NANI ANAHUJUMU GAZETI LA MWANANCHi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NANI ANAHUJUMU GAZETI LA MWANANCHi?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kachanchabuseta, Sep 27, 2010.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Wanajf mimi nimesafiri kidogo niko mkoani kwa week tatu sasa, nimekuwa kifatilia HABARI ZA MAGAZETI lakini gazeti la MWANANCHI Imekuwa inanichukua siku mbili kupata hardcopy ya gazeti la jana.

  Katika kufatilia habari zake ikabidi niwe naenda kulisoma online www.mwananchi.co.tz
  lakini nimekuwa nikikutana na hii Message
  Internet Explorer cannot display the webpage


  Baada ya kuona hii message nikaanza kufatilia vyombo vya habari vinavyosoma magazeti ASUBUHI ANGALAU NIPATE HABARI NI HEADINGS.

  HII NI SURVEY KWA MUDA WA WEEK MBILI

  TBC1
  kwenye dondozi za magazeti sa12.30am na saa7.30 am WAMEKUWA WAKISOMA MAGAZETI MENGINE LAKINI LA MWANANCHI HALISOMWI
  TBC1 GAZETI LAO LA KWANZA NI HAMA UHURU AU HABARILEO AU MZALENDO

  ITV
  Dondozi za magazeti sa12.45am and 7.45am VILEVILE HAWASOMI GAZETI LA MWANANCHI KWA WEEK 2 SASA
  ITV GAZETI LAO LA kwanza kusoma ni NIPASHE

  RADIO ONE
  Saa 7.15am hawajasoma gazeti la mwananchi kwa week mbili

  CAPITAL RADIO
  Saa 12.30am na hawa hawasomi hili gazeti

  CLOUDS FM
  SAA 7.50AM Hawa na wenyewe vile vile


  Pamoja na kuwa GAZETI LA MWANANCHI LINAUZA COPY NYINGI MTAANI naona linaujumiwa

  Swali:
  1. Kwanini website yake imefungwa? www.mwananchi.co.tz

  2. Inawezekana mimi sielewi hawa wanaosoma magazeti asubuhi wanaitaji kulipwa na MWANANCHI COMMU. ILI GAZETI LAKE LIWEZE KUSOMWA?

  3.NANI anavilipa hivi vyombo vya HABARI VIWEZE KUUJUMU GAZETI LA MWANANCHI?
   
 2. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2010
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Tazama channel ten saa 12,00,saa 1:00 na saa 2:00 asubuhi

  Sikiliza RFA saa 12:30 asubuhi

  Tazama ATN tv saa 2:00 asubuhi utalipata tu
   
 3. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Jibu la swali namba 3 - Haramia Kinana
   
 4. Raimundo

  Raimundo JF-Expert Member

  #4
  Sep 27, 2010
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 13,552
  Likes Received: 10,940
  Trophy Points: 280
  Sina uhakika sana na habari hii, mimi nimekuwa nikilipata kwenye mtandao bila matatizo. Labda maswala ya internet
   
 5. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #5
  Sep 27, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu mimi niko nchi jirani nalisoma bila matatizo yoyote kwenye mtandao. Tatizo langu gazeti la Tanzania Daima, lililopo ni lile la Ijumaa. Hakuna updates
   
 6. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #6
  Sep 27, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hata mimi hapa nilipo nalipata kwenye mtandao. Labda angalia "service provider" wa mtandao wako ni nani huenda huyo ndo anafanya hiyo hujuma na hivyo vyombo vya habari kutolisoma kwenye vipindi vyao vya magazeti. Ila kiuhakika ni kwamba Kinana alisikika akiwalalamikia Mwananchi eti hawaandiki habari nzuri kuhusu CCM, hivyo huenda kukawa na hujuma fulani kwa gazeti hili.
   
 7. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #7
  Sep 27, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135

  Inawezekana hapo kwenye red ndo kuna Tatizo ngoja nijaribu kwa mwangine
   
 8. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #8
  Sep 27, 2010
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nadhani una tatizo la mtandao.Mwananchi.co.tz linapatikana wakati wowote,bado sijaona tatizo hapo.
  Chunga sana magazeti ya kusoma,unaweza kupata presha bure,angalia sana magazeti na redio za kusikiliza ndugu yangu.
  Mimi nimeshaharibu karedio kangu kadogo kwasababu ya taarifa niliyosikia Redion UHURU.Bora wangebadili jina la hiyo redio,maana ilinichefua kupita kiasi na kupondaponda ile redio watoto wakachukua kuchezea.
  Mbona taarifa zote za habari muhimu kwa mustakabali wa nchi yetu tunazipata hapa Jamiiforum Bila tatizo lolote?
  Hata hivyo Kings of Kings umejaribu kutoa taarifa muhimu sana kipindi hiki kigumu kwa watu wanaotaka kurejesha nchi yao kwa amani kama mkulu ataridhia.
  SORRY KIKWETE,
  IS IT,YES.......WE NEED CHANGE!!!!!
   
 9. R

  Rugemeleza Verified User

  #9
  Sep 27, 2010
  Joined: Oct 26, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kuna tatizo katika gazeti la Tanzania Daima wao hawalipandishi katika mtandao kila siku lililoko ni la Ijumaa kama ilvyosemwa na mmoja wetu hapo juu. Tatizo hili pia liko katika tovuti ya Dr. Slaa nayo haiboreshwi na kulishwa habari kila siku.
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Sep 27, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,266
  Likes Received: 22,021
  Trophy Points: 280
  Web inafunguka mzazi
   
Loading...