Poll Uhuru: Hali ya Kisiasa Tanzania

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
poll.png
Hali ya Kisiasa Tanzania Ni Ubabaishaji 60 29.4%
Inahitaji uongozi Mpya 54 26.5%
Katiba Irekebishwe 32 15.7%
Inaridhisha 26 12.7%
Inahitaji Kuboreshwa 23 11.3%
Hairidhishi kabisa 9 4.4%

Number of Voters : 204 First Vote : Wednesday, 10 February 2010 13:38 Last Vote : Thursday, 23 September 2010 14:15
 
kwa hiyo hata UHURU Mkuu kaanguka
Ni dhahiri kama akishinda itakuwa kwa kura za kuiba na wasio na elimu vijijini kwani mjini na kwa wasomi kala kapa
 
poll.png
Hali ya Kisiasa Tanzania Ni Ubabaishaji 60 29.4%
Inahitaji uongozi Mpya 54 26.5%
Katiba Irekebishwe 32 15.7%
Inaridhisha 26 12.7%
Inahitaji Kuboreshwa 23 11.3%
Hairidhishi kabisa 9 4.4%

Number of Voters : 204 First Vote : Wednesday, 10 February 2010 13:38 Last Vote : Thursday, 23 September 2010 14:15

Tupe tafsiri ya matokeo hayo. Kwa hiyo JK na CCM yake wasirudi madarakani?
 
Wako wapi REDET, Synovate, BBC, Rai n.k. waliokuwa wanatoa update kila kukicha mwaka 2005? Leteni data sasa hivi mbona mmeingia mitini?
 
poll.png
Hali ya Kisiasa Tanzania Ni Ubabaishaji 60 29.4%
Inahitaji uongozi Mpya 54 26.5%
Katiba Irekebishwe 32 15.7%
Inaridhisha 26 12.7%
Inahitaji Kuboreshwa 23 11.3%
Hairidhishi kabisa 9 4.4%

Number of Voters : 204 First Vote : Wednesday, 10 February 2010 13:38 Last Vote : Thursday, 23 September 2010 14:15

Isije ikawa ni yaleyale ya Daily News na Mkumbwa.
 
Nchi hii mpaka uongozi umechakachuliwa so we need to fix that situation. na solution ni CHADEMA.
 
poll.png
Hali ya Kisiasa Tanzania Ni Ubabaishaji 60 29.4%
Inahitaji uongozi Mpya 54 26.5%
Katiba Irekebishwe 32 15.7%
Inaridhisha 26 12.7%
Inahitaji Kuboreshwa 23 11.3%
Hairidhishi kabisa 9 4.4%

Number of Voters : 204 First Vote : Wednesday, 10 February 2010 13:38 Last Vote : Thursday, 23 September 2010 14:15
tupatie link ya hiyo poll ndugu la sivyo wewe ni spinner kama augusteerz/ SEPITEMBA wenzako
 
poll.png
Hali ya Kisiasa Tanzania Ni Ubabaishaji 60 29.4%
Inahitaji uongozi Mpya 54 26.5%
Katiba Irekebishwe 32 15.7%
Inaridhisha 26 12.7%
Inahitaji Kuboreshwa 23 11.3%
Hairidhishi kabisa 9 4.4%

Number of Voters : 204 First Vote : Wednesday, 10 February 2010 13:38 Last Vote : Thursday, 23 September 2010 14:15

Mkuu, kuendesha poll si kama kuhesabu ndizi.
Kuna mahesabu mengi sana nyuma yake.
As an observer wa "Poll" yako ningekushauri ya fuatayo
1 Tafuta sample space inayo lingana na the real space au actual space ya poll yako
2 Real(au actual) space yako ni Tanzania nzima, ukifanya poll ya nchi nzima huo ni uchaguzi sasa unaofanyika
3 Sample space yako inabidi iwe representative ya actual real space
4 Character ya sample space vile vile laima i-reflect the Real space yako

