Seven Commandments are laws that were supposed to...