Elections 2010 Mkutano wa kampeini jimbo la Bukoba mjini Chadema na picha

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,903
1,053
Wakuu,
Leo chama cha Chadema walikuwa na mkutano wao wa kampeini katika kata ya BILELE katika eneo la nje ya Soko kuu ambapo watu walijaa sana na kulazimika kuifunga barabara ya Jamhuri kwa masaa kadhaa.

Katika Mkutano huu Mgombea ubunge kwa tiketi ya chama hicho jimbo la Nkenge alikuwepo kuwaondoa wasi wasi wana Chadema kwamba amejiondoa. Amesema yeye bado ni mgombea wa jimbo hilo na ana hakika ya kwenda mujengo Dodoma.

Katika mkutano huu pia Chadema imemnadi mgombea udiwani kata hiyo ya Bilele kwa tiketi ya CUF Mr.Mabruk Ibrahim Idd kama mtu anayefaa kuwa mwakilishi. Lwakatare aliomba wapiga kura wa kata hilo wampe kura zao zote maana ndiye mgombea pekee anayefaa.

IMGP0561.jpg
Wagombea wa Chadema, kutoka kulia, Mi Ikengya mgombea udiwani kata ya Kashai, Phocas Rwegasira mgombea wa Nkenge na Lwakatare mgombea wa Bukoba mjini.

IMGP0589.jpg
Inaelekea wanamwambia Lwakatare "tutakupa kura zetu zote"

IMGP0626.jpg
Lwakatare akihutubia

IMGP0659.jpg IMGP0656.jpg
Sehemu ya umati wa watu waliokuwepo kuwasikiliza wagombea.

IMGP0662.jpg
Phocas Rwegasira mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema jimbo la Nkenge akisalimia wananchi.
 
MF, MBONA unanichanganya! Huyu Phocas Rwegasira si ndiye walimtangaza juzi tu kwamba amejiengua kugombea kwa sababu za kutopata fedha! AU NIMEOTA NINI, ngoja nikae kimya!

Kumbe inawezekana!!!
 
Oh WanaJF Mtanisamehe, naomba posting yangu kabla hii ichaneni! inaonekana mlishajadili urejeo wa huyu Bwana, mimi nililala sikuona posting zinazomhusu, nimepata faraja sana! Viva Phocas Rwegasira!!!!
 
MF, MBONA unanichanganya! Huyu Phocas Rwegasira si ndiye walimtangaza juzi tu kwamba amejiengua kugombea kwa sababu za kutopata fedha! AU NIMEOTA NINI, ngoja nikae kimya!

Kumbe inawezekana!!!
Usichanganyikiwe. Pitia thread zote kwenye jukwaa hili utakuta kitu tofauti mkuu. Kama unavyoona leo alikuwa anamuombea kura mgombea wa Bukoba mjini kura.
Naona watu walikumbuka ile issue ya Msabaha. hamna imekula kwao. hahahahahahahahahaha
 
Mnajidanya wafuasi wa CHADEMA eti mnasema SLAA atashinda uchaguzi 2010 hizo ni ndoto za alinacha.
Jakaya Mrisho Kikwete ndiye atakayeshinda tena atashinda kwa kishindo tarehe 31 Oktoba 2010.

Mpeni kura za ndio JK (yes for JK)
 
kama atashinda kwa kishindo kulikoni kuhonga na kutishia watu?
endelea kuficha kichwa chako mchangani utajikuta umebaki peke yako
 
Mnajidanya wafuasi wa CHADEMA eti mnasema SLAA atashinda uchaguzi 2010 hizo ni ndoto za alinacha.
Jakaya Mrisho Kikwete ndiye atakayeshinda tena atashinda kwa kishindo tarehe 31 Oktoba 2010.

Mpeni kura za ndio JK (yes for JK)

Mpeni kura za ndio JK wewe na familia yako na ukoo wenu
 
JK kushinda atashinda ila uchaguzi wa safari hii utakuwa fundisho kubwa kwa JK na CCM. Watu wanataka maendeleo na sio usanii
 
Mnajidanya wafuasi wa CHADEMA eti mnasema SLAA atashinda uchaguzi 2010 hizo ni ndoto za alinacha.
Jakaya Mrisho Kikwete ndiye atakayeshinda tena atashinda kwa kishindo tarehe 31 Oktoba 2010.

Kama Jakaya atashinda atakuwa ameiba kura!!! Ishara za kushindwa ziko wazi ndio maana ameanza kujigaragaza mavumbini wakati wa kuomba kura!!
 
Bukoba CCM huwa wanashinda kwa kununua shahada ili watu wasipige kura, this time wakidhibiti hilo ushindi given jamaa ni influential sana BK
 
Sasa wamekuja na ujanja wa kuwambia wanawake wawaibie waume wao shahada kama mme ni Chadema na mama ni sisi M hahahahahahahaha
 
Mnajidanya wafuasi wa CHADEMA eti mnasema SLAA atashinda uchaguzi 2010 hizo ni ndoto za alinacha.
Jakaya Mrisho Kikwete ndiye atakayeshinda tena atashinda kwa kishindo tarehe 31 Oktoba 2010.

Mpeni kura za ndio JK (yes for JK)

Hatumpi kura huyo kilaza. Mpe wewe kibonde mwenzio
 
Mnajidanya wafuasi wa CHADEMA eti mnasema SLAA atashinda uchaguzi 2010 hizo ni ndoto za alinacha.
Jakaya Mrisho Kikwete ndiye atakayeshinda tena atashinda kwa kishindo tarehe 31 Oktoba 2010.

Mpeni kura za ndio JK (yes for JK)

Njaa inakusumbua huna lolote unajikomba unadhani utapata kitu, imekula kwenu mwaka huu nyie wasaliti mnaouza uhuru wenu mkidhani mtapata nafasi za dezo. Kwanini hamjiamini nyie kizazi cha nyoka?
TANZANIA BILA JK NA THITHIEMU INWEZEKANA......
 
Back
Top Bottom