Elections 2010 Ni majimbo Mangapi,Yapi yalikuwa kambi ya Upinzani Kwa Mkoa Dar Es Salaam 2005-2010?

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Bado nasisitiza kuwa wakazi na wenyeji wa Jiji hili wamekuwa wakituangusha au kutopenda mabadiliko pamoja na mkwara wa kujifanya wanajua siasa au wanapenda mabadiliko kwani ukitazama rekodi za uchaguzi mkoa huo ndio unaoongoza kwa kutochagua vyama tofauti na CCM hapa ni kwa nafasi za ubunge,udiwani na Rais.

Naonglea wabunge na hata idadi ya kura za jumla kwa wagombea urais mkoa huo uko nyuma

hivi tatizo nini?

Je mwaka huu mtabadilika?

Kwani wananchi wa mikoa isiyo kuwa na hata mitandao,simu ndiyo wanaona mabadiliko
 
Back
Top Bottom