Dr Rafael Chegeni ni nani haswa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Rafael Chegeni ni nani haswa?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by urasa, Sep 23, 2010.

 1. u

  urasa JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  anajatambulisha kwa title ya dr,hivi ni dr wa nini?mbona anachozungumza ni tofauti na utambulisho wake?twaomba data zake kwa wale wanamfahamu maana ile siku anaongea na wana habari alisahau hat kufunga kifungocha shati lake vizuri
   
 2. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  CCM ina madokita wengi tu. Dr JK, Dr Makamba, etc
   
 3. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2010
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Dk Maji Marefu, Dk Mti Mkavu, Dk Mahanga.......
   
 4. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Heshima kwako Urasa,

  Dr Rafael Chegeni ni Mhasibu kwa taaluma.

  [1] Advance Diploma in Accountancy

  [2] Certified Public Accountant - NBAA

  [3] Post Graduate Diploma Finance Management - Laiden Holland

  [4] MSc Finance Management -
  [FONT=&quot]StrathclydeUniversity Uk

  [5] PhD [Business Administration -
  [/FONT]
  [FONT=&quot]StrathclydeUniversity Uk.

  [1] Wizara ya fedha - Accountant
  [2] Cartas Mwanza - Chief Accountant.
  [3] Tanganyika Gold Mine Ltd - Finance Manager
  [4] Ashant Gold MineLtd - Finance & Administration Manager.

  Mkuu nadhani nitakuwa nimekusaidia kidogo.  [/FONT]
   
 5. w

  wasp JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2010
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 206
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani ni mmoja wa wale PhD holders fake. Argument za kwenye lunika akitetea CCM ziliniacha hoi. Lakini kahidiwa uDC au uRC katika moja ya mikoa mipya.
   
 6. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135


  this is a big lie!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  • Mtu professionally ni mhasibu, then unamweka awe mwanasiasa, na unategemea awaadress waandishi wa habari na wananchi kwa ufanisi, wapi na wapi, lazima atakosa mashiko!
  • Lakini ndo hivyo, maji yakiwa shingoni mtu anashikilia hadi mmea wa bangi!
   
 8. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #8
  Sep 23, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280

  Heshima kwako Wasp,

  Mkuu hata kama utakuwa umesoma mpaka ukamaliza vyuo vyote ikiwa utajichanganya katika chama/kikundi kisicho na maadili lazima usomi wako utatiliwa shaka na watu wenye kufikiri.Dr Chegeni anaangukia kwenye kundi kubwa la wasomi ndani ya CCM walioshindwa kutumia usomi wao kuisaidia jamii kuondokana na matatizo.
   
 9. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280

  Heshima kwako Nyambala,

  Nakubali kukosolewa kama kuna sehemu umegundua nimekosea tafadhali nisahihishe hatoshi kusema nimekosea bila kuonyesha ukweli unaoujua.
   
 10. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #10
  Sep 23, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  qualification zote hizi lakini ameshindwa kuzitumia kama mmoja wa wabunge wa knda ya ziwa inayoongoza kwa umaskini wa kutupa huku ikiwa na utajiri mkubwa na kuchangia kiwango kikubwa katika pato lataifa. He is useless, ndio maana akabwagwa kura za maoni maan wasukuma na wanyamwezi hawakuona mchango wake. Hata katika bunge la 2005 -2010 hakuwa na impact yoyote inyoweza kutudhihirishia kuwa ni msomi mwenye qulaification ulizotaja. Anaweza kuwa mmoja wa wateja wa msemakweli
   
 11. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #11
  Sep 23, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280

  Mkuu Nyambala heshima mbele,

  Nimeitoa hii kwenye web site ya Bunge letu tukufu.


  GENERAL Salutation Honourable Member picture
  [​IMG] First Name: Dr. Raphael Middle Name: Masunga Last Name: Chegeni Member Type: Constituency Member Constituent: Busega Political Party: CHAMA CHA MAPINDUZI Office Location: P.O. Box 10, Magu Office Phone: +255 754 520953 Ext.:
  Office Fax: +255 28 2561294 Office E-mail: rchegeni@parliament.go.tz Member Status: Current Member Start Date: 28 December 2005 End Date: 30 August 2010 Date of Birth 25 May 1964 EDUCATIONS School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level University of Strathclyde, Glasgow UK MSc. In Finance 1996 1997 MASTERS DEGREE University of Strathclyde - UK PhD in Business Administration 1999 2002 PHD Laiden Holland Postgraduate Studies in Financial Managements 1995 1995 POSTGRADUATE National Board of Accountants and Auditors Advanced Diploma in Accountancy 1986 1989 ADV DIPLOMA Nyegezi Seminary, Mwanza A - Level Secondary Education 1983 1985 HIGH SCHOOL Nyegezi Seminary, Mwanza O- Level Secondary Education 1979 1982 SECONDARY Mkula Primary School, Magu, Mwanza Primary Education 1972 1978 PRIMARY CERTIFICATIONS Certification Name or Type Certification No. Issued Expires No items on list  EMPLOYMENT HISTORY Company Name Position From Date To Date Ashanti Goldfields Co Ltd Finance & Admin. Manager 1999 2000 Tanganyika Gold Ltd Finance Manager 1997 1998 Caritas Mwanza Chief Accountant 1991 1995 Ministry of Finance/Works Accountant 1989 1990 POLITICAL EXPERIENCE Ministry/Political Party/Location Position From To Parliamentary Global for Action -PGA Member 2004 Todate Parliamentary Network of the World Bank East Africa Chapter Rep. 2003 Todate PNND Global Board Member 2002 Todate Chama Cha Mapinduzi - CCM Member of Regional Executive Council 2001 Todate The Great Lakes Reg. Parliamentary Forum Secretary General � Amani Forum 2001 2005 Chama Cha Mapinduzi - CCM Member of Parliament of Tanzania 2000 Todate PUBLICATIONS
   
