Mgombea aliyenunua kadi za kupigia kura | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgombea aliyenunua kadi za kupigia kura

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by QUALITY, Sep 27, 2010.

 1. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mgombea aliyenunua Kadi za kupigia kura Uchaguzi mkuu.
  Siku ya Jumamosi nilisikuliza Radio Wapo FM. katika kipindi kilichorushwa saa za jioni kati ya saa 12 na saa moja, ilitolewa habari ya mhombea wa CCM aliyekuwa amecommission akina mama kadhaa kununua kadi zile za kupigia hapo 31.10.2010. baadhi ya wanawake hao walikuwa wamekamatwa na uchunguzi wa polisi ulikuwa unaendelea.

  walipohojiwa walisema kuwa wametumwa na mgombea wa CCM (jina na jimbo nimelisahau). Sasa nilitaka kujua kama kuna aliye na habari zaidi atufahamishe. Maana inawezekana kwa vile ni wa CCM, asichukuliwe hatua. Tunajua hilo ni kosa la jinai. .... Karibuni kumwaga matirio zaidi. Nawasilisha
   
 2. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Wewe unatuzuga sasa. Inakuwaje usahau JINA na JIMBO? Yaani umesahau kiini cha habari!
   
 3. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 421,163
  Trophy Points: 280
  Hongera tusaidie takwimu zaidi. Mimi bado nipo kizani.....................
   
Loading...