Kombora la Mbatia kwa Marando na Slaa ni kweli hawafai kuwa viongozi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kombora la Mbatia kwa Marando na Slaa ni kweli hawafai kuwa viongozi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Jicholangu, Sep 26, 2010.

 1. J

  Jicholangu New Member

  #1
  Sep 26, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbatia amefichua marando alimvyodanya marehemu MAMA yake, alivyoiba mali za chama NCCR Mageuzi, alivyokitelekeza Chama , na sasa ni mtetezi na wakili wa mafisadi. Kama wewe ni msomaji mzuri wa gazeti lamajira la Jumapili ya tarehe 26 Sept 2010 utagundua kwamba anachotutaadharisha mbatia ni muhimu kwa watanzania wote maana NCCR ilisarambaratishwa na Marando na sasa masikini Dr Slaa tayari ameingizwa mkenge, maana michango yote ambayo marando anaitoa hapo Chadema anapewa na mafisadi, ebu jiulize moja ni fisadi wa kanisani na mwingine ni fisadi wa mahakamani vipofu wawili wanaweza kujiongoza na shimo lipo mbele la hasha watatumbukia wote, ushauri wa bure tuachane nao SLAA NA Marando.

  Mgombea mzuri ni Dr Jakaya Mrisho Kikwete na mshauri mzuri ni KANALLI (MST) Kinana kama ilivoandika katika kitabu cha Joshua kwamba yeye na familia yake watamfuata Mungu mimi na familia yangu tutamfuata Mungu na kura kwa Kikwete
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,423
  Likes Received: 19,747
  Trophy Points: 280
  hivi ukipewa adhabu ya kifo utasema watu wanakuonea??
   
 3. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
 4. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  wewe na familia yako mtafuata majini ya shehe yahaya, siyo Mungu. Tafadhali!
   
 5. U

  Ujengelele JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2010
  Joined: Jan 14, 2008
  Messages: 1,256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndiyo wale wale mapandikizi wa mafisadi! Wanazidi kuongezeka kwa kasi kubwa kila kukicha.
   
 6. M

  Magobe T JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2010
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 180
  Kwako wewe anachosema Mbatia ni 'gospel truth' au ukisikia tu maoni ya mtu mmoja kuhusu mwingine inakuwa kweli? You've to corroborate Mbatia's allegation with independent evidence.
   
 7. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2010
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Kila mtu ana haki ya kuwa na maoni yake na mi naheshimu maoni yako mkuu,ila na swali moja muhimu:
  - Kama Mbatia hajanunuliwa na mafisadi kwa nini anagombania jibo la kawe na kusambaratisha nguvu za upinzani hususan kwa Halima Mdee? Maana kinachoonekana wazi ni kuwa anafanya kazi ya kubomoa upinzani huko na si kujenga mshikamano. Huu ndo ukweli wenyewe, kwa hiyo nadhani angetoa kwanza boriti katika jicho lake... baada ya hapo tuendelee na mjadala wa Marando.
   
 8. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,907
  Likes Received: 12,046
  Trophy Points: 280
  Haya mambo ya wazazi tena yanatoka wapi kwani wewe mama yako ni marehemu au marehemu tarajiwa acha hizo.
   
 9. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #9
  Sep 26, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,726
  Likes Received: 3,144
  Trophy Points: 280
  Wewe Jicholangu umelogwa au ??? mambo ya familia hapa yanatuhusu nini? Acha kutukoroga na habari zako zisizo na mguu wala kichwa
   
 10. M

  Masauni JF-Expert Member

  #10
  Sep 26, 2010
  Joined: Aug 15, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu mbatia ndo alivilaumu vyama vya upinzani pale jangwani kuwa vinasema mambo binafsi ya watu, leo anakuja na kudai marando alimdanganya marehemu mama yake. Je, mambo hayo ya mama yake si ya binafsi. MBATIA KAPANDIKIZWA
  Na wewe ndugu acha kutumia kitabu kitakatifu kwa upuuzi wako, Mungu hadhihakiwi. kIKWETE ANALINDWA NA NGUVU ZA GIZA
   
