Mabere Marando Ateuliwa kuwa mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabere Marando Ateuliwa kuwa mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Regia Mtema, Sep 25, 2010.

 1. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #1
  Sep 25, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Mpambanaji Mabere Nyaucho Marando leo ameteuliwa kuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA. Taarifa za uteuzi huo zilitolewa leo kwenye Kikao cha Kamati Kuu.

  Kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA Mwenyekiti wa chama amepewa mamlaka ya kuteua wajumbe sita kuingia kwenye Kamati Kuu.

  Uteuzi wa Marando umeanza mara moja na hadi sasa ni wajumbe watatu walioteuliwa.
   
 2. E

  Estmeed Reader Senior Member

  #2
  Sep 25, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawachaguliwi kwa kupigiwa kura?
   
 3. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,601
  Likes Received: 18,622
  Trophy Points: 280
  Asante Regia, nimekuona kwenye mdahalo pale Moven Pick, Chadema did well. Hebu muiteni huyu kijana wa CUF pale Ubungo, japo anajua hawezi kushinda, he is good, hivyo asije zigawa kura za wapinzani ikawa ni vita vya panzi, itakuwa ni faida kwa kunguru!.
   
 4. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Thanx kwa taarifa.

  Nadhani makosa haya yasiendekezwe kwenye vyama vya upinzani. Naona imekuwa too fast to trust him to be there.

  Simchukii lakini nahisi kuna utaratibu umeharakishwa sana hapo. Angefaa apewe nafasi ya kumpima na kumsoma kabla hajapewa majukumu makubwa zaidi.

  Kuna kitu kinaniambia kichwani kwamba kuna something si sawa ktk hili
   
 5. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Mimi kwa Mabere Nyaucho Marando sina tatizo kabisaa kwani najua anao uchungu wa kweli na taifa hili na yuko tayari kulipigania kwa nguvu zake na uwezo wake wote.

  Najua kuna ambao hadi leo wameshindwa kumwelewa huyu mpiganaji kwa sababu tu alikataa kumpigia magoti Augustino Lyatonga Mrema lakini hapa nafikiri historia iko upande wake na inaendelea kumtetea.

  Hongera Nyaucho na hongereni Chadema kwa kuendelea kujiimarisha katika hivi vita vyetu vya kuling'oa hili genge la wezi, wanyang'anyi, wanafiki na walafi wanaoliteketeza taifa letu.
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  labda katumwa? hope sio hivyo lakini:confused2:
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  wewe REgia vipi huko Kilombero!?
   
 8. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #8
  Sep 25, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  kilombero kuko vizuri, hali ya kisiasa si mbaya ni kujipanga kulinda kura na kubana mianya yeyote ya wizi.
   
 9. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #9
  Sep 26, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  nakupa hi mabere marando, sauti ya zege
   
 10. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #10
  Sep 26, 2010
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wishing you all the best RM; kapigane kwa dhati; Mungu atakujalia;usikate tamaa ila kumbuka unapigana na nguvu ya shetani (fedha), inabidi upigane vita ya Musa ili ushinde

  Ni vita kati ya utumwa na uhuru; kati ya fedha na haki zao; kati ya hofu na ujasiri; wizi wa kura na usalama wa kura; Once again wishing you all the best
   
 11. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #11
  Sep 26, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Mkuu wangu MAG3
  naamini wewe unamwamini ila hata mie nakubali mchango wake sana ktk mageuzi na demokrasia. ila msimamo wangu ni kuwa hii tabia ya kupachika watu kwenye nafasi kwa sababu tu huko atokako alikuwa na jina kubwa siafiki hata kidogo.

  Mtu akitoka safari shurti apumzike kwanza ndipo aanze pilikapilika zilizompeleka au mrudisha. Amini nakuambia. CHADEMA ina mfumo wake wa ndani unaounda itikadi na mfumo mzima wa utawala. hivyo system yake imekamilika kutokana na walivyopanga na kujipanga. Ni vyema mtu yeyote mgeni apaswe kuwa ktk kipindi maalumu cha mpito kabla hajapewa majukumu muhimu hasa nafasi za juu. Hata ktk ajira kuna kipindi maalum cha uangalizi hata kama wewe ni gwiji wa hiyo kazi lazima uangaliwe na utathiminiwe kabla ya kuthibitishwa.

  Am I talking to myself here?
   
 12. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #12
  Sep 26, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Vipi kuhusu huyo kijana, mkuu hebu jaribu kutuwekea habari zake tafadhali. Shukrani.
   
 13. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #13
  Sep 26, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,936
  Likes Received: 12,207
  Trophy Points: 280
  Kwani unajua lini Marando alihamia Chadema au wewe unafikiri ni siku ile alipopewa kadi.
   
