Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

“Kabla ya kupanda hapa jukwaani kuzungumza nanyi, mliniona nazungumza na simu…alikuwa Balozi wa Marekani, ananiuliza kama nimesikia hotuba ya Rais Obama jana usiku kwenye Umoja wa Mataifa,”...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi namshauri asubiri 2015 ndo akombee URAIS mana wazanzibar bado hajamkubari
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu, Leo chama cha Chadema walikuwa na mkutano wao wa kampeini katika kata ya BILELE katika eneo la nje ya Soko kuu ambapo watu walijaa sana na kulazimika kuifunga barabara ya Jamhuri kwa masaa...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
WAGOMBEA urais kwa tiketi ya vyama vya Chadema na CUF jana waliendelea na kampeni zao wakitumia mbinu tofauti za kujenga hoja, huku Willibrod Slaa akimtaka mkuu wa wilaya kupanda jukwaani na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu zangu! Naomba tuchambue sera hizi za vyama objectively kutoka kwenye ilani zenyewe za vyama. CCM: Ilani ya uchaguzi 2010-2015 9:Majukumu ya Msingi (a) Kuimarisha na kuboresha elimu. (b)...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Hali ya Kisiasa Tanzania Ni Ubabaishaji 60 29.4% Inahitaji uongozi Mpya 54 26.5% Katiba Irekebishwe 32 15.7% Inaridhisha 26 12.7% Inahitaji Kuboreshwa 23 11.3% Hairidhishi kabisa 9 4.4%...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Mabere Marando atatuambia nini... 1.HUyu mtu alihusika moja moja na kama mnakumbuka ile ambush ya kumteka Comandoo Tamin na ndio inadaiwa alifyatua risasi iliyomuua Comandoo Tamin pale...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Huyu mama ana matatizo sana, hivi toka lini vyama vya upinzani vikawa adui wa chama tawala? Maneno haya ni ya kuvuruga amani na kuleta uchochezi baina ya wanachama na wafuasi wa vyama vya siasa...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Amri kuu za uchaguzi Tanzania 2010 Dr. Slaa ndiye chaguo lako usichague Rais mwingine. Usimpe bure Kikwete kura yako. Shika Jina la Dr Slaa hata baada 31.10.2010. Wachague rais,wabunge,ma diwani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimetooa methali hii kutoka lugha ya Kihaya. Wao husema: “Olutega Mu-Kasho lwija na Nyoko” Na nimeikumbuka methali hii baada ya kutathmini nini kimetokea mpaka Babu, Shangazi, Wajomba na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
anajatambulisha kwa title ya dr,hivi ni dr wa nini?mbona anachozungumza ni tofauti na utambulisho wake?twaomba data zake kwa wale wanamfahamu maana ile siku anaongea na wana habari alisahau hat...
0 Reactions
15 Replies
10K Views
Wandugu: Hebu fikiria iwapo Chadema wangekuwa na robo tu ya pesa ambazo wanazo CCM! CCM ingezidi kutishika na ingecheza faulo nyingi zaidi kuliko hivi sasa!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ukiangalia walioitishwa kuwania ubunge na wengine watakao kuwa mawaziri kuna watu wawili kwenye masuala ya uchumi na fedha nchini nikama zidane na ronaldinho but ccm kama kawaida yao wamewaacha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
M. M. Mwanakijiji (Tanzania Daima Jumatano) SIPENDI kweli watu wenye kuamini kuwa hawawezi. Na sipendi zaidi viongozi ambao wanatumia lugha ya kutokuweza. Leo hii tumeanza kutukuza...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
HUYU SLAA ANATAKA KUNIWEKEA MCHANGA BADALA YA UBWABWA KWENYE SAHANI HII.HIZI HABARI ZA MIE KUFUKUZWA UALIMU ZA NINI TENA MUDA HUU?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
  • Closed
wakuu, je ni kweli uvumi kwamba fedha za kugharamikia kampeni kwa uchaguzi wa mwaka huu ni za kugharamikia kampeni za urais tu? (moshi wa kwanza). kwamba wagombea/viongozi wengi wana malalamiko...
0 Reactions
79 Replies
8K Views
Wakati CCM imetoa mabango (billboards) zikimuonyesha Rais aliyemaliza muda wake, Jakaya Kikwete, akikumbatia watoto na kina mama huku kukiwa na maneno kama "Watoto Wote ni Wetu," ripoti mpya ya...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Anasema,usalama,maji,elimu itakuwa bomba anasema bila ccm maendeleo hakuna, anasema yupo na mke wake anasema wanafdunzi watapata vitabu vya kutosha
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Monday, 13 September 2010 NA PETER KATULANDA, MWANZA Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA Dk. Willibrod Slaa, ameonyesha kuikubali CCM, baada ya kusifia baadhi ya mipango, ikiwemo ya ujenzi wa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mama Salma amesema anampigia debe mumewe kwa sababu ndiye msaidizi wake wa karibu kwenye masuala ya maendeleo ya jamii nchini kwa sababu anamiliki WAMA Foundation(Majira 23/09/2010). Hivi...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…