 11. m

  matambo JF-Expert Member

  #11
  Sep 26, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 728
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  sina haja ya kujua lililosemwa ni kweli au si kweli ila nashindwa kujua motives za viongozi wa hivi vyama vya upinzani,hakika hiki ndcho kilikuwa kipindi muafaka cha kuungana na kuing'oa CCM lakini nashindwa kuelewa kwa nini hawatake advantage ya CCM kuelemewa na wao kustrike a killing blow

  wacha tuazime maneno ya shakespeare: There is a tide in the affairs of men.
  Which, taken at the flood, leads on to fortune;
  sasa wacha wao wakae walumbane badala ya kuwa wamoja, kweli vita vya panzi furaha kwa kunguru
   
 12. Mwanaukweli

  Mwanaukweli JF-Expert Member

  #12
  Sep 26, 2010
  Joined: May 18, 2007
  Messages: 4,451
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 180
  Jinsi ulivyotoka kwenye hoja za akina Mbatia na Marando na kwenda kwa Kikwete, hamna connection yoyote!
   
 13. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #13
  Sep 26, 2010
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Bwana mdogo unamjua Mbatia vizuri lakini ama umeanza kumsikia akiwa NCCR-Mageuzi?. Tuulize tuliyesoma naye Tambaza High School tutakuambia Mbatia ni nani na yukoje kitabia, maadili, kiafya na msimamo.

  Mbatia ni NYOKA wa vichwa viwili, anauma huku na kupuliza huku. Hakuna aliyeweza kuwa rafiki na Mbatia katika darasa letu pale Tambaza (PCM), ni mtu muongo, mtaka sifa kwa gharama yoyote, pia anapenda kujipendekeza ili kutafuta umaarufu. Kibaya zaidi ana umbo la kiume lakini ana tabia za akina Dada (Ashakumu si matusi)
   
 14. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #14
  Sep 26, 2010
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  nasikia ni bwabwa huyu sasa anabwabwaja
   
 15. M

  Mulamuzi Member

  #15
  Sep 26, 2010
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha kuona mtu kuwa nyuma ya mtu ambaye tumetangaziwa kuwa ana ulinzi wa majini. Majini yana mashariti nayo ni kupata damu, msishangae kuona umwagaji damu kwa njia zozote zile kwani itakuwa ni kafara kwa ajili ya ulinzi wa JK; Ila kwa maombi ya wacha Mungu hayatapata hiyo damu na mwisho yatanyonya ya aliyeyatuma na watoto wao. Msishangae kuona kabla ya uchaguzi anaanguka jumla na kutangaziwa kuhairisha uchaguzi kwa ajili ya kumpata mgombea mwingini. Acha kushabikia wanaotegemea nguvu za giza kutawala nchi.
   
 16. M

  Mbalinga JF-Expert Member

  #16
  Sep 26, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 1,382
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Mimi pia namfahamu vizuri sana Mbatia, tukiwa pale mlimani, ni mnafiki na mwongo. Leo tunaweza kuona wanamgeuzi wa kweli. Na ole wao wasaliti wa mageuzi, mapinduzi yakija hawataachwa wakitesa.
   
 17. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #17
  Sep 26, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  USALAMA wa TAIFA at work
   
 18. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #18
  Sep 26, 2010
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 2,065
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Halafu Mbatia anafanya kosa lilelile la Makamba kuingiza masuala ya maisha binafsi.Hivi hajui kama yeye naishi kwenye nyumba ya vioo,na wahenga walishasema aishiye kwenye nyumba ya vioo asirushie mawe wenzie?Akiendeleza habari hizi basi si ajabu akajikuta wanaojua kuhusu sexuality yake nao wakaanza kumwaga mchele kwenye kuku wengi.
   
 19. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #19
  Sep 26, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Acha blasphemy !
   
 20. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #20
  Sep 26, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Nasikia Jamaa Mtoto si Rizki, watu wanapakaua :becky:
   
Loading...