Elections 2010 Je, wamjua msaidizi wa karibu wa JK kwenye masuala ya maendeleo ya jamii?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,348
6,472
Mama Salma amesema anampigia debe mumewe kwa sababu ndiye msaidizi wake wa karibu kwenye masuala ya maendeleo ya jamii nchini kwa sababu anamiliki WAMA Foundation(Majira 23/09/2010). Hivi HakiElimu sio msaidizi wa JK kwenye masuala ya elimu? TGNP kwenye jinsia? LHRC kwenye haki za binadamu? Je, hawa nao wampigie kampeni JK? Au wabaki bila kuegemea upande wowote na kumtaka yoyote atakayeimarisha hayo wanayoshughulikia?

Hii inaonesha kuwa Urais kwa JK ni suala la kifamilia! Je, wanawake wote Tanzania ni UWT? WAMA Foundation ni UWT? Hivi baada ya miaka mitano kama JK atashinda, atafanyaje? Je, WAMA Foundation itakufa? Je, JK akishindwa mwaka huu kama polls zinavyo onyesha, WAMA Foundation itakufa? Je, kwa sasa WAMA Foundation inafuata sheria? Kilefu cha WAMA ni Wanafamilia na Marafiki Foundation na sio Wanawake na Maendeleo!!!!!!!
 
kwa mtazamo wangu wama ni chama ha familia 2 cos hakina msaada wa maendeleo ya jamii zaidi ya kumpigia kampeni jk
 
Chagueni hivi leo mtakayemtumikia. Kikwete na nyumba yake (familia) wataitumikia CCM.
 
Nyerere alisema inchi inaongozwa kwa mujibu wa katiba na sio kwa ushauri wa MKE....!

manake ni hatari kushauriwa na mke, HASA AKIWA KAMA ALIVYOZALIWA.....LAZIMA UTASEMA YES KWA KILA USHAURI..!
 
Haya mambo baba wa Taifa alikwishawahi kuyakemea na leo yanasemwa na wao wenyewe hadharani tena bila soni.
 
huyu hapa; ni mama salma kikwete!!!
salma+kikwete.jpg

bi+salma+kikwete.jpg
 
Mama Salma na mumewe wanaendana sana kwa mambo mengi..na ndo maana walichaguana! only if you know what i am saying..
 
Mama Salma amesema anampigia debe mumewe kwa sababu ndiye msaidizi wake wa karibu kwenye masuala ya maendeleo ya jamii nchini kwa sababu anamiliki WAMA Foundation(Majira 23/09/2010). Hivi HakiElimu sio msaidizi wa JK kwenye masuala ya elimu? TGNP kwenye jinsia? LHRC kwenye haki za binadamu? Je, hawa nao wampigie kampeni JK? Au wabaki bila kuegemea upande wowote na kumtaka yoyote atakayeimarisha hayo wanayoshughulikia?

Hii inaonesha kuwa Urais kwa JK ni suala la kifamilia! Je, wanawake wote Tanzania ni UWT? WAMA Foundation ni UWT? Hivi baada ya miaka mitano kama JK atashinda, atafanyaje? Je, WAMA Foundation itakufa? Je, JK akishindwa mwaka huu kama polls zinavyo onyesha, WAMA Foundation itakufa? Je, kwa sasa WAMA Foundation inafuata sheria? Kilefu cha WAMA ni Wanafamilia na Marafiki Foundation na sio Wanawake na Maendeleo!!!!!!!

Huyu mama mi naona tumsamehe tu, anayepaswa kubeba madhambi yake ni mumewe. Mama ni mwalimu wa shule za msingi, basically inabidi wamtengenezee ya kuongea kwenye kadamnasi especially yahusianayo na siasa. My worries ni kuwa kuna wakati anapata mdadi na kwenda nje ya kile alichoandikiwa. Asamehewe tu.

Vita tunayo na JK, huyu ndo inabidi aende kwani akiondeka yeye, na Mama Salma taenda...:glasses-nerdy:
 
salma kikwete is a beautiful woman... zaidi ya hapo sioni kingine cha kubadilisha hali ya mamilioni ya maskini wa tanzania
 
JK , Mkewe na watoto wao, mi natilia shaka umakini wao juu ya mambo makini ya kitaifa, kwangu swala lakumnyima kura JK ni swala la kukataa fikra rojorojo na kukumbatia fikra makini kwa maendeleo ya Taifa letu.
 
Ni muhimu wake wa viongozi wetu ambao hawana elimu na ufahamu wa kutosha wawe wanapelekwa shule na wakiwa wagumu kuelewa (kama itakavyodhihirishwa na mitihani ya theory na practical) wasipewe nafasi ya kuongea kwenye public. Vinginevyo wataongea utumbo utakaoaibisha taasisi ya urais. Mbona mama Mkapa hakuwa na time na siasa (alikuwa busy kutuibia tu). Huyu "fast lady" wa sasa matata kweli aiseee
 
Back
Top Bottom