Elections 2010 Mama Salma: wapinzani ni maadui

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
Huyu mama ana matatizo sana, hivi toka lini vyama vya upinzani vikawa adui wa chama tawala? Maneno haya ni ya kuvuruga amani na kuleta uchochezi baina ya wanachama na wafuasi wa vyama vya siasa ndio maana tunashuhudia mapigano kati ya wafuasi wa CCM na vyama vingine! "Mimi sio mama wa Nyumbani" sasa je, nani alikuwa ni mama wa nyumbani pale ikulu? Je, huku sio kumkejeli Mama Maria Nyerere!?

WAMA haiwezi kufanya kazi chini ya serikali ya chama kingine, je si kwamba WAMA haifuati sheria katika kazi zake? WAMA ni taasisi ya CCM na kwa maana hiyo imevunja sheria za kusajili NGOs nchini, waziri mwenye dhamana hii alifanyie kazi hili!

Je, CCM ikianguka ndio mwisho wa WAMA? Hivi hayo maendeleo ni ya wanawake wa CCM tu?

Source: Majira 21/09/2010
 
huyu mama aeisaliti taaluma yake ya ualimu wa chekechea akimfundisha mwanao hawezi kuelewa hata kidogo
 
nani alimwambia kua ukiwa mke`wa rais lazima awe anapwayuka ovyo majukwaani hata kama upeo ni mdogo!
 
Hii WAMA ni multipurpose NGO? Maana huyu mama hata mumewe (JK) akiahidi kuchangia mradi fulani akiwa ziarani, haka kamama na kenyewe kanaahidi kuwa WAMA na yenyewe inachangia kiasi fulani bila kujali kuwa huo mradi ni wa akina mama au la!
 
Huyu mama ana matatizo sana, hivi toka lini vyama vya upinzani vikawa adui wa chama tawala? Maneno haya ni ya kuvuruga amani na kuleta uchochezi baina ya wanachama na wafuasi wa vyama vya siasa ndio maana tunashuhudia mapigano kati ya wafuasi wa CCM na vyama vingine! "Mimi sio mama wa Nyumbani" sasa je, nani alikuwa ni mama wa nyumbani pale ikulu? Je, huku sio kumkejeli Mama Maria Nyerere!?

WAMA haiwezi kufanya kazi chini ya serikali ya chama kingine, je si kwamba WAMA haifuati sheria katika kazi zake? WAMA ni taasisi ya CCM na kwa maana hiyo imevunja sheria za kusajili NGOs nchini, waziri mwenye dhamana hii alifanyie kazi hili!

Je, CCM ikianguka ndio mwisho wa WAMA? Hivi hayo maendeleo ni ya wanawake wa CCM tu?

Source: Majira 21/09/2010

Jamani tusiumize vichwa vyetu kwa kuwajadili watu ambao IQ zao ni kama za panya. Huyo mama sehemu yake nzuri ni kuwa KUNGWI na muongoza sherehe za KICHEN PARTY, yeye anafaa kuangaika KUWAFUNDA watoto ambao wapo unyago (mwali) ili siku ya MKOLE wacheze vizuri na wapendeze ili wapate waume mapema, hiyo ndio fani yake. Huyo kashindwa kazi ya ualimu wa shule ya msingi (alikuwa anawauzia walimu wenzake vipindi ili yeye apige soga STAFF room pale MBUYUNI PRIMARY SCHOOL) ataweza u FIRST LADY? Yaani kani kwaza sana kwa KUMRUSHIA MIPASHO mama MARIA NYERERE yaani kweli Mama SALMA wewe wa kumdhihaki mama MARIA kweli madaraka yanalevya, kiasi unashindwa kuuona ukweli. Endelea tu na dhihaka zako lakini kumbuka IKULU mepanga kunasiku na wewe utakuwa unapita nje ya fencehukiwa ujui nini kinaendelea humo ndani.
 
Nadhani ingekuwa bora kwa yeyote anayemfahamu huyu mama angetupasha historia yake angalau kwa ufupi ili tujiridhishe ni mtu wa aina gani, hotuba zake mara nyingi huwa hazina muelekeo, Kinana alisema ametumwa na chama hivyo ni wazi wama ni ya sisiemu kwa hiyo wengine haiwahusu
 
kusema ukweli hii kauli ya wapinzani ni maadui siyo ngeni kutoka kwake au ndani ya familia hiyo... nasikitika sana kwanini hadi leo intelligency imeshindwa kumshauri mama kutulia kidogo maana naona kama anakua na jazba fulani
 
Huyu mama ana matatizo sana, hivi toka lini vyama vya upinzani vikawa adui wa chama tawala? Maneno haya ni ya kuvuruga amani na kuleta uchochezi baina ya wanachama na wafuasi wa vyama vya siasa ndio maana tunashuhudia mapigano kati ya wafuasi wa CCM na vyama vingine! "Mimi sio mama wa Nyumbani" sasa je, nani alikuwa ni mama wa nyumbani pale ikulu? Je, huku sio kumkejeli Mama Maria Nyerere!?

WAMA haiwezi kufanya kazi chini ya serikali ya chama kingine, je si kwamba WAMA haifuati sheria katika kazi zake? WAMA ni taasisi ya CCM na kwa maana hiyo imevunja sheria za kusajili NGOs nchini, waziri mwenye dhamana hii alifanyie kazi hili!

Je, CCM ikianguka ndio mwisho wa WAMA? Hivi hayo maendeleo ni ya wanawake wa CCM tu?

Source: Majira 21/09/2010

And what is she doing campaigning for CCM??? is it really acceptable...?
kwanini asishughulike na mambo yake na kampeni awaachie zinazowahusu,
 
Popopoooooo sana huyu mama, kwanza WAMA ni NGO ya wanawake wote nchini bila kuangalia itikadi za chama kama sheria inavyosema, sasa kuitumia kama njia ya kumkapenia hawala yake si haki na ni upopopo mkubwa sana.Huyu IQ yake ni ya chekechea kabisa ndio maana anfungua domo lake bila break.Shame in U and your husband (JK).
 
Guys, huyu mwanamke anaongea kulingana na uwezo wake ulipofikia. You can expect her to speak points. Let us be serious...the only sensible thing you can do this lady is to IGNORE her
 
Hivi tunategemea kusikia nini kutoka kwa kiongozi wa NGO inayodhaminiwa na Sophia Simba?
 
Anatumia gharama za WAMA, CCM ama Ikulu anapokuwa safarini?

Huko ccm yeye ni mpiga kampeni mkuu au yupo kwenye campaign team au ndo vile urais ni suala la kifamilia ndo amelibebea bango kivile?
maswali mengi hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom