Dk. Slaa APONGEZA UTEKELEZAJI CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dk. Slaa APONGEZA UTEKELEZAJI CCM

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kachanchabuseta, Sep 24, 2010.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Monday, 13 September 2010
  NA PETER KATULANDA, MWANZA


  [​IMG]

  Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA Dk. Willibrod Slaa, ameonyesha kuikubali CCM, baada ya kusifia baadhi ya mipango, ikiwemo ya ujenzi wa shule za msingi na sekondari.

  Alitoa sifa hizo mwishoni mwa wiki iliyopita mjini Mwanza, wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Mirongo, wilayani Nyamagana. Dk. Slaa pia alipongeza juhudi za serikali ya CCM katika utekelezaji wa miradi ya miundombinu ya barabara.

  Aliifagilia Dira ya Maendeleo ya Taifa, Mpango wa Kukuza Uchumi na Kupunguza Umasikini (MKUKUTA) na Mpango wa Kurasimisha Mali za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), iliyotekelezwa chini ya usimamizi wa serikali ya CCM. Kwa mujibu wa Dk. Slaa, kwa kiwango kikubwa miradi hiyo imefanikiwa.

  Katika mkutano huo, watu wengi walikwenda kuona helikopta, ambapo baada ya kuondoka walianza kutawanyika, huku mkutano wa Dk. Slaa ukiendelea. Hali kama hiyo pia ilijitokeza katika mkutano uliofanyika Septemba 10, mwaka huu, katika mikutano iliyofanya wilayani Kwimba.

  Baadhi ya waliohudhuria mkutano huo walisema ahadi zake nyingi hazitekelezeki. “Kama anafagilia kazi zilizofanywa ana maana anaikubali na kuifagilia CCM imefanya kazi nzuri,” alisema mwananchi aliyejitambulisha kwa jina la Mustafa.

  Alisema haoni jipya alilonalo Dk. Slaa, zaidi ya hotuba yake kujaa kashfa, badala ya kueleza sera za CHADEMA.


  CHANZO: Gazeti la Uhuru
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Source: Gazeti la Kasi Mpya
   
 3. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2010
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,865
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180

  Chanzo gazeti la Uhuru??? Una maana ni mwandishi wa Uhuru pekee ndiye selectively alisikia hayo maneno au??? Ndugu JEYKEYWAUKWELI, tunaomba basi ulete ushahidi, aidha kutokana na article iliyoandikwa na Jounalist Mahiri au ubandioke Audio clip ya hiyo hotuba. Tusiposikia chochote kutoka kwako kuhusu hayo usemayo, tutaelewa maana yake!!!
   
 4. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135

  kWANI Mhariri wa UHURU hajui kuandika?
   
 5. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  anza upya hamna kitu hapa. Yaani umeyasikia haya wewe pekee yako na unataka tushiri uzandiki. Si kweli kasome au kaandike upya
   
 6. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2010
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,053
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hapo mwandishi ndo kachemka kabisa.Yaani anaandika kwa uhakika,kwa alihoji wangapi na kumbiwa walikwenda kuona helkopta?Je kwa kwenye mikutano ya kikwete pia wanaenda kuona helcopta? Hebu mwandishi ingia humu uone watu walivyo na machungu sasa...Tumechoka!!!http://chahali.blogspot.com/2010/09/chaguo-la-mungu-mafanikio-ya-kikwete.html
   
 7. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  ngedere mkubwa
   
 8. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  sASA WEWE UNAJITAFUTIA BAN
   
 9. M

  Mkandara Verified User

  #9
  Sep 24, 2010
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  JEYKEYWAUKWELI,
  Mkuu wangu tafadhali, kama ni kampeni za CCM basi usiseme uongo hata siku moja. Unachojaribu kufanya hapa hakiwezi kabisa kuharibu janvi letu hasa unapoyaweka maneno mdomoni mwa watu. Sii Zitto wala Dr.Slaa wamesema lolote uloandika na hakika nawaomba wakuu wa JF kufuta mada hizi za uongo ambazo zinakuja haribu credibility ya kijiwe hiki..
   
 10. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #10
  Sep 24, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  kumbe uwa watu vijijini wanakwenda kushangaa helcopta ikiondoka na wao wanarawanyika.... tehehehe:becky:
   
 11. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #11
  Sep 24, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  ni kweli. aliyeandika habari hii ni kenge
   
 12. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #12
  Sep 24, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  nasikia huyu jamaa JEYKEYWAUKWELI ni makamba...!

  u can tell kwa anavyoongea pumba!
  MWL MKUU..! :confused2::confused2::confused2:
   
 13. e

  emalau JF-Expert Member

  #13
  Sep 24, 2010
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,178
  Likes Received: 273
  Trophy Points: 180
  Bw. JEYKEYWAUKWELI, this is the home of great thinkers. so bring thoroughly thought ideas, not rubbish
   
 14. Smiles

  Smiles JF-Expert Member

  #14
  Sep 24, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 1,231
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Somethin shud definately be done about this gazeti, coz style wanayotumia ku-report is ethically not acceptable,
  Am not of any political side but I doubt a leader like Slaa would say such,
  Kuna ukweli unapotoshwa hapa
   
Loading...