Helkopta za kikwete zina walakini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Helkopta za kikwete zina walakini

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Raia Fulani, Sep 26, 2010.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Niko makuburi nasikiliza mkutano wa chadema. Muda huu mnyika anaongea. Muda mfupi kidogo alizungumza mabere marando. Alisema kuwa helkopta moja ni ya fisadi mmoja kijana wa kihindi ana miaka 36. Ya pili ni ya makaburu wamiliki wa mgodi wa dhahabu. Wanatafua mmiliki wa helkopta ya tatu. Mtu huyu ataweza kuwakemea hawa wanaomfadhili? Ni wakati wa maswali na majibu sasa
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kheeee...mbona hatari kubwa hiii
   
 3. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Heee, mwaka huu hakuna siri. Yaliyo chini ya kitanda au meza yatawekwa kinarani.
   
 4. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Wafukunyuzi mtutafutie nani anamiliki ya tatu. Helkopta ya chadema inamilikiwa na ndesa pesa
   
 5. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kikwete amelost, msimu huu hana pa kutokea, siri zake zote zitajulikana mapema kabla ya 31 octoba
   
 6. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Namkubali mnyika. Kaulizwa maswali 10 na anayajibu moja baada ya jingine bila kusoma sehemu na kuwataja wahusika (kwa description)
   
 7. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Vyeo vya ukuu wa mikoa na wilaya vitafutwa chini ya uongozi wa slaa. Mameya watachaguliwa na wananchi na sio madiwani
   
 8. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Marando anahitimisha na sera ya majimbo, kuwa viongozi wote watachaguliwa na si kuteuliwa. Mkutano umeisha
   
 9. D

  Domo Zege JF-Expert Member

  #9
  Sep 26, 2010
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Wakat kikwete akiwa Wilaya ya Ngara Helkopta 1 aliyokuja nayo ilkuwa na Makaburu zaidi ya 6 wamiliki wa Mgodi wa***************** kinachosemwa kinaweza kuwa na ukwel ndani yake
   
 10. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #10
  Sep 26, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  vpi mahudhurio na muonekano wa watu? wako excited? je imani yao kwa Slaa ikoje kwa jinsi wewe ulivyoona hapo uwanjani? je wako tayari kuyakubali haya mabadiliko yanayokuja endapo CHADEMA itaingia madarakani? tujuze toka hapo uwanjani kwa ufupi?
   
 11. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #11
  Sep 26, 2010
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Jamani tupatieni hapa jina la mgodi huu... Barrick au??? Hawa makburu nao wawe makini maana wasije wakajua Watanzania ni mabwege maana sisi si mabwege tena!:mad2:
   
 12. M

  Masauni JF-Expert Member

  #12
  Sep 26, 2010
  Joined: Aug 15, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndo maana nasema kuichagua CCM itakuwa ni grave mistake kwa watanzania. Kwa sababu CCM ndo wataintesify Ufisadi wakijua kwamba whatever they do bado wananchi watawasupport tu.
   
 13. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #13
  Sep 26, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  mahudhurio kwa ngazi ya kata kama hivi yanaridhisha. Watu walikuwa wakitaka zaidi kuhakikishiwa chadema watafanya nini kuhakikisha kura haziibwi kama 2005. Mnyika amefafanua vizuri mikakati. Watu wamekuwa wachangamfu na mwisho wa siku wamemshangilia sana mnyika
   
 14. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #14
  Sep 27, 2010
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,692
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Hivi hiyo sheria ya gharama za uchaguzi haisemi lolote kuhusu kufadhiliwa na makampuni yenye interest za kibiashara nchini? Mliokwisha isoma tuambieni. Hata ethics zinakataza makampuni kuonyesha ushabiki wa wazi wazi kwa wagombea wa vyeo vya siasa.
   
 15. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #15
  Sep 27, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  kampeni ya shuka kwa shuka
   
 16. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #16
  Sep 27, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  sijaona Tatizo! Tatizo waliojitolea wana rangi tofauti na sisi AU..?
   
 17. S

  Subira Senior Member

  #17
  Sep 27, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 162
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  helikopta ya slaa inatoka vatican city wenye akili wafafanue
   
 18. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #18
  Sep 27, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu kama hujaona tatizo basi wewe ndio tatizo kwa sababu hujaona tatizo. Rangi, dini, jinsia na ukablia havina maslahi kwa taifa wakati huu. Usibadili mada kwa mambo ya rangi. UFISADI hauna rangi, dini, jinsia wala kabila. Hoja ni uhalifu wa kuteka mali za umma= UFISADI
   
 19. n

  nmaduhu Member

  #19
  Sep 27, 2010
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mwaka huu kazi moja tu ndugu zangu, ni kuwakataaa, waende wakchunge ng'ombe vijijini kwao..
   
Loading...