 14. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #14
  Sep 26, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  wewe wasema
  haya tuambie lini alihamia huko?
   
 15. Augustine Moshi

  Augustine Moshi JF-Expert Member

  #15
  Sep 26, 2010
  Joined: Apr 22, 2006
  Messages: 2,214
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  Subira huvuta heri. Nakubaliana na Msanii kwamba ingekuwa vema kusubiri. Au kulikuwa na ulazima gani wa kuharakisha? Haingewezekana kungoja mpaka baada ya uchaguzi?

  Ila, niko radhi kusema vile vile kwamba labda wakuu wanajua mambo ambayo siyajui. I am willing to be led, but I would have preferred a more cautious approach.

  Mwisho, namwomba Mbunge Mtarajia wa Kilombero atuwekee hapa picha za kampeni zake kama anazo.
   
 16. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #16
  Sep 26, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  I am still very suspicious of this man who you call mpiganaji. Of all wapiganaji mmeamua kumchagua yeye it is so sad. Cancer imeingia CHADEMA, and CHADEMA seems to start playing by the book of TISS trap, huyu jamaa ni was kuwa he is commission to destroy the opposition he did well at NCCR Mageuzi. Aliingia kwa wale walioianzisha akijifanya mmoja wao he worked so hard kuwakusanya wale waliokuwa wanataka kuleta mageuzi ya kweli na kuwavuruga, akaishia kupewa zawadi ya ubunge wa Afrika Mashariki.

  I must be honest, i would like to see CHADEMA make new mistakes not old mistakes. Marando ni cancer kwenye opposition inayoingia CHADEMA, unless kuwe na mechanism ya kudeal naye. NI bingwa wa migogoro. Ujinga wa migogoro ambao haujawahi kuwepo soon tutaanza kusikia ndani ya CHADEMA.

  Sijui kama mnakumbuka ki-note cha Kolimba kilifikishwa vipi Dodoma, au mnakumbuka kivipi Mrema alikufa kisiasa. Just wait and see.
   
 17. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #17
  Sep 26, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Marando amekuwa akishirikiana na Chadema kwa muda mrefu tu kabla ya kujiunga rasmi na hilo viongozi wa Chadema wanalielewa na ku appreciate mchango wake. Mkumbuke kuwa kwa muda mrefu sana hakujishughulisha kwa namna yoyote na chama chake cha zamani cha NCCR-Mageuzi but behind the scene amekuwa mwanaharakati mzuri tu wa Chadema.
   
 18. Swahilian

  Swahilian JF-Expert Member

  #18
  Sep 26, 2010
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 585
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hapa yote tuyasikiayo kwangu bado ni kiini macho! How comes if Marando alishakuwa na uhusiano au uanachama wa CHADEMA kabla ya kutambulishwa rasmi kwanini hatukujulishwa awali? So it means walisubiri kumtambulisha karibia na uchaguzi au ndio yeye huwa maalum katika vipindi hivyo tu.
  Lakini ikiwa chama kimemwamini na ikaonekana anafaa basi na aaminiwe japo kwangu mie napata wasiwasi kidogo juu ya huyu wakili a.k.a Mpambanaji kama wengi wanavyomwita.
  Watanzania werevu hutathmini na kukaa kimya wakisubiri hatima yake.
  Kila lililo kheri kwa CHADEMA...
   
 19. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #19
  Sep 26, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  All I know, kosa kubwa la Marando ni kukataa kuburuzwa na Augustion Lyatonga Mrema
   
 20. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #20
  Sep 26, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Mkuu ndege ya uchumi. mimi sioni kama marando anakosa kwa kutokukubaliana na sera za uburuzwaji za mrema maana wote ni watoto wa baba mmoja na walikuwa wanatimiza wajibu wao.
  Kosa kubwa kwa CHADEMA ni kutupa karata ya uaminifu mapema kabla hawajamsoma mchumba mwenyewe kama kweli ni mzalendo kivile.
  Unajua mimi sishabikii mabomu ya kisiasa yanavyorushwa, bali umakini wa mipango na uhakika wa mfumo uliojengwa na kuheshimiwa hata inapolazimu mabadiliko. Ndo maana ingawa huwa nawananga sana hapa hawa walumendago (UwT) lakini kiukweli ninawadmire mno kwa kazi ngumu wanazozifanya na jinsi mfumo wao ulivyokuwa settled ingawa haueshimiwi na watumiaji wa mfumo huo.

  Pia nawasihi CHADEMA wajitahidi kuwaandaa vijana kushika hatamu ndani na nje ya chama kama walivyofanya kwa akina zitto, mnyika, mdee et all. Tupike chakula chetu tuache kudoea kwa jirani
   
Loading...