Kwa hiyo sample space ya 204 ni way unrepresentaive ya the real space.
Na je hao 204 umewakuta wapi kurepresent waTanzania wote milioni 40?
Poll representation yako ingekuwa na maana kama ingefanywa kwa watumiaji wa dawa aina ya mswaki eneo sema la Ubungo tu na si DSM nzima.
 
poll.png
Hali ya Kisiasa Tanzania Ni Ubabaishaji 60 29.4%
Inahitaji uongozi Mpya 54 26.5%
Katiba Irekebishwe 32 15.7%
Inaridhisha 26 12.7%
Inahitaji Kuboreshwa 23 11.3%
Hairidhishi kabisa 9 4.4%

Number of Voters : 204 First Vote : Wednesday, 10 February 2010 13:38 Last Vote : Thursday, 23 September 2010 14:15

Nimeshindwa kuamini kama kweli gazeti la uhuru limetoa waziwazi maoni hayo, maana hiyo ndio vuvuzela ya ccm.
 
poll.png
Hali ya Kisiasa Tanzania Ni Ubabaishaji 60 29.4%
Inahitaji uongozi Mpya 54 26.5%
Katiba Irekebishwe 32 15.7%
Inaridhisha 26 12.7%
Inahitaji Kuboreshwa 23 11.3%
Hairidhishi kabisa 9 4.4%

Number of Voters : 204 First Vote : Wednesday, 10 February 2010 13:38 Last Vote : Thursday, 23 September 2010 14:15

Waswahili wanasema, Kuchamba Kwingi...... Naona leo umechamba sana mpaka sasa umeamua Kukichamba Chama Chako kwa kutojua, Asante sana maana sasa tumejua hata Wasomaji wa Gazeti la Chama wanasema Hali ya Siasa nchini ni ya Ubababishaji na wanahitaji mabadiliko
 
poll.png
Hali ya Kisiasa Tanzania Ni Ubabaishaji 60 29.4%
Inahitaji uongozi Mpya 54 26.5%
Katiba Irekebishwe 32 15.7%
Inaridhisha 26 12.7%
Inahitaji Kuboreshwa 23 11.3%
Hairidhishi kabisa 9 4.4%

Number of Voters : 204 First Vote : Wednesday, 10 February 2010 13:38 Last Vote : Thursday, 23 September 2010 14:15
Hapa ndipo utakapochoka na elimu ya waandishi wetu. Hapa wala sipingi kabisa kwamba Uhuru wanaweza kuweka poll ya aina hii ambapo mtu anachagua kitu kimoja kati ya vielelezo vyote hivi. sasa unapoona watu 60 kati ya 204 wakisema serikali ni ya ubabaishaji haina maana yoyote ikiwa mtu mwingine mwenye kuamini hivyo hivyo lakini kajaza sehemu nyingine iwe Inahitaji uongozi mpya, Katiba irekebishwe au Hakuridhika kabisa. Kwani yote yanaangukia ktk kutokubaliana na utawala uliopo.

Kwa mfano jana tu nilikuwa nikitazama Daily News, nilishindwa kuchagua ktk poll yao kwa sababu kulikuwa na majibu mawili au matatu yanafanana kinamna hivyo ukichagua moja umeacha la pili ambalo pia unalikubali. Ndivyo naona hapa mchezo ni ule ule kwa yule anayependa mabadiliko ana choice zaidi ya moja za kuchagua.
 
Ahsante Uhuru ,hiyo takwimu inaonyesha serikali ya KIKWETE imeshindwa kwa ulimbukeni wenu wakutokujua kutafsiri matokeo ya utafiti mulidhani yataelekeza sura nyingine lakini ukweli kwa vigezo hivyo ni kwamba serikali iliyopo madarakani wananchi hawaridhiki nayo nadhani hii taarifa vyama vya upinzani waitumie kuwaelezea wananchi WAKATI WA MABADILIKO NI SASA
 
Back
Top Bottom