Chadema: Kunapofuka Moshi Kuna Moto!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema: Kunapofuka Moshi Kuna Moto!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by minda, Sep 20, 2010.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. minda

  minda JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  wakuu,
  • je ni kweli uvumi kwamba fedha za kugharamikia kampeni kwa uchaguzi wa mwaka huu ni za kugharamikia kampeni za urais tu? (moshi wa kwanza).
  • kwamba wagombea/viongozi wengi wana malalamiko ambayo hayasikilizwi na uongozi?(moshi wa pili).
  • kwamba kutokana na kupuuzwa huko kwa wagombea/viongozi; hii imepelekea wengine kukata tamaa, na kukisaliti chama? (moshi wa tatu).
  mfano wa watu hao ni kama akina;
  1. nakaaya ( kukata tamaa),
  2. akina seme wa mbeya ( usaliti),
  3. akina nkambaku elisha (usaliti),
  4. yule mwanafunzi wa UDOM aliyegombea musoma na kuingia mtini ( kukata tamaa),
  5. akina sugu( kukata tamaa).
  my take:
  hii wakuu imekaaje? nini kifanyike kurekebisha hali hii?
   
 2. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  :shocked:
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
   
 5. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Kama umetoka Uswazi mawazo yako yatakuwa yamegandishwa na CCM . Huko Uswazi kusiko na huduma muhimu na watoto mnazaa kiutitiri na shule hamuwapeleki sababu hamna uwezo wa kulipa. Mwisho mmebaki na Mateja kibao, magonjwa lukuki na very low life expectancy. Amka huko uliko uje uone mwanga jinsi Mungu anavyopigania taifa lake. Nakaaya is a cheap.?
   
 6. redSilverDog

  redSilverDog JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2010
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 486
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Jibu swali na sio unaanza kumkashifu mwenzako. Jibu swali kwa hoja, ili sote tupate kuelimika.
   
 7. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2010
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135

  hawa ndio wanaotaka watu wa uswazi waamini na wawape nchi watawale?

  kwa matusi hayo hata kwa ambae unahangaika kutafuta kura yake, ni kweli mtaweeza ?
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
   
 9. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kuwa objective utawaelezaje akina Mpendazoe na wengineo waliotoka CCM kuja Chadema walikotoka Moshi ulikuwa wafuka?
  Mgawanyo wa mafungu ndani ya CHADEMA siko deep sana ila kwa level ya ubunge naona wengi hutegemea mafungu binafsi na support ndogo ya CHAMA
   
 10. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #10
  Sep 20, 2010
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Sugu amekata tamaa??
  Hakuna aliekata tamaa katika list yako bali wote wamerubuniwa kwa pesa so it is plain and simple TAMAA na si Kukata tamaa! Get it? End of story... NEXT :becky:
   
 11. redSilverDog

  redSilverDog JF-Expert Member

  #11
  Sep 20, 2010
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 486
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwahio wote kwenye listi wamejitoa kwenye ugombea au?
   
 12. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #12
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,908
  Likes Received: 12,062
  Trophy Points: 280
  Tuma ujumbe huu kwa watu 50 thanks

  [/QUOTE]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #13
  Sep 20, 2010
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Sipendi ligi za watoto. Wapo waliojitoa na kuhama chama ktk list hii Minda akadai wamekata tamaa. Wapo kama Sugu ambao wanachanja mbuga na sijamsikia akilalama ndo maana nikahoji. Mtu akihama chama sasa hivi si kukata tamaa bali ni tamaa! Sijui nimekusaidia kuelewa?
  This is a none issue na kama hujanielewa basi naona hutaki au huwezi.
   
 14. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #14
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,908
  Likes Received: 12,062
  Trophy Points: 280
  Kama listi hii ni kufuka moshi tukikuletea listi ya waliohama CCM na kuingia upinzani si utasema CCM kunateketea na si kunawaka moto.
   
 15. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #15
  Sep 20, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Ni njaa kali
   
 16. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #16
  Sep 20, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Minda, sounds so gay-ish!
   
 17. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #17
  Sep 20, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kama kweli ko fair weka list ya waliohama chadema na waliohama ccm ndipo tuanze kujadili hii post.hapo ndio tutajua niwapi panafuka moshi na ni wapi pamebaki jivu ili penye moshi wachukue tahadhari waweze kuchukua nchi.
   
 18. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #18
  Sep 20, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Watu wameshtuka na post hii.... ni sawa na kutupa upupu kwa mdomo..:mad2:
   
 19. Pengo

  Pengo JF-Expert Member

  #19
  Sep 20, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  [/QUOTE]
  Usisahau na yule aliyeanguka bafuni wakati yupo na mke wa mwenzie!Laana hizi!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. p

  pierre JF-Expert Member

  #20
  Sep 20, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Freedom is expensive.Hawa ni wale walifikiri kuwa kazi ya ukombozi ni lele mama.See what they did to Mandela,walimfunga miaka 27 lakini hakukata tamaa.Jifunze kuhusu Baba wa Taifa Mwl.Nyerere je angekuwa ni mtu wa kukata tamaa kiivyo kama Nakaaya na hiyo timu yake tungepata uhuru kweli????????.DON'T GIVE UP PLEEEEEEEEESE.The play ground is not smooth.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...