LIVE -Mgombea Mwenza CCM yupo Bukoba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

LIVE -Mgombea Mwenza CCM yupo Bukoba

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Rutunga M, Sep 24, 2010.

 1. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2010
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Anasema,usalama,maji,elimu itakuwa bomba

  anasema bila ccm maendeleo hakuna,

  anasema

  yupo na mke wake

  anasema wanafdunzi watapata vitabu vya kutosha
   
 2. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2010
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Uwanja wa ndege bukoba utakuwa wa kisasa

  kauli mbiu ya kilimo kwanza,itatekelezwa vizuri

  pembejeo zitakuiwa za kumwaga

  anasema CUF,CHADEMA hawawezi kufanya hayo ni CCM tu
   
 3. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Muulize mbona hawajatekeleza ahadi zao nyingi za 2005, mfano kuunganisha makao makuu ya mikoa yote kwa lami (actually bado hawajaanza kabisa hata kutekeleza Iringa-Dodoma, Dodoma-Arusha-Manyara, Mtwara-Dsm, Mtwara-Songea, Mbeya-Rukwa, Rukwa-Kigoma, Kigoma-Tabora, Tabora-Singida, Tabora-Shinyanga, n.k) je hizi ahadi wanazoahidi watatekeleza vipi? Au ni changa la macho?
   
 4. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2010
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Anasema kusafiri kwa tax kutoka dar hadi bukoba litakuwa jambo la kawaida,

  anasema umeme vijijini kama kawaida iwapo ccm itachaguliwa
   
 5. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2010
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Amemaliza hotuba yake

  lakini hakutoa fursa ya kuulizwa maswaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kwa yale aliyosema

  haya ndiyo matatizo ya wagombea wengi tanzania

  kwa nini hawakubali kuulizwa masawali
   
 6. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2010
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  picha mkuu ili tujue kinachoendelea
   
Loading...