Amri kuu za uchaguzi Tanzania 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Amri kuu za uchaguzi Tanzania 2010

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MartinDavid, Sep 24, 2010.

 1. MartinDavid

  MartinDavid JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2010
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 876
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Amri kuu za uchaguzi Tanzania 2010
  1. Dr. Slaa ndiye chaguo lako usichague Rais mwingine.
  2. Usimpe bure Kikwete kura yako.
  3. Shika Jina la Dr Slaa hata baada 31.10.2010.
  4. Wachague rais,wabunge,ma diwani wa CHADEMA upate miaka mingi na heri Tanzania.
  5. Waogope ccm kama ukoma.
  6. Usiuze kura.
  7. Usiibiwe kura.
  8. Usisikilize uongo wa CCM.
  9. Usitamani pesa za CCM.
  10. Usimtamani Kikwete asiye Rais wako.
  Tukizishika hizi nchi yetu itapata Maendeleo,

  Kumbukeni Kupiga Kura Ni Haki Yetu Ya Msingi!!!
   
 2. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,847
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  chadema vema
   
 3. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,631
  Likes Received: 904
  Trophy Points: 280
  YEEEES DK SLAA.

  Hizo Amri zimekaa vizuri sana.

  Pia ile sala imekaa vizuri.

  Sasa tuunganishe Nguvu, Tuzisambaze kwa simu. Hasa watu wa vijijini.

  Pia tuwaambie Sera Kali za CHADEMA:

  -Elimu Bureeeee

  - Afya Bureeeeee

  -Vifaaa vya ujenzi kushushwa bei mfano Cement, mabati, n.k

  - Maisha yatakuwa nafuu. Kwa mfano bidhaa muhimu kwa mwananchi wa kawaida masikini wa kule kijijini zitapunguzwa kodi. Kwa maana hiyo zitashuka Bei. Mf Sukari, Mafuta ya kupikia, mkate, soda and what have you.

  Jazia na mengine.
   
Loading...