Ukimwekea Mtego Mama wa Kambo, Mtego Hurudi na Maiti ya Mama Yako! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukimwekea Mtego Mama wa Kambo, Mtego Hurudi na Maiti ya Mama Yako!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Omutwale, Sep 24, 2010.

 1. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2010
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  [FONT=&quot]Nimetooa methali hii kutoka lugha ya Kihaya. Wao husema: “Olutega Mu-Kasho lwija na Nyoko” [/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Na nimeikumbuka methali hii baada ya kutathmini nini kimetokea mpaka Babu, Shangazi, Wajomba na Bibi zangu kijijini wanaielewa vema hali ya ufisadi, siasa za maji taka, uwezo, udhaifu na mapungufu ya wagombea. Na kubwa zaidi wana-mwanga wa kutosha kung’amua nini na kipi ahadi ya kweli na kama mtoaji anaaminika kuweza kuitekeleza. Baada ya kutathmini nimegundua suala la kufunga vyuo ili kukwepesha wanavyuo kushiriki kikamilifu katika kampeni na kuchagua viongozi katika maeneo walijiandikisha badala ya kuwa hasara limeguak mtaji lulu. Hawa wanafunzi walioshindwa kubaki mijini wanastaili pongezi baada ya October 31, 2010. Kiukweli binafsi nawapa heko maana utafiti wangu unaonyesha mchango wao kupanua mawazo huko walikokwenda umefanikiwa. Hapa ndiko Serikali ilimwekea mtego wa kifo mama wa kambo na sasa umerudi na maiti ya Mama aliyemzaa! Tuwashauri sasa wafanyeje![/FONT]
   
 2. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2010
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  imetulia sana
   
 3. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  So philosophical...wanasema ukiufunga mlango mmoja mingine mingi inafunguka...imekula kwao!
   
 4. P

  PUNJE JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2010
  Joined: Jul 30, 2008
  Messages: 334
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Inatia faraja
   
 5. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2010
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Na tuone mwisho tutaweza kulinda haki zetu?! Kwa hakika "NGOME" wanapaswa kujidhatiti hapo TU! Huku kwingine mabadiliko yamekwishaonekena. Ni jukumu letu soote kuhakikisha tunapiga kura na kulinda tusinyanganywe tonge kooni kwani sasa tayari linaelekea mdomoni na mshindani yuko hoi taabani amegalagala chini.
   
 6. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Mkuu Omutwale,

  Hii ni sawa na ile Film ya Troy aliyocheza Brad Pitt.

  CCM walichokifanya ni Kuchukua Mzinga wa nyuki na nyuki zake na kuupeleka Makao Makuu.

  Walichokifanya CCM ni kile TROY walifanya miaka ileee!!!!!! Kweli Historia hujirudia.

  Nina imani kubwa sana kuwa Wanafunzi wa Universities wana hasira sana na hii serikali.

  Asante kwa maelezo yaliyotulia na mfano wako ni Wa Kitanzania zaidi ya hao TROY.
   
 7. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  nimeipenda hii,
   
 8. A

  Audax JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2010
  Joined: Mar 4, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  well done
   
Loading...