Mabere Marando mpinzani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabere Marando mpinzani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Yo Yo, Sep 24, 2010.

 1. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Mabere Marando atatuambia nini...

  1.HUyu mtu alihusika moja moja na kama mnakumbuka ile ambush ya kumteka Comandoo Tamin na ndio inadaiwa alifyatua risasi iliyomuua Comandoo Tamin pale kinondoni


  2 Huyu ndio alikuwa anahusika na utesaji watu kule kisiwa mafia.....moja ya watu waliteswa ni wakina Yasin memba …..


  3.Si ndio huyu huyu marando aliekuwa anawatesa wakina Hatibu Gandi na wenzake kwenye ile kesi ya uhaini? Kama mnakumbuka walikuwa wakimtumia Yule drive teksi(mnamjua derive teksi alikuwa nani?)

  Huyu Marando ni mpinzani wa kweli???? Marando najua upo kazini TISS na yeye ndie mwalimu wa wakina Mrema......Mrema alikuwa na torture house kule Mugumu alipokuwa District Security Officer
  Wapinzani walikuwa wakina Cristopher Kasanga Tumbo ambae mwalimu alimpa kifungo kibaya maishani cha kummweka chini ya ulinzi kijijini kwao Tabora...
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Huyu Mabere marando ni wetu wewe subiri
   
 3. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  ndio maana mi naangaliaga weee hawa wanojiita wapinzania nacheka mwenyewe......afu sasa mitanzania ndio mijinga.....
   
 4. D

  DoubleOSeven JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2010
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 661
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  .... usijiridhishe na hisia zako kwamba kila afisa usalama amebariki UPUUZI. Watanzania wote kwa ujumla wetu tunawajibika kulinda maslahi ya nci yetu. Hii si lazima kutumikia matakwa ya CCM PEKEE!! Wapinzani sio lazima ni wahaini
   
 5. B

  Boramaisha JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 820
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  So what? Naona umeishiwa hoja dhidi ya Mabere Marando. This has nothing to do with Mabere Marando being a mpinzani or not! Kama Mabere Marando aliyafanya yote hayo akiwa afisa wa TISS alikuwa anatimiza wajibu wake kwa mujibu wa maagizo ama utaratibu wa kazi wakati huo kulingana na makosa ya uhaini yaliyofanywa na wahaini hao. Makosa ya uhaini ya wakati huo yanaweza yasichukuliwe kuwa ya uhaini kwa wakati huu maana haturudi nyuma tunakwenda mbele ama kwa kiswahili kingine; 'tunakwenda na wakati'!

  Kama watu wanabadili hata dini zao na kuwa wafuasi na waumini wa dhati wa dini nyingine, vyama vya siasa ni nini? Afterall, sooner or later wapinzani hawatakuwa tena wapinzani kwa sababu huenda vyama vyao vinaweza kushika hatamu na kuongoza Serikali. If that happens, Mabere Marando anaweza akawa si mpinzani tena bali Waziri Mkuu wa nchi ama Waziri wa Sheria for that matter!
   
 6. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2010
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :shocked:

  he; alikwishakili alikuwa TISS; sasa kazi yake ilikuwa Ipi au ulitaka asifanye kazi yake au kwa kufanya kazi yake si mpinzani; too personal and very low (yale yale ya kumsakama Dr Slaa) kwa kudhani mnapunguza umaarufu wake kumbe hakuna kitu hicho
   
 7. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
   
 8. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Mimi nikisikia Marando yupo upinzani huwa tumbo linanikoroga...huyu mtu kala kiapo na wanasema viapo vya UWT havifutiki mpaka ufe..ananishughulisha sana...kule nyumbani watu hawa tuliwafukuza upinzani kwa kuwa walituharibia sana mikakati yetu...hawaaminiki kama wateja wa unga...wakiwa arosto tu wanaharibu!
   
 9. M

  Mkandara Verified User

  #9
  Sep 24, 2010
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Ama kweli JF imeingiliwa....Na hakika tunahitaji sana ukombozi wa fikra na ELIMU..
  Hivi inatakiwa mtu awe mhaini ndio anakuwa Mpinzani?..
   
 10. m

  mozze Senior Member

  #10
  Sep 24, 2010
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 185
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JE KUNA MTU ANAZALIWA MPINZANI? Mpinzani ni mtu yeyote mwenye mawazo mbadala. Kama hukubaliani na kitu au hoja fulani basi utakuwa mpinzani.
  Ndani ya CCM kuna upinzani tena mkubwa sana, ndio mana Mlinzi wa Kikwete-Sheikh Yahaya akatumika kutishia watu kuwa atakayempinga Kikwete atakufa!
  Hivyo nyie mliokubali Kutumiwa kuwapotosha watu ndio sio wapinzani wa waliowatuma, ila wale wanaochangia humu kwa hiari yao pasipo kusukumwa na mtu yeyote yule watakuwa wapinzani kwenu mana wao wanatoa Mawao YAO na nyie mnaokuja na topic za propaganda mnatoa maoni ya KUPANDIKIZWA. Hivyo hata nyie mnaonekana ni wapinzani, ila SIO WAPINZANI WA KWELI mana mmetumwa!
   
 11. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #11
  Sep 24, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  filth
   
 12. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #12
  Sep 24, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Mkuu MKANDARA, hawa watanzania wenzetu wametumwa kununua misukule zaidi kwa longolongo zao.
  Wanatumia mbinu zilizosalia kujaribu kuirejesha ccm kwenye chati
   
 13. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #13
  Sep 24, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  CCM bwana, wanaona jinsi Marando anavyowatibulia kitumbua chao kwa kukitia mchanga mchana kweupee ! Wamegundua mbinu zote za kumchafua mpiganaji wa kweli, Dr. Slaa zinagonga mwamba kama si kumwongezea umaarufu na sasa kama mfa maji wamebaki wanalalama. Watatumia kila silaha waliyo nayo lakini siku ya kufa nyani, mti gani hautelezi ? Hiyo ya Marando wamefulia labda wafanye kile wanachokijua best - ujambazi, vitisho na ikiwezekana kutoa roho, ndio kwani mikono ya CCM imejaa damu ya Watanzania wasio na hatia. Wamezoea kuwatoa wananchi roho huku wakitabasamu lakini iko siku !
   
 14. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #14
  Sep 24, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  YO YO
  Hayo ndo matokeo ya kufanya kazi isiyokufiti.
  Ona sasa unashindwa kutushawishi kwa kushindwa kujenga hoja
   
 15. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #15
  Sep 24, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  :confused2: Mh! Tuwe Makini
   
Loading...