 12. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #12
  Sep 23, 2010
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Dr Sheikh Yahya
   
 13. Kiungani

  Kiungani JF-Expert Member

  #13
  Sep 24, 2010
  Joined: Feb 2, 2007
  Messages: 274
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35


  Chegeni ana MSc, na PhD za akina Nchimbi, na akina Masaburo, Kamala, Nangale, Warioba wa Mzumbe na wengineo.

  Raphael Masunga Chegeni

  Ukikutana naye tena muulize Thesis yake ya MSc, na dissertation title ya PhD yake, vimekuwa published wapi, na wapi unaweza kupata nakala yake.

  Better yet, muulize nani alikuwa PhD supervisor wake.

  Niliwahi kumuuliza haya 2004, akanikimbia na hadi leo hatuwasiliani.
   
 14. M

  Mbalinga JF-Expert Member

  #14
  Sep 24, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 1,381
  Likes Received: 407
  Trophy Points: 180
  Ngoja niendeleze kidogo mkuu.

  1. Alipora na kuiba kule Ashanti Gold na fedha alizopata kwa wizi wa dhahabu zilimwezesha kujenga hoteli yake inayojulikana kama Isamilo Lodge.

  2. Ni huyu huyu Chegeni ambaye aldhulumu nyumba ya kanisa ambayo anikalia hata sasa. Alikuwa anafanya katika shirika la misaada la kanisa katoliki na alifanya ufisadi mkubwa.

  3. Kiwanja alichojenga hoteli yake ya Isamilo alikipata kwa njia ya udanganyifu na ni mali ya Kamanga Ferry, mpaka sasa Kamanga Ferry ndio wanaolipia kiwancja hicho.

  4. Huyu jamaa kule Mwanza anamiliki nyumba zisipungua tatu anazopangisha watu. Ni fisadi mzoefu. Hata hapa Dar ana nyumba kadhaa anazomilki.

  5. Inasemekana kuwa hata elimu aliyoipata aliipata kwa ghiliba, kwanza alitumia cheti cha sekondari cha kaka yake ambaye sasa ni marehemu.

  6. Wadungu zangu wa sisiemu kule Busega waliamua kumbwaga kutokana na sababu hizo hapo juu. Alipobwaga akususa ccm, akatishia kwenda chadema. JK alipofika Mwanza akamtafuta na wakawa na mazungumzo ya faragha. Mara tukasikia yuko kwenye kamati ya kampeni ya ccm. Jambo ambalo ninafikri ni kuwa ameahidiwa cheo mara JK aingiapo madarakani.

  KWA KUFUNGA TU NI KUWA JAMAA HAFAI, SI MWAMINIFU HATA KWENYE NDOA YAKE, KUNA MENGI WANA BUSANDA TUNAFAHAMU, KWANI PAMOJA NA KUJENGA VISIMA VYA MAJI BADO TUMEMKATAA.
   
 15. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #15
  Sep 24, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Education
  Washington International University – USA PhD (Business Administration) 1999-2003 PHD
  University of Strathclyde – UK MSc. In Finance 1996-1997 MASTERS DEGREE
  Laiden –Holland Post Graduate Studies In Fin. Management 1995-1995 POSTGRADUATE
  UHDSM/National Board of Accountants & Auditors Professional Accountancy 1986-1990 ADV DIPLOMA
  Nyegezi Seminary, Mwanza A – Level Secondary Education 1983-1985 HIGH SCHOOL
  Nyegezi Seminary, Mwanza O- Level Secondary Education 1979-1982 SECONDARY
  Mkula Primary School, Magu Primary Education 1972-1978 PRIMARY


  Hapa kuna utata na elimu yake
  Huyu ndugu inaelekea hana ya PhD ya University of Strathclyde, uki-google inaonekana ni Washington International University ambacho ni mojawapo ya vyuo fake
   
 16. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #16
  Sep 24, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  na bado, tutajua mengi mwaka huu, kuhusu hawa mafisadi.
   
Loading...